mwaride
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 421
- 107
ngojanitangaze nia mapema kabisaaaaaaaaaa
Tangaza nia ya kupewa ubunge wa vitanda maalum mapema! Tangaza kuanzia sasa ujulikane mapema!
ngojanitangaze nia mapema kabisaaaaaaaaaa
Bonge ya chaka maana siku hizi watu tuna frustration zetu za maisha unakuta wengine wanakimbilia church unaona umepata unavuta wengine mambo yakienda vizuri huwa wanamweka mungu kando (wanarudi kule walikokuwa na kukuonyesha true colour)
Tangaza nia ya kupewa ubunge wa vitanda maalum mapema! Tangaza kuanzia sasa ujulikane mapema!
Hata mkaka ukifika 40 possibility ni ndogo pia
Hapo nadhani amekuwa akichagua sana plus woga wa kufanya maamuzi mwisho wa siku akawa anakataliwa kwa wadada kuanza kujiuliza kulikoni tena huyu40 bado Poa kwa mkaka lakini akifika 45 na ujue ana tatizo, tena tatizo kuuubwa....
Ndio maana siku hizi vijana wengi hawaoi kutokana na kuwa na theory nyingi kichwani huku wakisahau ndoa ni lazima na matatizo kwenye ndoa ni dharula ukikutana nayo mbele kwa mbele utajua namna ya kuyatatua though haimaanishi uoe yoyote
Hapo nadhani amekuwa akichagua sana plus woga wa kufanya maamuzi mwisho wa siku akawa anakataliwa kwa wadada kuanza kujiuliza kulikoni tena huyu
Ndio maana siku hizi vijana wengi hawaoi kutokana na kuwa na theory nyingi kichwani huku wakisahau ndoa ni lazima na matatizo kwenye ndoa ni dharula ukikutana nayo mbele kwa mbele utajua namna ya kuyatatua though haimaanishi uoe yoyote
mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakini nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke.
1 mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja.
2 kahaba (yani anayejiuza au alisha wahi kufanya kazi hiyo) akikubali kuolewa oa atakuja akufae na atakawa mvumilivu mno.
3 mwanamichezo lakini asiwe mwanamziki,mwanamitindo wala muigizaji hawa hawatakufaa kwa ndoa labda kama kwa kuliwazana tu.
4 mjane (mwanamke aliyefiwa na mmewe), awe kashaa kaa eda na uwe na uhakika kuwa sio mwasilika,
5 mkimbizi iwe ni kwa vita,njaa au machafuko,ukimpata oa atakufaa.
6 mwanamke anayefanya kazi baa ama kwenye nyumba za kulala wageni,akilidhia kuolewa owa ni mwamke ambaye atakuwa amefanya maamzi ya kuolewa kwa moyo wake.
7 mfanyakazi ila awe na kazi kubwa yaani awe kwenye kitengo cha juu mfano mbunge,meneja,waziri,mkuu katika idara za serikali ama awe na kampuni lake,hii itamfanye asiwe na majivuno kama walivyo wanawake wenye ajira za kawaida yaani viwango vya chini na kati.
Ndio maana siku hizi vijana wengi hawaoi kutokana na kuwa na theory nyingi kichwani huku wakisahau ndoa ni lazima na matatizo kwenye ndoa ni dharula ukikutana nayo mbele kwa mbele utajua namna ya kuyatatua though haimaanishi uoe yoyote
Katika thread yako yote point ni moja tu. Mwanamke mshika dini. Hayo mengine si lolote maana jasiri haachi asili. Watu wavuruge vuruge mpaka mnyeo then mimi ndo nioe-KINYAAAAAAAA.
Wewe tema mate chini, utamjuaje kama kashavurugwa? inaonyesha jinsi gani ulivyo mbinafsi.