Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Wewe unapenda hela tu, huvutiwi na kingine zaidi ya hicho kwa mwanaume its very risky kujenga maisha na mtu wa aina hio maana siku zikipungua tu ujue ni masimango, gubu tu na kunyimwa unyumba huku hutaki usalitiwe. Wanawake wa aina yako ndio mnaongoza kwa vilio maana wepesi sana kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa. Tutaendelea kuwaonjesha karanga kama ilivyo ada, unakula pesa kidogo ukivua chupi imeisha hio. On to the next one...Hapana mkuu hapo nimejiongelea mimi tu sijawaongelea wanawake wote wapo wanawake ambao wanaweza kuishi na wanaume masikini ili mradi tu wawe na nguvu za kiume
Na hao wanawake kwangu mimi naona kama vile ni wale ambao wanapenda sana ngono yaani kwao ngono ndiyo kipaumbele kuliko kitu kingine chochote binadamu tunatofautiana mitazamo na mahitaji