Ukioa mke sio bikra, umeoa mpenzi wa mtu

Ukioa mke sio bikra, umeoa mpenzi wa mtu

Kumbe ndoa nyingi si mpya, ni za kurekebisha!! Kwa sababu unaoa mke ambaye katolewa ubikra na mwanaume mwingine na katembea na midume kibao kabla ya kuolewa !! Terrible!!
Alafu anataka harusi ya gharama 50M
Huko mtaani kwao alikuwa anawagongesha na kuwapanga mbaya
 
Sasa mtu mweusi kumuoa mweusi mwenzake ni inferiority? Au maana yako ni ipi?
Ya kuto kujiamini na kudhani kutunza iyo bikira yako ndio siraha ya mwisho kufikia mahusiano bora
 
Kizuri unakula na mwenzio haijaumbwa iwe yako peke yako!!! Hata akimpa mwingine utamu upo pale pale.
Ila kuchapiwa kunauma!!!!!
Bora Mkuu unalijua hili watu wanatokwa povu kuchapiwa inauma lakini mtoa mada yuko sahihi
 
Mwanamke hata ukiwa wewe ndio umemtoa bikra akiamua kumgawia mtu mwingine huwezi kumzuia, maana wale waliooa mabikra wanapigiwa vile vile [emoji23]
Tena akionja ya njee ndio hawashikiki utajuta kumjua na bikra yake
 
Ya kuto kujiamini na kudhani kutunza iyo bikira yako ndio siraha ya mwisho kufikia mahusiano bora
Kwani ni dhambi endapo Bikra akamuoa bikra mwenzake?
 
Unapoleta hizi taarifa kuna wanandoa wa namna hiyo wana watoto 2-4 na wako kwenye ndoa zaidi ya miaka 20. Then what mke wa mtu has to do with ndoa ya miaka 20. Too late
 
Bikra hata sipendi maana sipendi kung'atwa na kuparuliwa makucha wakati wa kuitoa.
unajidanganya wewe, bikra tunazipenda wanaume wote, though mpenz wangu sio bikra inaniuma nikifikiria aliyemtoa japo nami niliotea moja.
 
Kwanini iliwekwa? tuanzie apo kwanza.
Sijaelewa, hapa inazungumzia bikra au kizinda?
Kama n kizinda kuna wanawake wanazaliwa hawana, na bikra ni hali ya kutokuwahi kukutana na mwanaume/ ke kimwili.

Incase of kizinda, inaweza tolewa kwa njia hyo pia lakn bikra, hata niendeshe bicycle au mazoezi magumu bado hali itabaki vile vile.
Kizinda ni ushahidi tu wa kuwa bikra, lakini wengi hudhani wamekutana na mwanamke asiye bikra kwa kukosekana tu kwa kizinda.

But all in all, judge yourself first and judge ur neighbour finally.
Kila mtu atapata wa kufanana naye, usiumie unapooa asiye bikra, hayo yawezekana yalikua mapito yake na tayar ametulia na wewe.

Kuna faida gan ya kuoa bikra ( ingawa ndivyo ilivyo/inavyotakiwa kwamba tusifanye ngono kabla ya ndoa) halafu akawa pasua kichwa ktk familia yako?

NB: Miili yetu tuitunze sana, sio ya kutumika hovyo kiasi hcho...........!
iliwekwa ili ifike Siku itoke lakini haikuwekwa ili mchagulie mke
 
imani potofu hizi sasa unamtusi mpaka mama yako mzazi?
 
IMG-20161027-WA0000.jpg
 
Sijaelewa, hapa inazungumzia bikra au kizinda?
Kama n kizinda kuna wanawake wanazaliwa hawana, na bikra ni hali ya kutokuwahi kukutana na mwanaume/ ke kimwili.

Incase of kizinda, inaweza tolewa kwa njia hyo pia lakn bikra, hata niendeshe bicycle au mazoezi magumu bado hali itabaki vile vile.
Kizinda ni ushahidi tu wa kuwa bikra, lakini wengi hudhani wamekutana na mwanamke asiye bikra kwa kukosekana tu kwa kizinda.

But all in all, judge yourself first and judge ur neighbour finally.
Kila mtu atapata wa kufanana naye, usiumie unapooa asiye bikra, hayo yawezekana yalikua mapito yake na tayar ametulia na wewe.

Kuna faida gan ya kuoa bikra ( ingawa ndivyo ilivyo/inavyotakiwa kwamba tusifanye ngono kabla ya ndoa) halafu akawa pasua kichwa ktk familia yako?

NB: Miili yetu tuitunze sana, sio ya kutumika hovyo kiasi hcho...........!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] umemaliza yote
 
Back
Top Bottom