Ukitafakari sana vitu vingi tunavyofanya hapa duniani ni uchizi mtupu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,485
Wana zengwe

Kuna wakati najiuliza maswali sipati majibu sahihi, mfano ukikaa sehemu ya juu(ghorofani) au ukiwa na video camera say yenye njia 16 alafu ukawa unawaangalia watu, yaani matendo yao, movements zao na harakati zao sehemu kubwa unaweza ukaona mambo mengi yanayofanyika ni ya kichizi sana.

Sehemu kubwa ya raia ni vichaa, askikuambie mtu, mbaya zaidi uwawekee raia kioo, au vioo, alafu uangalie mambo wanayoyafanya wakidhani wako wenyewe, yaani ni uchizi mwingi sana. Kama unabisha embu jaribu kumuacha mtu unayedhani unamuheshimu, muache mwenyewe alafu mu-observe matendo yake kwenye camera, nakwambia utashangaa. Uchizi ni mwingi sana
 
Attachments

  • images (28).jpeg
    images (28).jpeg
    52.5 KB · Views: 4
"..Nikiwa pekeyangu ghetto navua nguo nakuanza kuziongelesha pvmbv ama najicheki kwa kioo nikiwa huru kabisa yaani uchi😂😂😂😂 .." alisema chizi mwenzetu mmoja
 
yaani ni uchizi mwingi sana. Kama unabisha embu jaribu kumuacha mtu unayedhani unamuheshimu, muache mwenyewe alafu mu-observe matendo yake kwenye camera, nakwambia utashangaa
Hakikisha hio Camera hajaiona kinyume na hapo lazima a-behave, apart from that all of us starting from you yes you as you deep inside kuna image Ile ya mtoto, hivi ushawahi kuona mtoto amekaa tu hivi ukaja wewe akaanza kukuangalia like anatazama kwenye kioo alafu ndani ya kioo ameona kuna mtu anaanza kukagua ukifanya hivi anakuangalia ukifanya hivi ghafla anaanza kucheka, sasa hio IPO kwenye mind yako tangu kipindi unazaliwa na hio haifutiki ni hivyo tu kila mtu ana utoto ndani yake tukianza na wewe, kumbuka ulipokua mtoto ulikuaje?
 
Hakikisha hio Camera hajaiona kinyume na hapo lazima a-behave, apart from that all of us starting from you yes you as you deep inside kuna image Ile ya mtoto, hivi ushawahi kuona mtoto amekaa tu hivi ukaja wewe akaanza kukuangalia like anatazama kwenye kioo alafu ndani ya kioo ameona kuna mtu anaanza kukagua ukifanya hivi anakuangalia ukifanya hivi ghafla anaanza kucheka, sasa hio IPO kwenye mind yako tangu kipindi unazaliwa na hio haifutiki Ni hivyo tu kila mtu ana utoto ndani yake tukianza na wewe, kumbuka ulipokua mtoto ulikuaje?
Hakika mkuu
 
Back
Top Bottom