Ukimpata mke wa ivyo dunia hii,
Jiwe limerushwa gizani.inategemea labda kama hashibi
Kwanini iliwekwa? tuanzie apo kwanza.Kwani kama kuoa unaoa bikra au unaoa mwanamke? ikiwa unataka kuoa kijana jaribu kutathmini unachokitaka toka Huyo mwanamke kama unataka bikra yake au unamtaka yeye na mapungufu aliyonayo kama binaadam mwingine yeyote
Hivi nyie hua mnataka nini kwetu?kwanza nyie wenyewe hamuelewi mnataka nini, sio sex body, hela, caring, au good sex,
iliwekwa ili ifike Siku itoke lakini haikuwekwa ili mchagulie mkeKwanini iliwekwa? tuanzie apo kwanza.
Itolewe mda gani?iliwekwa ili ifike Siku itoke lakini haikuwekwa ili mchagulie mke
Unajua muda wako wa kufa Mkuu? Ukiujua muda wa kufa ndio ntajibu hili swaliItolewe mda gani?
Na limempata mtuJiwe limerushwa gizani.
We yako ilitolewa darasa la ngp?Unajua muda wako wa kufa Mkuu? Ukiujua muda wa kufa ndio ntajibu hili swali
PoleeNa limempata mtu
Kwani unavyooa wewe mwenyewe unakuwa bikira? Kwa maisha ya leo wangapi wanaoa wakiwa na bikira?Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba
umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga
nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
Haya ndio maswali ya kumuuliza mtu mzima mwenzio?We yako ilitolewa darasa la ngp?
Hawa hawa ndio wanaosema hawanunui mbuz kwenye gunia ,ni vigeu geu hawa wala wasikuumize kichwaKwani unavyooa wewe mwenyewe unakuwa bikira? Kwa maisha ya leo wangapi wanaoa wakiwa na bikira?
Kama ni kitu chema kutolewa kiholela, sidhani ka ungeona shida kunijibu.Haya ndio maswali ya kumuuliza mtu mzima mwenzio?