Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Hivi kati ya wanaume na wanawake ni kina nani wanapenda barter trade?
Mimi binafisi namchukia mwanamke nikimtingoza anitangulizie matatizo yake. Ndiyo napenda kulea na kuwajibika kama baba, why nakutongoza tu unataka nikuhudumie hapo hapo?
 
Haha yaani wanaume wa JF mkiona mmebanwa na mmeshindwa kwa hoja huwa mnahamia kwenye maisha halisi ya watu sasa tena mnalazimisha kabisa yawe kama mnavyoamini ninyi mimi hizo kauli nimeshazizoea na wala hazinitetereshi kuongea ukweli kwahiyo vipi sasa unakuja na hoja au unaendelea kuotea mimi ni mtu wa aina gani? Hahahaha!
Kutokana na majibu yako, ushawahi umizwaaa, thus why you hate men hata uliyenae unazuga nae tu but mambo si shwari
 
Ndicho kinachokufurahisha masikini pole nimegundua wanaume wengi wa JF faraja yenu ni kulazimisha kuwa wanawake wanaowaambia ukweli ni either wameumizwa au wananyanyaswa haki JF has taught me a lot more about most African men hhmm next
I concluded conlusively ushaumizwa mdada wa watu, mapenzi noma sana.
 
Haha yaani wanaume wa JF mkiona mmebanwa na mmeshindwa kwa hoja huwa mnahamia kwenye maisha halisi ya watu sasa tena mnalazimisha kabisa yawe kama mnavyoamini ninyi mimi hizo kauli nimeshazizoea na wala hazinitetereshi kuongea ukweli kwahiyo vipi sasa unakuja na hoja au unaendelea kuotea mimi ni mtu wa aina gani? Hahahaha!
Tunajadiriana kutoka kwenye uharisia. Ulimwengu wa sasa umetawaliwa sana na fake life, tupo kwenye uharisia. Mimi pia hapa ninamke nimeoa but nawe umeolewa basi tuzungumzie uharisia siyo hoja za kufikrika. Are you happy with your marriage?
 
Mimi binafisi namchukia mwanamke nikimtingoza anitangulizie matatizo yake. Ndiyo napenda kulea na kuwajibika kama baba, why nakutongoza tu unataka nikuhudumie hapo hapo?
Kwa sababu mwanamke anakuwa ameshajua kuwa umemtongoza ili tu upige na kusepa lakini hauna malengo naye hivyo kabla haujapiga na kusepa na yeye lazima aambulie kitu
 
Wanawake hawaeleweki wanataka nini hasa maishani,ukiona umeanza kuwaelewa basi ujue unakaribia kufa..
Akiwa na mwanaume tajiri atataka maskini na akipata maskini atataka tajiri

Halafu visichana ndio pasua kichwa kabisa,utakuta namba kamekupa chenyewe Instagram tena kwa hiari yake kabisa DM ukimcheki Whatsapp Mara hajibu akijibu anajibu baada ya masaa 4,sasa kama haujisikii unatoa namba ya nini?

Hivi hamjui Teckno hazichelewi kujaa!memori kadi.
Tahadhari yako ni kama vile uliwahi kufa, ukafufuka na sasa unatusimulia uliyoyaona ulipokuwa unakaribia kufa.
 
Tunajadiriana kutoka kwenye uharisia. Ulimwengu wa sasa umetawaliwa sana na fake life, tupo kwenye uharisia. Mimi pia hapa ninamke nimeoa but nawe umeolewa basi tuzungumzie uharisia siyo hoja za kufikrika. Are you happy with your marriage?
Tatizo lako hautaki kuambiwa ukweli ila unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia kule juu kuna comment nilishamsifia mume wangu ukanibishia sasa unataka nikwambie nini tena? Nikwambie napigwa ili tu macho yako yafurahi kusoma hiyo comment? Ulivyo wewe kwa mke wako sivyo kila mwanaume alivyo kwa mke wake sasa wewe ndiyo useme unataka kuambiwa ukweli au unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia tu?
 
Mimi nafahamu wanawake wengi walioumizwa hawasemi kweri na wala hawana hisia, na ninawaheshimu sana wanawake because are very good almost in everthing in our life. But nachukia sana mimi nikikutonfonza ukanikubali kisha ukanishushia bili ya matatizo yako. Yes I am man nahitaji muda wa kufikia kutake over control ya mahitaji yako.
Ndicho kinachokufurahisha masikini pole nimegundua wanaume wengi wa JF faraja yenu ni kulazimisha kuwa wanawake wanaowaambia ukweli ni either wameumizwa au wananyanyaswa haki JF has taught me a lot more about most African men hhmm next
 
Hahahhaha. Kama nia ndiyo hii wapo sahii, na maana yake anauza. But why usimukatae tu siyo kumkubali na kutaka pesa hapo hapo. Is that business?
Kwa sababu mwanamke anakuwa ameshajua kuwa umemtongoza ili tu upige na kusepa lakini hauna malengo naye hivyo kabla haujapiga na kusepa na yeye lazima aambulie kitu
 
Mimi sipigi mke wangu, mke wangu ni zawadi kubwa sana katika maisha yangu na ninalea na kumpetipeti kuliko kifani. Mke wangu anasikia tu story za manyanyaso kwa wanandoa na huwa ananiambia hayo mambo ni yakufikrika tu maana yeye kwenye maisha yake anayasikia tu.
Tatizo lako hautaki kuambiwa ukweli ila unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia kule juu kuna comment nilishamsifia mume wangu ukanibishia sasa unataka nikwambie nini tena? Nikwambie napigwa ili tu macho yako yafurahi kusoma hiyo comment? Ulivyo wewe kwa mke wako sivyo kila mwanaume alivyo kwa mke wake sasa wewe ndiyo useme unataka kuambiwa ukweli au unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia tu?
 
Mimi nafahamu wanawake wengi walioumizwa hawasemi kweri na wala hawana hisia, na ninawaheshimu sana wanawake because are very good almost in everthing in our life. But nachukia sana mimi nikikutonfonza ukanikubali kisha ukanishushia bili ya matatizo yako. Yes I am man nahitaji muda wa kufikia kutake over control ya mahitaji yako.
Bongo:

Mwanaume mwenye wanawake wengi ni kidume ila Mwanamke mwenye wanaume wengi ni malaya

Mwanaume akichelewa kuoa hajajipanga ila Mwanamke akichelewa kuolewa anadanga

Mwanaume akizaa kabla ya ndoa bahati mbaya ila Mwanamke akizaa kabla ya ndoa ni makusudi

Mwanaume akichepuka siyo kosa lake ila Mwanamke akichepuka ni kosa lake

Niambie kwa kejeli na dharau hizo kutoka kwa wanaume mnataka wanawake wafanyaje kama wanaume wenyewe ndiyo ninyi mkitongoza mkakubaliwa baada ya hapo mnakuja na kauli kama hizo mnataka wanawake wafanyaje kwa mfano?
 
Wenye shida sana hawawezi kukataa
Hahahhaha. Kama nia ndiyo hii wapo sahii, na maana yake anauza. But why usimukatae tu siyo kumkubali na kutaka pesa hapo hapo. Is that business?
 
Ila unamsaliti?
Mimi sipigi mke wangu, mke wangu ni zawadi kubwa sana katika maisha yangu na ninalea na kumpetipeti kuliko kifani. Mke wangu anasikia tu story za manyanyaso kwa wanandoa na huwa ananiambia hayo mambo ni yakufikrika tu maana yeye kwenye maisha yake anayasikia tu.
 
Mimi nipo tofauti na kauli hizo, kunamudogo wangu wa kike alipata ujauzito nilitofautia na mama pamoja na baba, wao walikuwa wanamlaumu mimi ni kawambia mazingira aliyokuwa nayo tutamlaumu bure, nilikuwa na proposal akadome baada ya kujifungua.

Shida kubwa mimi ni kuwa wanawake hawataki kubadilika na kutambua ukweri kwamba maisha yamebadilika hivyo nao wanapaswa wasimame kama vijwa katika maisha yao na siyo wawe na ndoto za kupata mwanaume aliye na maisha mazuri ili wakafurahie maisha. Hiki kitu kinawafanya wanawake watangetage kwa maanawanajikuta hawapiganii maisha shao bali wanapigania maisha ya wanaume walio bora.

Hii ndiyo sababu mdada akitongozwa kipimo chake ni kuona kama mwanamume anapesa ya kumuhidumia wala haangarii tabia za mwanamume wake ni mzuri au baya, yeye anawaza tu anakazi gani au biashara gani? Anahonga?

Mahusiano ya kimapenzi lengo kuu ni kuzaa na kutimiziana hitaji la hisia hayo mengine ni ziada.
I love women, I trust woman thanen in any mission but kuwa na fikra tengemezi za kuhudumiwa na mwanae zinawatesa sana
Bongo:

Mwanaume mwenye wanawake wengi ni kidume ila Mwanamke mwenye wanaume wengi ni malaya

Mwanaume akichelewa kuoa hajajipanga ila Mwanamke akichelewa kuolewa anadanga

Mwanaume akizaa kabla ya ndoa bahati mbaya ila Mwanamke akizaa kabla ya ndoa ni makusudi

Mwanaume akichepuka siyo kosa lake ila Mwanamke akichepuka ni kosa lake

Niambie kwa kejeli na dharau hizo kutoka kwa wanaume mnataka wanawake wafanyaje kama wanaume wenyewe ndiyo ninyi mkitongoza mkakubaliwa baada ya hapo mnakuja na kauli kama hizo mnataka wanawake wafanyaje kwa mfano?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom