Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazma uwe rijali kisha ndio uwe na pesa..Ndio shina la maisha yenye utamu mpaka Tindini.
Mwambie bana maana hawa hawaeleweki.... muulize yeye ata enjoy mume wake/boyfriend wake awe na mijihera kibao halafu jogoo hapandi mlima au akijalibu kupanda hata robo hafiki? (Mungu aepushie mbali ni mfano tu) ...wanaume wa hivi huwa hawana raha hata kama ana mijehera ya kutandaza barabarani na hawa hawa kina marrianah ndo wa kwanza kuwafanya wajihisi sio wanaume
 
Hiyo 50/50 mbona mnaitaka kwenye kutafuta pesa tu hamuitaki na kwenye kufanya kazi za ndani? Tafuteni tu hamna namna!
Hahahahah,,,kwahio unatakaje mama, tuishi maisha ya Eden leo?

Mlitaka 50/50 ndio hivyo tena kaeni kwa pattern.
 
Wanawake hawaeleweki wanataka nini hasa maishani,ukiona umeanza kuwaelewa basi ujue unakaribia kufa..
Akiwa na mwanaume tajiri atataka maskini na akipata maskini atataka tajiri

Halafu visichana ndio pasua kichwa kabisa,utakuta namba kamekupa chenyewe Instagram tena kwa hiari yake kabisa DM ukimcheki Whatsapp Mara hajibu akijibu anajibu baada ya masaa 4,sasa kama haujisikii unatoa namba ya nini?

Hivi hamjui Teckno hazichelewi kujaa!memori kadi.
kitu kimoja tuu jua kumdanganya basi umeshinda...we kama ukiweza kuwa naye karibu fatilia vitu anavotaka then mdanganye kupitia hivo hivo akija kugundua huyoo ushasepa na tunda kakupa
 
Kwangu bora mwanaume akose nguvu za kiume kuliko kukosa hela yaani kama ananihudumia vizuri basi nitajitahidi kumvumilia tu hali yake ila asipokuwa na hela hata awe na uume kama kombeo au awe na hamu za kushato akiwa anahangaika juu yangu nitakuwa namuona kama ling'ombe tu mwanaume unaringiaje nguvu za kiume wakati hauna pesa familia itakula hiyo mashine yako au? Au akiwa nazo mke ndiyo inatosha? Tena mimi sitaki kabisa kumsikia mwanaume ambaye atanitegemea kiuchumi huo ni mzigo
Mwambie bana maana hawa hawaeleweki.... muulize yeye ata enjoy mume wake/boyfriend wake awe na mijihera kibao halafu jogoo hapandi mlima au akijalibu kupanda hata robo hafiki? (Mungu aepushie mbali ni mfano tu) ...wanaume wa hivi huwa hawana raha hata kama ana mijehera ya kutandaza barabarani na hawa hawa kina marrianah ndo wa kwanza kuwafanya wajihisi sio wanaume
 
Kwangu bora mwanaume akose nguvu za kiume kuliko kukosa hela yaani kama ananihudumia vizuri basi nitajitahidi kumvumilia tu hali yake ila asipokuwa na hela hata awe na uume kama kombeo au awe na hamu za kushato akiwa anahangaika juu yangu nitakuwa namuona kama ling'ombe tu mwanaume unaringiaje nguvu za kiume wakati hauna pesa familia itakula hiyo mashine yako au? Au akiwa nazo mke ndiyo inatosha? Tena mimi sitaki kabisa kumsikia mwanaume ambaye atanitegemea kiuchumi huo ni mzigo
bora wewe umesema ukweli maana kuna mtu wanadanganya eti hayta bila pesa tunaishi sijui wakilala na kuamka asubuhi wanakuta chai mezani na rent imeshalipwa??..and by the record kama huana pesa na nguvu lazima zianze kupungua maana kila siku itakua shida ndani na mwanamke ataanza kununa hapo ndo shida inapoanza
 
Hapana mkuu hapo nimejiongelea mimi tu sijawaongelea wanawake wote wapo wanawake ambao wanaweza kuishi na wanaume masikini ili mradi tu wawe na nguvu za kiume

Na hao wanawake kwangu mimi naona kama vile ni wale ambao wanapenda sana ngono yaani kwao ngono ndiyo kipaumbele kuliko kitu kingine chochote binadamu tunatofautiana mitazamo na mahitaji
bora wewe umesema ukweli maana kuna mtu wanadanganya eti hayta bila pesa tunaishi sijui wakilala na kuamka asubuhi wanakuta chai mezani na rent imeshalipwa??..and by the record kama huana pesa na nguvu lazima zianze kupungua maana kila siku itakua shida ndani na mwanamke ataanza kununa hapo ndo shida inapoanza
 
Jisemee wewe nafsi yako kwani ni wanawake wangapi wamechuma mali na wanaume zao ila walipokuja kufanikiwa wakaachwa au wakaanza kunyanyaswa na kusalitiwa?

Halafu unasema wanawake wanataka wakute mwanaume tayari ana mali mbona hata ninyi mnataka kukuta wanawake tayari wanajua kutimiza wajibu wao na kufanya majukumu yao yote?
Watu wengi waliofanikiwa wameanza pamoja kutafuta, ASA wanawake wa Leo mnataka kukuta mwanaume tayar ana Mali ndo maana mnaishia kuwa michepuko

Kama mwanaume ntamuheshimu mwanamke niliochuma nae, tofaur na yule aliyenikuta na Mali tayari
 
Nani alikwambia kuwa zamani wanaume hawakuwa na mawazo hayo? Yaani wanaume wa kiafrika ndiyo mawazo yao miaka nenda rudi na wala sitaki kuwabadilisha ila nataka wajue tu kuwa ni wapumbavu maana hawajui hilo!
Nyie wanawake mnaowaza mambo ya msingi ni kitu gani mmewai kufanya africa hii ili tuamini wanaume tunawaza ujinga na nyie wanawake mnawaza ishu za msingi.
 
Jisemee wewe nafsi yako kwani ni wanawake wangapi wamechuma mali na wanaume zao ila walipokuja kufanikiwa wakaachwa au wakaanza kunyanyaswa na kusalitiwa?

Halafu unasema wanawake wanataka wakute mwanaume tayari ana mali mbona hata ninyi mnataka kukuta wanawake tayari wanajua kutimiza wajibu wao na kufanya majukumu yao yote?
Sio sababu, kuachwa inategemea na kiwango cha adabu ulichonacho kwa mumeo au mwanaume wako. Ukiona umeachwa ujue kero zimezidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom