Mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakin nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke. 1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja,2 Kahaba (yani anayejiuza au alisha wahi kufanya kazi hiyo) akikubali kuolewa oa atakuja akufae na atakawa mvumilivu mno, 3 Mwanamichezo lakini asiwe mwanamziki,mwanamitindo wala muigizaji hawa hawatakufaa kwa ndoa labda kama kwa kuliwazana tu.4 Mjane (mwanamke aliyefiwa na mmewe), awe kashaa kaa eda na uwe na uhakika kuwa sio mwasilika, 5 Mkimbizi iwe ni kwa vita,njaa au machafuko,ukimpata oa atakufaa, 6 Mwanamke anayefanya kazi baa ama kwenye nyumba za kulala wageni,akilidhia kuolewa owa ni mwamke ambaye atakuwa amefanya maamzi ya kuolewa kwa moyo wake.7 Mfanyakazi ila awe na kazi kubwa yaani awe kwenye kitengo cha juu mfano mbunge,meneja,waziri,mkuu katika idara za serikali ama awe na kampuni lake,hii itamfanye asiwe na majivuno kama walivyo wanawake wenye ajira za kawaida yaani viwango vya chini na kati.
na we mwenyewe uwe sahihi usitake mshika dini wakat we mwenyewe ni kanjanja.....
BTW mtoa mada hapo kwenye mkimbiz muelewesho please
ko sio tulioko vitengo vya chin kazini hatufai
ya kuambiwa changanya na akili ya kuzaliwa ohooooo!!
jitahidi upande cheo lol
Hata kama akiwa Fremasoni?????1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja,2
0684 001 066 hiyo ni emergency ya mkoa wa ilala ndio ninakoishi, wapigie watakupa namba ya mkoa wako kama ni kinondoni.hahaa naona sie tutakuwa na list ndefu sana
Matola unajua number ya Tanesco kuwapigia kama una tatizo la umeme
Oooh mama weee ukifata huo ushauri ngoma inaweza kugonga 40 bado upo kwenye searching
Na je tusio na kazi ndo hatufai kuolewa ama?
hadi nipande cheo huyu mchumba atachoka kusubiri lols
Mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakin nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke. 1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja,2 Kahaba (yani anayejiuza au alisha wahi kufanya kazi hiyo) akikubali kuolewa oa atakuja akufae na atakawa mvumilivu mno, 3 Mwanamichezo lakini asiwe mwanamziki,mwanamitindo wala muigizaji hawa hawatakufaa kwa ndoa labda kama kwa kuliwazana tu.4 Mjane (mwanamke aliyefiwa na mmewe), awe kashaa kaa eda na uwe na uhakika kuwa sio mwasilika, 5 Mkimbizi iwe ni kwa vita,njaa au machafuko,ukimpata oa atakufaa, 6 Mwanamke anayefanya kazi baa ama kwenye nyumba za kulala wageni,akilidhia kuolewa owa ni mwamke ambaye atakuwa amefanya maamzi ya kuolewa kwa moyo wake.7 Mfanyakazi ila awe na kazi kubwa yaani awe kwenye kitengo cha juu mfano mbunge,meneja,waziri,mkuu katika idara za serikali ama awe na kampuni lake,hii itamfanye asiwe na majivuno kama walivyo wanawake wenye ajira za kawaida yaani viwango vya chini na kati.
0684 001 066 hiyo ni emergency ya mkoa wa ilala ndio ninakoishi, wapigie watakupa namba ya mkoa wako kama ni kinondoni.
asante
umenisaidia sana.ngoja niwatafute