Natafuta sehemu ya kujitolea. Nimehitimu Bachelor of Science in Forestry mwaka 2022

Mtu Mbadi

Member
Feb 28, 2024
95
99
Wakuu habari za humu,

Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Forestry mwaka 2022, kwa sasa nipo Dodoma , naomba msaada kwa yeyote anaeweza nisaidia kupata sehemu ya kujitolea, location yeyote nipo tayari kuja.

Mawasiliano yangu 0683877594
 
Tembelea na ongea na wadauwa taasisi zinazohusika na masuala ya sekta yako. Kwa Dodoma unaweza kuanzia Lead Foundation, pia TFS Kanda na wadau wengine huwezi kukosa nafasi.
 
Mkuu Hapo Dodoma Ofisi nyingi zinaanza sasa, Familia mpya zinachipukia. Tafuta eneo fungua kijiwe cha Miti, agiza ile Miche ya Kisasa ya SUA uza, Uza Maua, Uza Nyasi, Tengeneza Kampuni yako tafuta tenda ndogo maofisini kutengeneza Bustani na kupanda miti.
Anyway nawaza njia nilizopita enzi hizo. All in all pambana mkuu
 
nakushauri, andika barua nenda moja kwa moja TAWA, ofisi yeyote ya misitu, Mungu anaweza kukutokea huko.
 
Tembelea na ongea na wadauwa taasisi zinazohusika na masuala ya sekta yako. Kwa Dodoma unaweza kuanzia Lead Foundation, pia TFS Kanda na wadau wengine huwezi kukosa nafasi.
Shukran sana mkuu kwa ushaur wako, ngoja niufanyie kazi
 
Mkuu Hapo Dodoma Ofisi nyingi zinaanza sasa, Familia mpya zinachipukia. Tafuta eneo fungua kijiwe cha Miti, agiza ile Miche ya Kisasa ya SUA uza, Uza Maua, Uza Nyasi, Tengeneza Kampuni yako tafuta tenda ndogo maofisini kutengeneza Bustani na kupanda miti.
Anyway nawaza njia nilizopita enzi hizo. All in all pambana mkuu
Pamoja sana mkuu, ngoja niufanyie kazi ushauri wako,
 
Mkuu Hapo Dodoma Ofisi nyingi zinaanza sasa, Familia mpya zinachipukia. Tafuta eneo fungua kijiwe cha Miti, agiza ile Miche ya Kisasa ya SUA uza, Uza Maua, Uza Nyasi, Tengeneza Kampuni yako tafuta tenda ndogo maofisini kutengeneza Bustani na kupanda miti.
Anyway nawaza njia nilizopita enzi hizo. All in all pambana mkuu
Mkuu naomba kuuliza, ulishawah piga hiyo mishe ya kuuza hayo mazaga ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom