Nichague kozi ipi kati ya social works, bachelor of arts in Natural Resources and Management na Bachelor of Arts in Population and Development


Kama wazazi wako sio matajiri na hujui utaenda kufanya kazi wapi, chukua hiyo ada nenda kafanye biashara. Usiende kusoma ili uonekane msomi, unasoma social Work ili ukaajiriwe wapi?

Ukipingana na mimi, tutakutana hapa baada ya miaka minne au mitano.
 
Kati ya course hizi: bachelor of social works, bachelor of arts in natural resources and management na bachelor of arts in population and development ipi ni course nzuri Kwa upande wa Ajira na maslai.
Vyuo vilishafunguliwa tayari unaenda kusoma ulaya?
 
Back
Top Bottom