Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Kwani kuna mtu alichongeshewa dushe au papuchi?? Kizuri kula na nduguyo
umuhimu wake ni nini.?Sild muhimu mwana
Mbili mkuu ya kwanza siku ya kwanza haikutoka.Umeshazitoa ngapi??
Kweli bro ,sasa hv ukiwachukua watoto wwakike waliohitimu darasa la 7,kati ya 10 usishangae kupata bikra 3,hadi wakimaliza kidato cha nne,ndio hakuna kabisaKwani unavyooa wewe mwenyewe unakuwa bikira? Kwa maisha ya leo wangapi wanaoa wakiwa na bikira?
Aisee ..!!Uzuri haina stamp tunaweza kushare
Kweli kabisa yamenikuta haya, nyoka amesharudi porini kwao, baada ya kuishi nae miaka 13 Ndani.Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
mkuu ama kweli bikra za MALIMAO ZITAKUA ZIMEKUTEKAmpaka leo haujui kwanini bidhaa zinawekwaga sild???
Labda
*bikra imetolewa na kiti cha baiskeli
*aliemtoa bikra amefariki
*au alibakwa
Kwani kama kuoa unaoa bikra au unaoa mwanamke? ikiwa unataka kuoa kijana jaribu kutathmini unachokitaka toka Huyo mwanamke kama unataka bikra yake au unamtaka yeye na mapungufu aliyonayo kama binaadam mwingine yeyote
Hashibi nini sasa!inategemea labda kama hashibi
je kama bikra ilitoka kwa kupanda baiskeli
Chakula cha usikuHashibi nini sasa!
Kwel mkuu unakutaka dem katolewa bikra akiwa 16 anaolewa na 27 hapo kafanya abortion,kapigwa mtungo, wale wa kutest 0713 wametest, wakumnyonyesha dyudyu washafanya hvyo...kapigwa picha za uchi aisee mpaka nahisi presha maana unaoa wife kama hiace ya daladala...ndo maana mngekuwa mnafata sheria za bible na misaafu haya yasingewakuta tungewaoa wanawake mkiwa bado kama mlivyoumbwaACHA POROJO ZA KUTUPUMBAZA WEWE....
Kamwe siwezi kuoa janamke USED mimi... Labda nife....
Yaani unaambulia makombo ya wanaume wenzio... Weznio washatumia wakatema matapishi....
UJINGA HUO NANI ANAUTAKA...
Mfyuuuuu (mfyonzo wa kike)
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Kuoa mwanamke bikra ni sawa nakuoa POGBA tuu, bora hawa hawa magwiji.
Bikra hata sipendi maana sipendi kung'atwa na kuparuliwa makucha wakati wa kuitoa.
Tumwachie mwenyez Mungu,,,maana akiwa na tamaa tamaaa lazima apakuliwe mana si mchezo...kuna mdada alidanganywa kuwa atapewa gari siku ya tukio kapewa hadi funguo za gari akatoa huduma na hata upande WA pili.game imeisha akaja kubadilishiwa funguo za bodaboda....Kwani kama kuoa unaoa bikra au unaoa mwanamke? ikiwa unataka kuoa kijana jaribu kutathmini unachokitaka toka Huyo mwanamke kama unataka bikra yake au unamtaka yeye na mapungufu aliyonayo kama binaadam mwingine yeyote