The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 813
Hahahahahahaaaaa....Hahhaah mkuu punguza jazba kwanza,
meza mate alafu uanze kutuelezea mikasa ulokutana nayo mpaka uwachukie bikra
Mzee hamna mkasa ni basi tuu wasumbufu mzigoni.
Hahahahahahaaaaa....Hahhaah mkuu punguza jazba kwanza,
meza mate alafu uanze kutuelezea mikasa ulokutana nayo mpaka uwachukie bikra
Kumbe utoto unakusumbua! Ningeshangaa kama maneno haya yangenenwa na mtu mzima mwenye akili timamu kumbe wewe balehe inakusumbua tuMi bado bikra Mkuu,
Marioo Mna shida nyie hapa mjini! Yaani achen tu wawa Abubakari MzuriWaiter zungushaa
Wewe mawazo yako tu yashakubikiri.Mi bado bikra Mkuu,
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Mkuu kama wewe ulivyomsubiria mchumba mpka aingie ndani ndio uduu nae mwisho wa siku akawa hana bikra ikabidi akumbie baiskeli ilimtoa Bikra[emoji23] [emoji23]
Yule SORAYA wako alikudanganya yake imetolewa na baskeli nawewe ukaingia kingi...hahahah Buege weewe haha
Sasa una ukubwa gani kama hujaanza? Tukiita wakubwa na wewe utatoka,sio kosa lako kuwaza bikra bila shaka ni kutokana na inferiority uliyonayoWewe ovyo kweli, kwahiyo mtu yeyote ambae bado hajaanza ni mtoto?
Inategemea na ulie muoa yukoje.Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
Wacha weeeeeeeeeee,hahaaaaaaa,umesema kweli mama Temba.inategemea labda kama hashibi
Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
Labda kama we hunajipya ila kama ukijiweza sio rahisiUkiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
kuchapa tunapenda sio kuchapiwa weer acha kabisaKizuri unakula na mwenzio haijaumbwa iwe yako peke yako!!! Hata akimpa mwingine utamu upo pale pale.
Ila kuchapiwa kunauma!!!!!