Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

Mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakin nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke. 1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja,2 Kahaba (yani anayejiuza au alisha wahi kufanya kazi hiyo) akikubali kuolewa oa atakuja akufae na atakawa mvumilivu mno, 3 Mwanamichezo lakini asiwe mwanamziki,mwanamitindo wala muigizaji hawa hawatakufaa kwa ndoa labda kama kwa kuliwazana tu.4 Mjane (mwanamke aliyefiwa na mmewe), awe kashaa kaa eda na uwe na uhakika kuwa sio mwasilika, 5 Mkimbizi iwe ni kwa vita,njaa au machafuko,ukimpata oa atakufaa, 6 Mwanamke anayefanya kazi baa ama kwenye nyumba za kulala wageni,akilidhia kuolewa owa ni mwamke ambaye atakuwa amefanya maamzi ya kuolewa kwa moyo wake.7 Mfanyakazi ila awe na kazi kubwa yaani awe kwenye kitengo cha juu mfano mbunge,meneja,waziri,mkuu katika idara za serikali ama awe na kampuni lake,hii itamfanye asiwe na majivuno kama walivyo wanawake wenye ajira za kawaida yaani viwango vya chini na kati.
Mkuu mwanamke marinda yametatuliwa we unashauri watu waoe tu kisa eti mwanamke ameamua kuolewa,hii ni shallow reseach kabisa,haifainkushaur watu huu ujinga.
 
we mdada ukifika 40 possibility huwa ndogo sana kuolewa
ikitokea ndio bahati.Fanya uchunguz utagundua.

I know it, nilikuwa tu nataka kuweka kumbukumbu sawia ili wanaosoma hata baada ya miaka wajue tulishayasema haya siku nyingi.
 
Kuoa/kuolewa ni maamuzi ya mtu, hakuna mahali iliyoandikwa kwenye biblia kwamba umuoe kahaba, baamedi, mwenye pesa n.k, ndoa ni ridhaa ya moyo wako umpate umpendaye nae anakupenda lazima maisha yawe mazuri.
 
Just keep in mind people are not dynamic,that means they are subject to change with alot of complexity!!!!!!!

You mean they are dynamic, don't you?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakin nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke. 1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja,2 Kahaba (yani anayejiuza au alisha wahi kufanya kazi hiyo) akikubali kuolewa oa atakuja akufae na atakawa mvumilivu mno, 3 Mwanamichezo lakini asiwe mwanamziki,mwanamitindo wala muigizaji hawa hawatakufaa kwa ndoa labda kama kwa kuliwazana tu.4 Mjane (mwanamke aliyefiwa na mmewe), awe kashaa kaa eda na uwe na uhakika kuwa sio mwasilika, 5 Mkimbizi iwe ni kwa vita,njaa au machafuko,ukimpata oa atakufaa, 6 Mwanamke anayefanya kazi baa ama kwenye nyumba za kulala wageni,akilidhia kuolewa owa ni mwamke ambaye atakuwa amefanya maamzi ya kuolewa kwa moyo wake.7 Mfanyakazi ila awe na kazi kubwa yaani awe kwenye kitengo cha juu mfano mbunge,meneja,waziri,mkuu katika idara za serikali ama awe na kampuni lake,hii itamfanye asiwe na majivuno kama walivyo wanawake wenye ajira za kawaida yaani viwango vya chini na kati.

Acha kupotosha umma
 
hata kwenye biblia kuna mstari unasema nitawapatia wakufanana nao so kama wewe ni kigego utapata kigego mwenzio mshika dini hakufai utamtesa bureeee!

Hivi mimi na wewe hatufanani kweli :smiling::smiling::roll:??
 
utakuwa umepotea njia kumbuka Mke mwema anatoka kwa mungu huyo mkimbizi,baamedi au kahaba atakuwa anafuata maisha na wala si ndoa kama ulivyofanya utafiti wako wengi wa watu walio jaribu kuoa wanawake wa aina hii walikuja kujutia maamuzi yao..
 
La msingi ni kuwa mapenzi ya ndoa ni tofauti sana na mapenzi ya kuchezeana. Ukimuoa mke ni vema awe wa kudum na siyo wa kushindia.
 
mmmmhaaha! mkimbizi? owa mrundi uone kama hajakimbia na watoto na usiwaone tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom