Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ni uvivu tu Wa kufiri Wa washkaji....Mimi Nina binti nilizaa nae lakini mpaka Leo sijawahi kuona paja lake......
Bora wewe uwaambie......yani wanadhani ukishazaa na mtu basi una uwezo wa kuona mwili wake muda wowote ule.
 
Nakuja kumwona mtoto leo na nitalala hapo my dear!
We unachukulia maneno ya yule dada. Kwanza kumbuka yule hajaolewa na ndiyo maana alisema hvyo. Ila mtu akishaolewa lazma kuna mpaka na lazima swala la mtoto liwe wazi pande zote mbili.

Na mwanaume lazma atumie hekima pia kujua mama mtoto wake kashaolewa na anapaswa kuheshimu ndoa yake na amweshimu mwanaume mwenzake. Nanyi mjifunze kuwaheshimu wanaume waliowaoa wanawake mliozaa nao
 
Labda tujikite katika kutafakari suala LA kupigiwa....aisee kuna wanawake wana misimamo....

Na wapo wasio na misimamo hata kama hawakuzaa na x wake ..,

Je ule usemi Wa mpenz wako mpya ni mapenzi Wa furani Wa zamni....swali je yeye hawezi kukumbushia.....na sisi wanaume ambao tuna watoto nje ya ndoa nasi pia bhasi tuwe majipu.......
 
Maana ki ukweli hawatendei haki..
Kabisa na mara zote unakuta mwanaume ndo anaanza kuwa msumbufu wa kukumbushia enzi na akikutana na mwanamke dhaifu basi hilo linafanyika but siyo haki kabisa kufanya hvyo.

Wanaume mheshimu kwanza ndoa a wenzenu. Na kama wewe mwanaume umeoa pia ina maana utakuwa unamsaliti mkeo.

Sasa kwanini msiseme pia mwanaume aliyezaa na mwanamke mwingine hata akioa nae anauwezo wa kupiga kwa yule mwanamke mwingine aliyezaa nae na hapo itakuwa usaliti kwa mkewe.

NB.
Wanawake msiolewe na wanaume wenye watoto mana watapiga nje kwa mama watoto zao.
 
Kiukweli kuna wanaume bado hawajakuwa kifikra hata kama umri umeenda. Hilo ulilosema ni kweli na labda awe na mwanamke bikra mana ukisema swala la kupiga hata x wako unaweza ukapiga mana hawara hatongozwi.
 
Kabisa na mara zote unakuta mwanaume ndo anaanza kuwa msumbufu wa kukumbushia enzi na akikutana na mwanamke dhaifu basi hilo linafanyika but siyo haki kabisa kufanya hvyo.

Wanaume mheshimu kwanza ndoa a wenzenu. Na kama wewe mwanaume umeoa pia ina maana utakuwa unamsaliti mkeo.

Sasa kwanini msiseme pia mwanaume aliyezaa na mwanamke mwingine hata akioa nae anauwezo wa kupiga kwa yule mwanamke mwingine aliyezaa nae na hapo itakuwa usaliti kwa mkewe.

NB.
Wanawake msiolewe na wanaume wenye watoto mana watapiga nje kwa mama watoto zao.
Unajua huwa nashangaa sana unapomuhukumu MTU kwa kuwa anamtoto....swali LA kujiuliza je mtoto amempataje.

Mimi yule niliyezaa nae ulikuwa 2008....alikuwa form nilitumia nguvu ndo hivyo tena mimba ikaingia ......haya kuwa Marengo yake kupata ile mimba....wengi wanabakwa...au marafiki kuwapeleka mtegoni...inapaswa tuwaheshimu kwani wewe unaamini huyo unaemuita baba ni baba ako original.......ha ha ha ha huenda ni fake....

Halafu ukishajua....kuwa mwanamke anamtoto toka mwanzo ...wala sidhani kama itakupa taabu..kuishi nae halafu si unajua maisha hayana formula huez kujua kesho nani atakufaa..

Nb..wanawake wana siri nyingi sana..unaweza fikir utapigiwa ukaoa get Kali....lakini upo ndani ya ndoa ukasaidiwa pia.....Hii dhambi itawatafuna...
 
Mara nyingi wanasema kupata mimba kwa wanawake ni ujinga wa wanawake wakati wengine ndo kama hvyo hawajapanga na kutoa hawatoi wanaamua kuzaa.
 
Sijabisha,ila nimeuliza kwasababu wanaume wengi hukimbilia kwenye point kuwa single mother hawezi akaacha kufanywa na baba mtoto wakat sio wote. Inategemea na mazingira walioachana..
Sio wote sawa. Sasa utajuaje huyo umayemuoa si kati ya hao wasioachana na mahawara zao? Jamaa yangu kazaa na wanawake watatu tofauti kabla hajaoa.... mpaka kesho anawatafuna wazazi wenzie wakati wowote akiwahitaji... tena bila shuruti!
 
Hahahaha au ' Mahawara hawaachani'...Wanaachana inapobidi sio kila single mother analalwa na baba mtoto wake baada ya kuachana

Ukiona hivyo ujue jamaa hajaamua kwa dhati...hakuna mwanamke niliye wahi kumlala akatae wito wangu, huwa siwaelewi wanawake sijui pale Eden mlilishwa nini na lile Joka
 
Ni uvivu tu Wa kufiri Wa washkaji....Mimi Nina binti nilizaa nae lakini mpaka Leo sijawahi kuona paja lake......
Kabisaa.. sasa kwa mfano umegundua mtu ni mshirikina,utaendelea kutaman kumfunua kweli...
 
Ukiona hivyo ujue jamaa hajaamua kwa dhati...hakuna mwanamke niliye wahi kumlala akatae wito wangu, huwa siwaelewi wanawake sijui pale Eden mlilishwa nini na lile Joka
Labda una Joka la dhahabu..
 
Back
Top Bottom