Ukiona Mtu mzima analia, ujue yamemkuta

bora aisee kama anaendelea tu na mabaya yake hata akiambiwa mra ngapi aangalie ustaarabu, unavu,ilia panapo maslahi ya ndoa

Nikupe contact zake nini? Umalize kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Narudie tena, HUYO JAMAA XAKO NI PUNGA, Mwanamke hawezi kufanya hv 3 times then mume usitake measure, dalili zinaonyesha mwenzio huyo hayupo sawa, sio rijali huyu!
 
Narudie tena, HUYO JAMAA XAKO NI PUNGA, Mwanamke hawezi kufanya hv 3 times then mume usitake measure, dalili zinaonyesha mwenzio huyo hayupo sawa, sio rijali huyu!

Bunge limeisha ndugu mbona mkali? Tuliza mnkali kila mwaka kuna Bunge bwana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom