Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Majority tunataka pesa na mimali mingine , ,, some love and carings.. kuna suala la kufikishwa kileleni yaniii

Cc Smart911
 
Nani alikwambia kuwa zamani wanaume hawakuwa na mawazo hayo? Yaani wanaume wa kiafrika ndiyo mawazo yao miaka nenda rudi na wala sitaki kuwabadilisha ila nataka wajue tu kuwa ni wapumbavu maana hawajui hilo!
Kwa hy hata baba yako ni mpumbavu au wewe si mwafrika
 
Ndicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
"Nendeni mkazaliane muongezeke na kuijaza dunia" Sasa wewe unataka tuweze nini kingine nakati Wanaume tuna X & Y ila Wanawake mna Y pekee?
 
[emoji1787][emoji1787]tuna Y pekee? Umesoma biology ya wapi?

[emoji5][emoji5]and by the way huyo huyo Mungu aliyeruhusu tuzaliane na tuongezeke ndiyo huyo huyo aliyekataza uzinzi na uasherati tena kwa jinsia zote mbili
"Nendeni mkazaliane muongezeke na kuijaza dunia" Sasa wewe unataka tuweze nini kingine nakati Wanaume tuna X & Y ila Wanawake mna Y pekee?
 
Ndiyo acha tu iwe hivyo maana hata ninyi mkikubaliwa tu tayari mnawafanya watoto wa watu mahousegirl akija kwako lazima afanye kazi zote za ndani sasa kwani wewe hauziwezi au yeye naye ni mzazi wako?
Ukiomba no ya simu tu tayari ushakuwa Mzazi wake hata kama unataka kupeana naye chaneli za maendeleo [emoji23]
 
Kwani bongo hakuna mashoga? Au wazungu wanaonekana wabaya kwa sababu wanafanya hadharani ila wabongo wanaonekana wema kwa sababu wanafanya sirini? Haya mambo yapo dunia nzima na wala hayakuanzia kwa wazungu

Yalianzia miji ya Sodoma na Gomora ambayo ipo mashariki ya kati mwa dunia ila ni vile tu wazungu hawataki unafiki wameamua wafanye hadharani siyo kama mataifa mengine yanajifanya kupinga ushoga kumbe unafiki tu wanafanya sirini

Kwahiyo usiniambie habari za ushoga maana upo dunia nzima na hapa hoja ni kwamba wazungu wametuzidi kila kitu na hatutakuja kuwafikia hata siku moja na ukweli utabaki pale pale kuwa waafrika wengi ni wapumbavu na ni wa kudharauliwa tu

Kutwa kuwaza ngono na ndiyo maana hatuendelei hapo ulipo usikute hauna maisha yanayoeleweka ila umebaki kuwaza ngono tu! SMH! So I guess you have now understood who has a poor mind between me and you
You obviously need psychological advisement coz I hadn't ever see you to be in positive minds at least once to any thread talking about Men.

Can't you even try to appreciate them rather than arguing all the time at least once Marrianah Mummy?
 
Kwahiyo hapo unahisi unakuwa umefanya jambo la maana si eti? Yaani wanaume wa bongo na roho zenu hizo bado mnataka muonewe huruma na wanawake? Acheni tu yanayowakuta yawakute kwa kweli
Usitufanyie hivyo Bibiye tafadhali tuonee huruma watoto wa Mwanamke mwenzio Marrianah Mama [emoji851]
 
Nani alikwambia kuwa zamani wanaume hawakuwa na mawazo hayo? Yaani wanaume wa kiafrika ndiyo mawazo yao miaka nenda rudi na wala sitaki kuwabadilisha ila nataka wajue tu kuwa ni wapumbavu maana hawajui hilo!
Kwa niaba ya Baba yetu Mzazi aliyekuzaa nakataa nikisema hapana kwa big NO.
 
You obviously need psychological advisement coz I hadn't ever see you to be in positive minds at least once to any thread talking about Men.

Can't you even try to appreciate them rather than arguing all the time at least once Marrianah Mummy?
Give me even one reason why I should appreciate Tanzanian men

By the way I never criticize all men but most men especially African men and ofcourse there are some exceptions my husband being one of them
 
[emoji1787][emoji1787]tuna Y pekee? Umesoma biology ya wapi?

[emoji5][emoji5]and by the way huyo huyo Mungu aliyeruhusu tuzaliane na tuongezeke ndiyo huyo huyo aliyekataza uzinzi na uasherati tena kwa jinsia zote mbili
Biology nimeisomea hapa hapa kwenye shule za kayumba sababu sisi ndiyo tunapandikiza mbegu lakini ninyi Wanawake mnapokea na kuzirutubisha [emoji3]
 
Give me even one reason why I should appreciate Tanzanian men

By the way I never criticize all men but most men especially African men and ofcourse there are some exceptions my husband being one of them
The main reason is that first of all you have to understand that there is anyone is perfect to 100% rate.

The second one in real love there must be tolerance/passion/indurance as we have been instructed from the Bible verses.

When you see there is some imperfections you have to tolerate and forgive your closely relative and still life goes on which is the hardest thing to many women due to their natural creation factors.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom