Citizen FM VS CLOUDS FM

Lagrange

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,256
2,572
Yangu matumaini kila mmoja wetu humu ni mzima wa afya tele, wale ambao kidogo mambo hayako sawia Mungu awape wepesi katika hali walizo nazo ,,

Niende moja kwa moja kwenye mada ,binafsi napendelea zaidi kusikiliza vituo vya redio vya Kenya kama vile Citizen FM, Milele FM, Mwanedu FM, Pwani fm ,Capital fm ,KBC Idhaa Ya Mkenya, KBC English Service,Embu Fm ,nk .Kwa upande wa Tanzania napendelea zaidi kusikiliza zaid Redio free Africa ,Radio one, Kilimanjaro FM ,Moshi FM, Sauti ya injili ,Dream FM Mbeya ,Ebony FM Iringa ,Kiss FM

Katika kusikiliza vituo vyote hivo vya nachoona kinachopendwa na vijana zaid nchini Kenya ni Citizen Fm na kwa upande wa Tanzania inasemekana/inadaiwa kiasi fulani (kiasi chake ) ni Clouds Fm .

.Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa je kati ya Citizen FM (Kenya )na Clouds FM (Tanzania) kipi ni kituo bora cha Redio kwa sasa katika muktadha mzima wa kama ifuatavo

1. Ubora wa watangazaji katika nyanja ya elimu zao na uwezo wao binafsi katika kuhabarisha katika vituo hivo viwili

2. Uwezo na ubora wa kuwasilisha habari za kisiasa ,kiuchumi ,kijamii ,michezo, burudani nk

3 . Ubora wa sauti za watangazaji ,ubora wa matangazo wayarushayo ,

4. Ubora wa vipindi vyao vya habari ,michezo,burudani,biashara nk : Kituo kipi kina vipindi bora zaidi ?

5. Kituo kipi kimefanikiwa zaidi kuunganisha wananchi na serekali zao

6. Kituo kipi kimefanikiwa zaid katika kuinua vipaji vya vijana katika vipindi vyao wavirushavo ,na kipi hakijafanikiwa

7. Na mengineyo mengi unayo weza kuyaweka hapa kuweza kutufahamisha kipi ni kituo bora cha redio kwa sasa ,

Maandalizi mema ya krisimas na kupokea mwaka 2019:

Maisha yanategemeana :

Naomba kuwasilisha : Karibuni sana kwenye mada :
 
Hiyo citizen FM, kwa hapa Tanzania inapatikana kwa frequency ngapi?

hiyo clouds FM huko kenya inapatikana kwa frequency ngapi?
tuanzie hapo Kwanza.
 
Kwa mtu anaye kaa mpakani mikoa ya Kilimanjaro ,Arusha na Mara anazipata vyema bila shida ,tofauti na hapo usikilize online

Mimi nasikiliza online zaid
 
Clouds wako vizuri ila matangazo ya biashara yamejaa mle mpaka kero,ukisikiliza jahaz asilimia 90 ni matangazo ya biashara
 
Citizen radio wako vizuri lakini Clouds kwa context zote ulizozitaja naona ndo wako juu...

Citezen pia ukabila mwingi ndo maana hata kupata superbrand imekuwa shughuli kwao..na sasa hivi watangazaji wake wahiri wamehama na kwenda Milele fm,ambako kuna wazito kama Jallas,Alex Mwakideu,Francis Luchivya,Wilbroda a.k.a mwala,kakazema na wengine wengi..

Clouds wapo juu aisee kwenye mpangilio wao wa vipindi..Na pia kipindi chao cha michezo cha usiku kama kimekuwa kizuri these days baada ya ujio wa Jeff Lea
 
Clouds fm ndio baba lao ya pili kiss fm ya mwanza tatu milele fm nairobi na kbc saut ya mkenya naikubali sana
Clouds Fm The Peoples Station is No 1 radio station in East Africa and Central ndo wanafuata sijui Home Boyz Radio, Kiss Fm Tz, East African Radio, Citizen, Capital Fm Kenya
IMG_20181219_191348_221.jpeg
 
Back
Top Bottom