Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Kwani bongo hakuna mashoga? Au wazungu wanaonekana wabaya kwa sababu wanafanya hadharani ila wabongo wanaonekana wema kwa sababu wanafanya sirini? Haya mambo yapo dunia nzima na wala hayakuanzia kwa wazungu

Yalianzia miji ya Sodoma na Gomora ambayo ipo mashariki ya kati mwa dunia ila ni vile tu wazungu hawataki unafiki wameamua wafanye hadharani siyo kama mataifa mengine yanajifanya kupinga ushoga kumbe unafiki tu wanafanya sirini

Kwahiyo usiniambie habari za ushoga maana upo dunia nzima na hapa hoja ni kwamba wazungu wametuzidi kila kitu na hatutakuja kuwafikia hata siku moja na ukweli utabaki pale pale kuwa waafrika wengi ni wapumbavu na ni wa kudharauliwa tu

Kutwa kuwaza ngono na ndiyo maana hatuendelei hapo ulipo usikute hauna maisha yanayoeleweka ila umebaki kuwaza ngono tu! SMH! So I guess you have now understood who has a poor mind between me and you
Marianah, umenena mazito but i am asking myself "unamsaidia nini mpenzi wako au mmeo katika kutimiza ndoto za kizungu au nawe unampiga bili tu?"
 
Usiulize namsaidia nini sema tunasaidiana nini kwani yeye hatakiwi kunisaidia majukumu yangu mimi tu ndiyo nimsaidie majukumu yake si eti?
Marianah, umenena mazito but i am asking myself "unamsaidia nini mpenzi wako au mmeo katika kutimiza ndoto za kizungu au nawe unampiga bili tu?"
 
Kwahiyo hapo unahisi unakuwa umefanya jambo la maana si eti? Yaani wanaume wa bongo na roho zenu hizo bado mnataka muonewe huruma na wanawake? Acheni tu yanayowakuta yawakute kwa kweli
Nafatilia comments zako kwa ajiri ya kujua "Inside of your mind" but seems unajitambua may be[emoji848][emoji848]
 
Nani alikwambia kuwa zamani wanaume hawakuwa na mawazo hayo? Yaani wanaume wa kiafrika ndiyo mawazo yao miaka nenda rudi na wala sitaki kuwabadilisha ila nataka wajue tu kuwa ni wapumbavu maana hawajui hilo!
Uliwahi tendwa?
 
Ndiyo acha tu iwe hivyo maana hata ninyi mkikubaliwa tu tayari mnawafanya watoto wa watu mahousegirl akija kwako lazima afanye kazi zote za ndani sasa kwani wewe hauziwezi au yeye naye ni mzazi wako?
So you mean we need to treat like barter trade system?
 
Give me even one reason why I should appreciate Tanzanian men

By the way I never criticize all men but most men especially African men and ofcourse there are some exceptions my husband being one of them
Pumba, maana kila mwanamke husema hivyo juu ya mme wake.
 
Usiulize namsaidia nini sema tunasaidiana nini kwani yeye hatakiwi kunisaidia majukumu yangu mimi tu ndiyo nimsaidie majukumu yake si eti?
Kutokana na majibu yako, ushawahi umizwaaa, thus why you hate men hata uliyenae unazuga nae tu but mambo si shwari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom