Ukioa mke sio bikra, umeoa mpenzi wa mtu

Ukioa mke sio bikra, umeoa mpenzi wa mtu

Sasa una ukubwa gani kama hujaanza? Tukiita wakubwa na wewe utatoka,sio kosa lako kuwaza bikra bila shaka ni kutokana na inferiority uliyonayo
Sasa mtu mweusi kumuoa mweusi mwenzake ni inferiority? Au maana yako ni ipi?
 
Mwanamke hata ukiwa wewe ndio umemtoa bikra akiamua kumgawia mtu mwingine huwezi kumzuia, maana wale waliooa mabikra wanapigiwa vile vile [emoji23]
Ila tunaongelea wale walioolewa na ma-men ambao sio waliowatoa bikra
 
Wanawake Tuna kazi sana, na ukiolewa na mwanaume alietumika, hapo napo inakuwaje maana naona umeegemea upande Mmoja tu.
Aisee kweli,hapo ndo utambue mwanamke ni kiumbe chenye thamani
 
Wanawake Tuna kazi sana, na ukiolewa na mwanaume alietumika, hapo napo inakuwaje maana naona umeegemea upande Mmoja tu.
Nani kakwambia mwanaume anatumika?
 
kwa kifupi wewe ndiye unahatari zaidi, na kama ushatoa bikra wnawake wanne jua wote umewashikilia....hii iko kiimani zaidi na siwezi elezea zaidi ya hapo!
Kuna wanawake wanawachukia wanaume waliowatoa bikra alafu akasepa pale ndio mara yake ya kwanza kuumizwa kutendwa mbaya zaidi ukute alipewa mimba..
Ukiwauliza vipi yule jamaa aliokutoa bikra..utasikia majibu atakayo toa mbw**@yule k*** mae zake wengin mpaka machoz..
 
Back
Top Bottom