Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,412
- 191,569
Kwa sababu wameamuaWewe unadhani ni kwanini wanawake wamefikia hatua hiyo?
Kwa sababu wameamuaWewe unadhani ni kwanini wanawake wamefikia hatua hiyo?
Kumbuka ndoa yako ni moja kati ya ndoa zilizopo kwenye jamii, ikiwa ndoa yako ni nzuri itatumika kama sample katika ndoa nzuri na ikiwa mbaya itakuwa mfano wa ndoa mbaya.
Maisha yamebadilika sana, sasa hakuna kazi za kike wala za kiume na ndiyo maana wengine wanaweka house boy badala ya house girl. Ukisema kunakazi za kike na za kiume katika ulimwengu wa sasa unakuwa unapoteza wewe maana ulimwengu ushatoka huko. Ndiyo maana nasema hivi wanawake waache tabia za kusubili watongozwe ili wamalize matatizo yao bali watafute pesa.
Mimi nimewahi date na mdada mfanyakazi anamshahara wake but akipokea msharaha anakuwa na jeuri, tarehe dume baby, baby haziishi kisa hana pesa, najiuliza why anakuwa hivi?. Hili ni tatizo kubwa kwa wadada wasomi ndiyo maana wanashindwa kulinda na kuboresha mahusiano, kwa kuwa hawajatambua mahusiano ni swala tofauti na vipato, mwanamke kuwa na kipato haina maana uwe jeuri na ndiyo maana wanaume wengi waliooa wasomi na wenye kazi wanakimbilia michepuko kwa maana humo ndani ni Pricples and law. Vipi kuhusu hilo?
Soma vizuri, wanaume wachache wanawake wengi hivyo nature inatulazimisha tuwe nao wengi ili wote mpata kuzaaa pamoja na mahaba
Kwa sababu wameamua
Marianah mpenzi nakupa pongezi huwa unaenda nao Sawa kwenye mada ila ni vichwa ngumu hasa Extrovert.Na wanaume wanakuwa hivi kwa sababu gani?
Asante mwaya yaani ni vichwa ngumu haswa wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuhusianisha ninayoyaandika humu na maisha yangu halisi wanasema nina stress za kuachwa au kunyanyaswa na wanaumeMarianah mpenzi nakupa pongezi huwa unaenda nao Sawa kwenye mada ila ni vichwa ngumu hasa Extrovert.
Kwa sababu wamependa tuNa wanaume wanakuwa hivi kwa sababu gani?
Mmmhhh !!!, Kwanini una mawazo kama hayo ???.Atakuwa amesha rest in peace huyo mkuu! Hahaaa
Wewe unaoongea tu Bibie....utamvumilia siku zote? Waweza kumvumilia lakini amini amini nakwambia kamwe hatofurahia Maisha yake.... Hakuna mwanaume atafutahia kuwa na mijihera halafu warembo anaishia kuwaita shemeji na kwa mkewe anaishia kumpapasa tu!!! Naamini hata wewe hautuvumilia kupapaswa tu kila siku bila kuzamishiwa na kufikishwa kwenye tamati ya kiu halisiKwangu bora mwanaume akose nguvu za kiume kuliko kukosa hela yaani kama ananihudumia vizuri basi nitajitahidi kumvumilia tu hali yake ila asipokuwa na hela hata awe na uume kama kombeo au awe na hamu za kushato akiwa anahangaika juu yangu nitakuwa namuona kama ling'ombe tu mwanaume unaringiaje nguvu za kiume wakati hauna pesa familia itakula hiyo mashine yako au? Au akiwa nazo mke ndiyo inatosha? Tena mimi sitaki kabisa kumsikia mwanaume ambaye atanitegemea kiuchumi huo ni mzigo
Mtazamo hasi huu....unakua umejuaje kama anata show na kusepa? Na kama unajiheshimu kwanini ukubali? Kwanini ujionyeshe kwamba uko tayari kutoa uke wako kwa kubadilishana na pesa kama kweli unajitambua na kujiheshimu?Kwa sababu mwanamke anakuwa ameshajua kuwa umemtongoza ili tu upige na kusepa lakini hauna malengo naye hivyo kabla haujapiga na kusepa na yeye lazima aambulie kitu
Waislamu wanaoa hata watatu. Dini yaruhusu.Ndiyo nikauliza kwahiyo mnahalalisha umalaya? Hivi wewe ni dini gani mkuu? Na hiyo nature inayoiongelea ni nature ipi? Hiyo nature ndiyo ina nguvu kuliko Mungu aliyetuumba na aliyeiumba hiyo nature?
Sasa kama ni hivyo kwanini wanaume mnawalaumu wanawake ila hamtaki wanawake wawalaumu wanaume?Kwa sababu wamependa tu
Wewe unaoongea tu Bibie....utamvumilia siku zote? Waweza kumvumilia lakini amini amini nakwambia kamwe hatofurahia Maisha yake.... Hakuna mwanaume atafutahia kuwa na mijihera halafu warembo anaishia kuwaita shemeji na kwa mkewe anaishia kumpapasa tu!!! Naamini hata wewe hautuvumilia kupapaswa tu kila siku bila kuzamishiwa na kufikishwa kwenye tamati ya kiu halisi
Mtazamo hasi huu....unakua umejuaje kama anata show na kusepa? Na kama unajiheshimu kwanini ukubali? Kwanini ujionyeshe kwamba uko tayari kutoa uke wako kwa kubadilishana na pesa kama kweli unajitambua na kujiheshimu?
Ndiomaana watu wanasema either umeshatendwa au haufurahii relationship uliyonayo au ulizokwishapitia au unafanya makusudi kuongelea vitu visivyo na uhalisia
Waislamu wanaoa hata watatu. Dini yaruhusu.
Hahaa hatariiiihahahahahaha kuna jamaa alileta mada ya kuwaelewa wanawake sijui kama hakufia msamvu yule maana umesema ukianza kuwaelewa basi ndo safari.
Bado hainizuii kusema kweli
Huenda mkuu ingawa I'm not sure if it is possibleBora siku yako ya Kufa unaweza hata kukisia