arts

The arts refers to the theory, human application and physical expression of creativity found in human cultures and societies through skills and imagination in order to produce objects, environments and experiences. Major constituents of the arts include visual arts (including architecture, ceramics, drawing, filmmaking, painting, photography, and sculpting), literary arts (including fiction, drama, poetry, and prose), performing arts (including dance, music, and theatre), and culinary arts (including cooking, chocolate making and winemaking).
Some art forms combine a visual element with performance (e.g. cinematography), or artwork with the written word (e.g. comics). From prehistoric cave paintings to modern-day films, art serves as a vessel for storytelling and conveying humankind's relationship with the environment.

View More On Wikipedia.org
  1. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies.

    Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
  2. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Musical Artist Civilian-Coin quoted that "The Richness of many Artists in United States is because of good governance in Arts and Culture".

    Tanzanian Musical Artist Mr. Civilian-Coin quoted that "The Richness of many Artists in United States is because of good governance in Arts and Culture" ANALYSIS: United States of America (USA) has good plan to keep their Artists to be rich in Wealth and Freedom in Arts and Culture. United...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Into the Badlands: Mapinduzi ya Martial Arts!

    Kama umechoka na movie za risasi zisizo na msingi au drama za kupoteza muda, tuliza akili yako halafu tafuta hii show. Into the Badlands ni moja kati ya series zilizofanya mapinduzi makubwa ya uchezaji wa sanaa za mapigano (Martial Arts) kwenye historia ya TV! Nenda kajionee shoo za kibabe, hii...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tumewekeza kwenye Arts (Sanaa) tukasahau Sayansi

    Maendeleo ya Nchi yoyote duniani huletwa na uwekezaji kwenye Hesabu na Sayansi. kwa sababu zisizo eleweka, Nchii hii imewekeza vikubwa kwenye Arts badala ya sayansi; na hii ni kwa takriban miaka 30 hivyo kizazi kilichojaa mtaani kwa kiasi kikubwa ni cha arts. Kimsingi mtu hawezi kufanya...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Walimu wa arts na lugha waanza kuitwa kazini #kiswahili, English,htm

  6. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi au zinabaki kwenye hatua ya matangazo bila kuajiriwa?

    Mdau, naomba kuuliza na kupata ufafanuzi kuhusu suala la ajira hewa au ajira zisizotekelezwa kwa wakati. Ni kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi kwa wakati au zinabaki kwenye hatua ya matangazo bila kuajiriwa? Je, lengo ni kuwadanganya wananchi ili wawe na utulivu na matarajio...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna jambo lililoniuma mwaka huu kama kutochaguliwa Uhamiaji ukizingatia nina Barchelor of Arts in Law Enforcement na JKT Certificate ninayo

  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utumishi wamegoma kusikiliza kero ya wanachuo wa course ya Bachelor's of Arts in Microfinance and Enterprise Development (BA-MFED)

    Kuhusiana na changamoto yao kwenye mfumo wa Ajira Portal. Hii course Tanzania inatolewa CHUO CHA USHIRIKA KIKO MOSHI tu. Kwenye mfumo wa Ajira Portal haijapewa kipaumbele kwenye course za finance. Yaani mpaka kazi za benki, uhasibu inakataa, mpaka kazi za afisa mikopo ambayo ndio ubobezi wake...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hii tabia ya Mishahara ya Walimu wa Science na wa Arts Serikalini kuchezewa itaisha lini?

    Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi. Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara inatofautiana wa Science kwenye barua ya kazi tuliyopewa basic salary ni Shilingi 925,000 but...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tulisoma Shahada ya EDUCATION IN PRIMARY EDUCATION hatupewi ajira, wanachukuliwa wa EDUCATION IN ARTS IN SECONDARY SCHOOL

    Ajira zikitangazwa na sisi tutangazwe au TAMISEMI watupe majibu kwa nini hatuajiriwi, kwa fani tuliosomea wanaajiriwa wengine tu. Ni sisi Walimu tuliosomea BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY EDUCATION, yaani Mwl IIIC Shule ya Msingi Serikali itukumbuke jamani. Wanaajiriwa Watu waliosoma...
  11. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Martial Arts Tegeta au Boko

    Habari, Nlikua naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinazotoa huduma ya martial arts katika maeneo tajwa hapo juu na nitashukuru nikipata na msaada wa gharama. Asante
  12. Transistor

    JamiiForums Tanzania Unataka kumshika mtu paji lake la uso au mkono akapata shoti au kudondoka...fanya hivi....(The arts of Static Electricity)

    Fahamu namna unavyoweza kutumia umeme wako wa mwilini kumtetemesha mtu mwingine, Kuna wanamazingaombwe wengi,wanaojua vizuri nini cha kufanya kujikusanyia chaji nyingi kwa muda mfupi. Kikubwa wanachozingatia mazingira na mavazi. Vifaa.... 1.Eneo unalotembea au kupitisha miguu lazima liwe...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
  14. Logikos

    JamiiForums Tanzania Wapi Varda Arts

    Nadhani kwa watu waliojitahidi kupereresha bendera ya Tanzania na hawa Varda Arts wapo Heko kwao..., Kwa kweli Uzalendo upo Moyoni na Uzawa ni kwenye Vitendo wala sio kwenye Ngozi..... Moja ya kazi yao nzuri... Salama Tanzania https://youtu.be/0tU0GcTUrDM?si=bgoH41Nm2sHmEhyE...
  15. Foxhunters

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa martial art

    Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka. Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji. Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari...
  16. Enosh Ibrahim

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani?

    Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
  17. Enosh Ibrahim

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  18. Mshedede1

    JamiiForums Tanzania Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

    Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya . Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics...
  19. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA). Msaada: Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
  20. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Kama umemaliza shahada ya uzamili katika fani ya Uchumi (Master of Arts in Economics/ MAAE) hivi karibuni nitafute

    Kama umemaliza hiyo fani kwa miaka ya karibuni na hesabu zinapanda vizuri, tafadhali nicheki. 1. Uwe unaishi Dar 2. Uwe huna ajira ya kudumu au kama unaweza tenga muda japo saa mbili kwa siku kufanya kazi haina shida 3. Uwe unajua hesabu vizuri. Urgent. Tuwasiliane. +255 676 377 400 au...
Back
Top Bottom