Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

kwa hyo waalimu,manesi,mama ntilie na wengne ambao hawapo ktk hayo makundi nani atawaoa ss?au untka nao wkafnye ukahaba kwnza na kuuza bar ksha ward kuolewa!!!!!
 
Mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakini nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke.

1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja.

2 Kahaba (yani anayejiuza au alisha wahi kufanya kazi hiyo) akikubali kuolewa oa atakuja akufae na atakawa mvumilivu mno.

3 Mwanamichezo lakini asiwe mwanamziki,mwanamitindo wala muigizaji hawa hawatakufaa kwa ndoa labda kama kwa kuliwazana tu.

4 Mjane (mwanamke aliyefiwa na mmewe), awe kashaa kaa eda na uwe na uhakika kuwa sio mwasilika,

5 Mkimbizi iwe ni kwa vita,njaa au machafuko,ukimpata oa atakufaa.

6 Mwanamke anayefanya kazi baa ama kwenye nyumba za kulala wageni,akilidhia kuolewa owa ni mwamke ambaye atakuwa amefanya maamzi ya kuolewa kwa moyo wake.

7 Mfanyakazi ila awe na kazi kubwa yaani awe kwenye kitengo cha juu mfano mbunge,meneja,waziri,mkuu katika idara za serikali ama awe na kampuni lake,hii itamfanye asiwe na majivuno kama walivyo wanawake wenye ajira za kawaida yaani viwango vya chini na kati.

Full chaka!
 
Hapa mkimbizi anafaa sn,ngoja niende Kigoma nasikia wapo wa Kinyarwanda
 
MATOLA Wanawake wote wanafaa kuolewa ila kitu kimoja ni kwamba mwanamke kama hajakupenda ni lazima akuzingue, mwanamke ni mwanamke tu.
 
Mwanamke aliyekeketwa sio rahisi kuvua pichu ovyo.....
 
Full chaka!
Bonge ya chaka maana siku hizi watu tuna frustration zetu za maisha unakuta wengine wanakimbilia church unaona umepata unavuta wengine mambo yakienda vizuri huwa wanamweka mungu kando (wanarudi kule walikokuwa na kukuonyesha true colour)
 
hahaa nimechekaje...

maana maisha nayo hayatabiriki...kwa style hiyo utapiga chin weng
Vipato vyetu watz huwa havitabiriki yaani ukifanya mistake kwenye mambo ya msingi unabaki kujuta nakubaki na neno "enzi zangu mambo yalikuwa hivi", kuna kipindi unakuta mtu zinaingia hela za ziada mara ukwenda hapa mara kule na kuna kipindi fursa zinakimbia na umaarufu wako una shuka
 
We! Kwenda wewe, barmed, changudoa, ah sijui lakini
 
Kuhusu wanawake wa Bar na waliofanya kazi guest house, au wakimbizi, naku support kwa aslimia nyingi saana, though sio wote wanakuaga hivyo But asilimia kubwa ni kweli!
 
Huku kwetu migombani mke bora ana sifa zifuatazo
1. Ni mashuhuri kukata nyasi... akitumia kile kimundu
2. Ni mlimaji mzuri... akishika jembe siku moja robo inafutika
3. Anajua kuzoa mbolea ya ng'ombe.
4. Anajua kumenya ndizi mbichi za kupika
5. Sio mtu wa majungu mtaani
6. Hajawahi kuwa na ugomvi na mama yake mzazi au mtu mwingine mwenye hiba sawa na mama yake
7. Kwao hakuna historia ya "umunji" yaani OSU kwa wale waliosoma No longer at ease wananielewa

Nyingine namuachia babu Asprin aongeze
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu wanawake wa Bar na waliofanya kazi guest house, au wakimbizi, naku support kwa aslimia nyingi saana, though sio wote wanakuaga hivyo But asilimia kubwa ni kweli!

Ila iwe baa au gesti ya mbali... maana akiwa wa jirani washkaji watakuwa wanapasha kiporo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom