Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

mbona mnatutisha? hiyo namba mbona humu inaogopwa sana? tulikuwa tunarekebisha maisha kwanza acheni kutunyanyapaa, sasa mwanamke akifika hiyo 40 eti siku hizi nasikia anaitwa mzee?

bora mwanaume mwanamke ukigonga hyo number halaf kitu kushneh hatar sana
 
bora mwanaume mwanamke ukigonga hyo number halaf kitu kushneh hatar sana

kitu gani inakuwa kwishney kwa mdada? usichoke na maswali yangu ya uchokozi haya maandiko mara nyingi uwasaidia wengine wanaopenda kujisomea taratibu na kufanya reasoning.
 
kitu gani inakuwa kwishney kwa mdada? usichoke na maswali yangu ya uchokozi haya maandiko mara nyingi uwasaidia wengine wanaopenda kujisomea taratibu na kufanya reasoning.

we mdada ukifika 40 possibility huwa ndogo sana kuolewa
ikitokea ndio bahati.Fanya uchunguz utagundua.
 
Ningekuwa mwanaume nahisi nisingeoa,maana nisingeweza kujipa assignment zote za duniani nizitafutie majibu in the name of kutafuta wife material!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom