Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Siyo watatu tu hadi wanne kabisa ila je unajua wamepewa masharti na vigezo gani hadi kuruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja?

Waulize waislam wanaojua maandiko ya kiislam vizuri watakwambia siyo unakurupuka tu kutolea mfano wa hiyo dini kuruhusu!
Nimesema kutokana na hoja yako kwamba dini inaruhusu hayo mambo? Ndo nikakupa mfano kwamba mbona kuna dini wanaruhusu kuoa hata wake wa3 mpaka wanne? It doesnt matter what situation lakini wanaruhusu, je si umalaya huo?
Kwanini wasitulie na mke mmoja tu ama wanawake waruhusiwe kuwa na wanaume zaidi ya mmoja..
 
Oohh waislam wameruhusu hivyo kwa sababu chimbuko lao ni uzao wa nyumba ndogo aka hawara tena kijakazi rejea historia ya Abraham alikuwa ana watoto wawili Isaac wa Sarah ambaye ndiyo alikuwa mke halali wa ndoa na Ishmael wa Hajar ambaye alikuwa ni mchepuko

Isaac ndiyo aliyeiendeleza dini ya uyahudi na hatimaye ukatokea na ukristo humo humo na Ishmael ndiyo aliyeianzisha dini ya uislam sasa unategemea dini iliyotokana na uzao wa nyumba ndogo itaacha kuhalalisha mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?

Japo waislam wenyewe kamwe hawawezi kukubali hili ila haibadilishi ukweli na ukae ukijua kuwa ukristo haujaruhusu ndoa ya wake wengi wala waume wengi bali unataka ndoa iwe ya mume mmoja na mke mmoja tu kama ambavyo Mungu alimuumba Adam na kisha akamuumbia mwanamke mmoja tu Evah na siyo zaidi

Na yapo maandiko mengine ambayo yanaonyesha kuwa mwanaume hatakiwi kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja vile vile mwanamke hatakiwi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwahiyo kama wewe ni mkristo fuata sheria za dini yako na kama wewe ni muislam pia fuata sheria za dini yako ila kama wewe ni mkristo na unaona kuwa wanaume wa kiislam wanafaidi sana kuoa mke zaidi ya mmoja basi badili dini uwe muislam ili nawe ukaoe mke zaidi ya mmoja
Nimesema kutokana na hoja yako kwamba dini inaruhusu hayo mambo? Ndo nikakupa mfano kwamba mbona kuna dini wanaruhusu kuoa hata wake wa3 mpaka wanne? It doesnt matter what situation lakini wanaruhusu, je si umalaya huo?
Kwanini wasitulie na mke mmoja tu ama wanawake waruhusiwe kuwa na wanaume zaidi ya mmoja..
 
Hao ndo wanawake bhana
Screenshot_20200207-170126.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom