hela
me naelewa nataka pesa
dau kubwaHela shilingi ngap?
Hivi bikira unazitoa wapi? Labda uoe mtoto wa darasa la 4Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
Hapo ndipo sisi wanamume tunaposhindwa kufikiria unakuta umegonga ngozi kibao na kuzitema wadhani hao wataolewa na nani? Tusiishie penye bikra ya mwanamke tu hata vyombo vya usafiri tununue bikra pia hapo tutakuwa tunaithamini bikra kiukweli.Kwani unavyooa wewe mwenyewe unakuwa bikira? Kwa maisha ya leo wangapi wanaoa wakiwa na bikira?
hahahahahhahahahaha bby una maana gani kwa mfano.Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
mhhhhhhhhhkabla ya kuoa jiulize kwanza kitu gani kinokufanya ufuge ng'ombe wakati nyama na maziwa unapata time yoyote ukitaka
We zaa Naye Basi..... Siku hizi Waty wanazaa HawaoiUkiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
dau kubwa
SitakiSi useme bhana,au ukuje pm uninong'oneze[emoji23]
Adui muombee njaahapa mnajifanya mnawachukia marioo wakati
Ndoa zenu zikiyumba mnawakimbilia marioo wawatulize mtima
Mkuu umerusha jiwe kizani subiri uone mapovu yatakavyo watoka,halafu ukiona mwanamke anapenda sana kuchat kupitia mitandao ya kijamii ujue hapo hakuna usalamaUkiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
na mwanaume akiwa anapenda kusema wanawake wakati na yeye yuko hivyo ndo usalama au? nimeuliza tuMkuu umerusha jiwe kizani subiri uone mapovu yatakavyo watoka,halafu ukiona mwanamke anapenda sana kuchat kupitia mitandao ya kijamii ujue hapo hakuna usalama
nilikuwa nakusalimu bbytoNini tena