Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Very rarely but huwa najuta sana baada ya hapo na siwezi kutengeneza mahusiano ya pamanent na nyumba ndogo, i love my wife. Sijui na yeye kama huwa ananisaliti, kwa kweri sijui.

Vipi wewe huwa unachepuka kidogo?
Ila unamsaliti?
 
Kwanza, hivi bongo kuna mwanaume mwenye tabia nzuri kweli?

Pili, mimi naona sababu ya wanawake kuendelea kuona kuwa jukumu la kutafuta pesa ni la mwanaume ni mgawanyo wa majukumu maana jukumu la kufanya kazi za ndani linaonekana bado ni la mwanamke wakati hata wanaume wanaliweza ilitakiwa tuwe kama wazungu majukumu ya kutafuta pesa na kufanya kazi za ndani ni ya wote wanaume na wanawake na wote wanayafanya kikamilifu bila kutegeana labda tu wanandoa wenyewe wakubaliane tofauti ila wabongo wanaume wanapenda wasaidiwe majukumu yao ila wao hawataki kusaidia majukumu ya wake zao je hiyo ni sawa?
Mimi nipo tofauti na kauli hizo, kunamudogo wangu wa kike alipata ujauzito nilitofautia na mama pamoja na baba, wao walikuwa wanamlaumu mimi ni kawambia mazingira aliyokuwa nayo tutamlaumu bure, nilikuwa na proposal akadome baada ya kujifungua.

Shida kubwa mimi ni kuwa wanawake hawataki kubadilika na kutambua ukweri kwamba maisha yamebadilika hivyo nao wanapaswa wasimame kama vijwa katika maisha yao na siyo wawe na ndoto za kupata mwanaume aliye na maisha mazuri ili wakafurahie maisha. Hiki kitu kinawafanya wanawake watangetage kwa maanawanajikuta hawapiganii maisha shao bali wanapigania maisha ya wanaume walio bora.

Hii ndiyo sababu mdada akitongozwa kipimo chake ni kuona kama mwanamume anapesa ya kumuhidumia wala haangarii tabia za mwanamume wake ni mzuri au baya, yeye anawaza tu anakazi gani au biashara gani? Anahonga?

Mahusiano ya kimapenzi lengo kuu ni kuzaa na kutimiziana hitaji la hisia hayo mengine ni ziada.
I love women, I trust woman thanen in any mission but kuwa na fikra tengemezi za kuhudumiwa na mwanae zinawatesa sana
 
Hivi kuchepuka ni sifa?
Very rarely but huwa najuta sana baada ya hapo na siwezi kutengeneza mahusiano ya pamanent na nyumba ndogo, i love my wife. Sijui na yeye kama huwa ananisaliti, kwa kweri sijui.

Vipi wewe huwa unachepuka kidogo?
 
Kuna kiumbe humu kavamia Uzi wangu hadi napoteza hati miliki!atakuwa ni mtu asiyejulikana huyu a.k.a single mother
 
Ukichapiwa usije kulialia hapa
Mimi sipigi mke wangu, mke wangu ni zawadi kubwa sana katika maisha yangu na ninalea na kumpetipeti kuliko kifani. Mke wangu anasikia tu story za manyanyaso kwa wanandoa na huwa ananiambia hayo mambo ni yakufikrika tu maana yeye kwenye maisha yake anayasikia tu.
 
Halafu wewe unasema umeoa na huwa unacheat rarely ila unalalamika kwanini wanawake wakitongozwa wanatanguliza matatizo yao sasa kama umeshapata mke wako kwanini uendelee kutongoza wanawake wengine? Maana yake unataka wawe michepuko na hautakuja kuwaoa bali utawaacha watakuja kuolewa na wanaume wengine si ndiyo?

Sasa kama ni hivyo kwanini hautaki wakuombe hela zako wakati wewe hauna malengo nao na unawapotezea muda tu? Maana ungekuwa na malengo nao kweli ungetakiwa kulalamika ila hauna malengo nao ila unataka wao waweke malengo kwako wasikuombe hela inakuja hiyo? Kama wewe unawapotezea muda acha na wao wakupotezee pesa tu mchepuko una gharama yake kama hauwezi tulia tu na mkeo hautakufa
Very rarely but huwa najuta sana baada ya hapo na siwezi kutengeneza mahusiano ya pamanent na nyumba ndogo, i love my wife. Sijui na yeye kama huwa ananisaliti, kwa kweri sijui.

Vipi wewe huwa unachepuka kidogo?
 
Kwanza, hivi bongo kuna mwanaume mwenye tabia nzuri kweli?

Pili, mimi naona sababu ya wanawake kuendelea kuona kuwa jukumu la kutafuta pesa ni la mwanaume ni mgawanyo wa majukumu maana jukumu la kufanya kazi za ndani linaonekana bado ni la mwanamke wakati hata wanaume wanaliweza ilitakiwa tuwe kama wazungu majukumu ya kutafuta pesa na kufanya kazi za ndani ni ya wote wanaume na wanawake na wote wanayafanya kikamilifu bila kutegeana labda tu wanandoa wenyewe wakubaliane tofauti ila wabongo wanaume wanapenda wasaidiwe majukumu yao ila wao hawataki kusaidia majukumu ya wake zao je hiyo ni sawa?
Siyo kweri, familia nyingi sana sasa zina house girl au boy wakati mke yupo nyumbani hana kazi. Swala majukumi limebadilika sana. Mimi mke wangu akitoka kazini anafanya kazi za nyumbani akijisikia siyo lazima. Na wanandoa wengi wa siku hizi wapo hivyo. Hii inaamanisha kama baba nalipa house girl it means nawajibika na kazi za nyumbani na nimekubali kusaidia. Pamoja na hayo wanawake wengi hata kama wanamishahara wanachukulia pesa zao ni zao tu ili na mme ndiyo za nyumbani. Hii siyo sawa kabisa kuonesha wanaume niwatafutaji but wanawake ni watafutiwaji
 
Kwa hiyo ndoa yako ni so apecial sana ila za wengine ni za hovyoooo au what ypu meen kuwa ndoa yako ni so unique?
Mimi ndoa yangu haihusiani na ninayoyaandika humu na sipendi kuiongelea kwa sababu haiwakilishi ndoa nyingi kwenye jamii
 
Halafu wewe unasema umeoa na huwa unacheat rarely ila unalalamika kwanini wanawake wakitongozwa wanatanguliza matatizo yao sasa kama umeshapata mke wako kwanini uendelee kutongoza wanawake wengine? Maana yake unataka wawe michepuko na hautakuja kuwaoa bali utawaacha watakuja kuolewa na wanaume wengine si ndiyo?

Sasa kama ni hivyo kwanini hautaki wakuombe hela zako wakati wewe hauna malengo nao na unawapotezea muda tu? Maana ungekuwa na malengo nao kweli ungetakiwa kulalamika ila hauna malengo nao ila unataka wao waweke malengo kwako wasikuombe hela inakuja hiyo? Kama wewe unawapotezea muda acha na wao wakupotezee pesa tu mchepuko una gharama yake kama hauwezi tulia tu na mkeo hautakufa
Remember wanaume tupo wachache kuliko wanawake. Hata kama anahitajikula pesa basi wawe na technical na kula pesa, mimi hapa ukiniomba pesa tuuu baaya kukutongoza na kula kona but ukiwa na subila hata uwanja na kununulia. Siyo nimekutongoza tu unaanza nataka nikasuke, gas imeisha, mama mgojwa etc. Hata kama nitakupa pesa nitakupa na nikikuchapa nakula kona. Ukiwa mvumilivu tunayajenga nawe unafaidika zaidi kuliko pesa kuwa mbele
 
Basi hapa nabishana na mtu ambaye siyo sahihi kama wewe unafanya hivyo hongera na ndiyo maana nikiwa nabishana na mtu sipendi kuongelea ndoa yangu binafsi au mtu aongelee ndoa yake binafsi napenda tuongelee jamii kwa ujumla maana wengine ndoa zetu hazina matatizo

Hivyo huwa nataka kugusia jamii nzima yaani na ndoa za watu wengine zenye matatizo hata mimi mume wangu huwa ananisaidia hizo kazi akijisikia kama hatuna housegirl ila naongelea wale wanaume ambao hawataki kabisa kuwasaidia wake zao hizo kazi na wanang'ang'ania kwamba ni kazi za kike wewe unawaongeleaje?
Siyo kweri, familia nyingi sana sasa zina house girl au boy wakati mke yupo nyumbani hana kazi. Swala majukumi limebadilika sana. Mimi mke wangu akitoka kazini anafanya kazi za nyumbani akijisikia siyo lazima. Na wanandoa wengi wa siku hizi wapo hivyo. Hii inaamanisha kama baba nalipa house girl it means nawajibika na kazi za nyumbani na nimekubali kusaidia. Pamoja na hayo wanawake wengi hata kama wanamishahara wanachukulia pesa zao ni zao tu ili na mme ndiyo za nyumbani. Hii siyo sawa kabisa kuonesha wanaume niwatafutaji but wanawake ni watafutiwaji
 
Ingekuwa ya kijinga na siyo njema sidhani kama ungeifanya tena kwa kuirudiarudia mimi kwangu siyo sifa njema hivyo sifanyi huo ujinga
Kwangu mimi ni sifa ya kijinga au kipumbavu na siyo sifa njema. Kwako je?
 
Remember wanaume tupo wachache kuliko wanawake. Hata kama anahitajikula pesa basi wawe na technical na kula pesa, mimi hapa ukiniomba pesa tuuu baaya kukutongoza na kula kona but ukiwa na subila hata uwanja na kununulia. Siyo nimekutongoza tu unaanza nataka nikasuke, gas imeisha, mama mgojwa etc. Hata kama nitakupa pesa nitakupa na nikikuchapa nakula kona. Ukiwa mvumilivu tunayajenga nawe unafaidika zaidi kuliko pesa kuwa mbele
Sijaelewa hoja yako ya kusema kuwa wanaume mpo wengi wanawake tupo wachache kwahiyo kama ni hivyo ndiyo mmejihalalishia umalaya sivyo?
 
Kumbuka ndoa yako ni moja kati ya ndoa zilizopo kwenye jamii, ikiwa ndoa yako ni nzuri itatumika kama sample katika ndoa nzuri na ikiwa mbaya itakuwa mfano wa ndoa mbaya.
Maisha yamebadilika sana, sasa hakuna kazi za kike wala za kiume na ndiyo maana wengine wanaweka house boy badala ya house girl. Ukisema kunakazi za kike na za kiume katika ulimwengu wa sasa unakuwa unapoteza wewe maana ulimwengu ushatoka huko. Ndiyo maana nasema hivi wanawake waache tabia za kusubili watongozwe ili wamalize matatizo yao bali watafute pesa.
Mimi nimewahi date na mdada mfanyakazi anamshahara wake but akipokea msharaha anakuwa na jeuri, tarehe dume baby, baby haziishi kisa hana pesa, najiuliza why anakuwa hivi?. Hili ni tatizo kubwa kwa wadada wasomi ndiyo maana wanashindwa kulinda na kuboresha mahusiano, kwa kuwa hawajatambua mahusiano ni swala tofauti na vipato, mwanamke kuwa na kipato haina maana uwe jeuri na ndiyo maana wanaume wengi waliooa wasomi na wenye kazi wanakimbilia michepuko kwa maana humo ndani ni Pricples and law. Vipi kuhusu hilo?
Basi hapa nabishana na mtu ambaye siyo sahihi kama wewe unafanya hivyo hongera na ndiyo maana nikiwa nabishana na mtu sipendi kuongelea ndoa yangu binafsi au mtu aongelee ndoa yake binafsi napenda tuongelee jamii kwa ujumla maana wengine ndoa zetu hazina matatizo

Hivyo huwa nataka kugusia jamii nzima yaani na ndoa za watu wengine zenye matatizo hata mimi mume wangu huwa ananisaidia hizo kazi akijisikia kama hatuna housegirl ila naongelea wale wanaume ambao hawataki kabisa kuwasaidia wake zao hizo kazi na wanang'ang'ania kwamba ni kazi za kike wewe unawaongeleaje?
 
Soma vizuri, wanaume wachache wanawake wengi hivyo nature inatulazimisha tuwe nao wengi ili wote mpata kuzaaa pamoja na mahaba
Sijaelewa hoja yako ya kusema kuwa wanaume mpo wengi wanawake tupo wachache kwahiyo kama ni hivyo ndiyo mmejihalalishia umalaya sivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom