Ukiona Mtu mzima analia, ujue yamemkuta

Achukue maamuzi magumu,aache kulia lia AMPE TALAKA HATA YESU ALIRUHUSU.
Akiendelea kulia lia tu atakufa kwa kihoro au atajinyonga,achana nae,aoe mke mwingine mwenye mapenzi na yeye.
Asiendelee kuendekeza ujinga,wako wanawake wengi.
 
Hatua alizokuwa anachukua baada ya kufumania? Mara tatu too much, ila siyo kuwa kasahau, bali anaishi na maumivu, na mkewe kishamuona ni mchukua maumivu ndo maana anamuongeza kila yanapopungua. Alie hivo hivo, thawabu yake ni kubwa sana.
 
Analia nini sasa rijali mzima, anatakiwa awe na maamuzi magumu ili aepukane na hili janga la sivyo baada ya kulia next time atafanya makubwa zaidi hata mauaji then anaenda jela anawaacha wao wanaendelea kustarehe
 
Nashauri mshikaji aache kulia na kuhesabu mara ngapi mkewe ka-cheat na badala yake akae chini na atumie mkono wa kulia kuhesabu vidole vya mkono wa kushoto akikumbuka ni mara ngapi yeye mwenyewe ame-cheat. Vidole vitano vya mkono wa kushoto vikiisha ahesabu vya mkono wa kulia vikiisha hajamaliza aende vya miguuuni akiona hesabu inaendelea atabasamu na kumfuata mkewe. Ambusu na kumbwambia maadamu Jesus alisema tusamehe 7 X 70 (ambayo ni 490) basi ajue bado 487. Asipokuwa mwangalifu 487 zitaisha kabla hawajazeeka na itakuwa hasara yake (Mke) mwenyewe.

Mkuu akihesabu kwa ninavyomjua mimi huyu jamaa, sidhani kama hata cha kwanza kitaisha plus kabla hajaoa na zile za Baba na mama...alikuwa mgeni katika ligi jamaa hata za nyumbani tu achilia za ugenini ambazo hajawahi piga....
 
Mimi siwezi kuvumilia, yan 3 times ndani ya Master bedroom yangu? Huyo jamaa yako zoba, bila shaka ni mtoto wa mwisho kuzaliwa kwao!

ooohhh ni first born kwao na kwao zilikuwaga njema sema zikachenga si unajua baba akiondoka...unaukumbuka ule wimbo wa HBC? alikuwa na chaser sijui ikawa vipi and so on?
 
Achukue maamuzi magumu,aache kulia lia AMPE TALAKA HATA YESU ALIRUHUSU.
Akiendelea kulia lia tu atakufa kwa kihoro au atajinyonga,achana nae,aoe mke mwingine mwenye mapenzi na yeye.
Asiendelee kuendekeza ujinga,wako wanawake wengi.

Nitampa ushauri mkuu...jamaa dini kidogo sasa ndo tatizo....
 
Wote wawili wana matatizo.. Mwambie aachana nae leo..... Neno linasema, Mwanamke asiachwe, isipokuwa kwa uasherati!!!!! Wengine ukisiia tu, UNAACHANA nae.. Yeye kamkuta bedroom yao.. Khaaaa!!!! Au hana kipato anamtegemea huyo mwanamke kwa kila kitu? Huyo mwanamke nae hana akili.. kwa nini awalete nyumbani? HILO ni bonge la DHARAU!
 
Hatua alizokuwa anachukua baada ya kufumania? Mara tatu too much, ila siyo kuwa kasahau, bali anaishi na maumivu, na mkewe kishamuona ni mchukua maumivu ndo maana anamuongeza kila yanapopungua. Alie hivo hivo, thawabu yake ni kubwa sana.

Mkuu si unajua tena nyumba ni ya mke, akifumania anaombwa msamaha asipoafiki anageuziwa kibao...mwanaume suruari anatoka siku tatu then anafuatwa yanaisha...kila mtu haingilii kurudiana kwao maana watu wamechoka....
 
Analia nini sasa rijali mzima, anatakiwa awe na maamuzi magumu ili aepukane na hili janga la sivyo baada ya kulia next time atafanya makubwa zaidi hata mauaji then anaenda jela anawaacha wao wanaendelea kustarehe

nadhani yuko kama Kikwete...hana amaamuzi magumu huyu...btw nitafikisha ujumbe wenu na asanteni sana wana jf
 
Wote wawili wana matatizo.. Mwambie aachana nae leo..... Neno linasema, Mwanamke asiachwe, isipokuwa kwa uasherati!!!!! Wengine ukisiia tu, UNAACHANA nae.. Yeye kamkuta bedroom yao.. Khaaaa!!!! Au hana kipato anamtegemea huyo mwanamke kwa kila kitu? Huyo mwanamke nae hana akili.. kwa nini awalete nyumbani? HILO ni bonge la DHARAU!

nimesema mkuu nyumba ni ya mwanamke....kila kitu mke ndo anafanya, jamaa kazi ndo hizi zetu office mfukoni and everything....kwao zilikuwaga njema, shule alipiga chini, mzee alipoondoka na mali zikaanza kuondoka, familia ikaongezeka, watoto wa nje wakaja juu, at the end mgawanyo ukawa finyu....
 
Kusahau au kujifanya umesahau! Kiukweli huwa sisahau matukio yaliyonitokea ila sipendi kuyapa nafasi ya kuyawazia au kuyafikiria maana kufanya hvyo ni kujikosesha raha.
 
Kusahau au kujifanya umesahau! Kiukweli huwa sisahau matukio yaliyonitokea ila sipendi kuyapa nafasi ya kuyawazia au kuyafikiria maana kufanya hvyo ni kujikosesha raha.

Umesema kweli ila huyu jamaa kwa kweli anavumilia mengii labda one day will be fine
 
Mpe Pole..
Mwambie aendelee kuwa mvumilivu na amkumbushe mkewe awe anatumia kinga ili asilete Ngoma nyumbani...
Ikiwezekana amnunulie kabisa awe anampa kila akitoka, manake hatuna uhakika kama hachezi mechi za nje...

Khaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
mh kweli i am speechless
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom