Ukimya wangu!

Ukimya wangu!

Vipi ulimpata wa ku'spend naye ulivyokuja Dar?

Nilibahatika kukutana na $Rejao, it was cool!

daah nilikuwa na mpango wa kumtafuta rejao kumbe ushamuwai bwana loh ? How is he?

He is like $empty kabisa-Si Mchaga yule

ahahaaa empty ? how ? sielewi bwana

Chokest kabisa mu poketi

ahahaaa mvuto je?

Hahahaaa... ndio maana sitaki kabisa kuonana/kujuana na members wa JF huko mtaani. Vijembe njenje

Ha ha ha haaaaaaa, Nasutwa wallahi~~~~~~Hebu ngoja niku-PM Bi Shosti, Mtu Chake atamaindi

Kwi kwi kwi! U mean chaggas ar empty! Tell it gal, how big is the big nose?

Like Chimney

Oohhh!!! NAJUUTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA :lol::lol:😛eep::behindsofa:
 
Oohhh!!! NAJUUTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA :lol::lol:😛eep::behindsofa:

Ahaaa kumbe upo, habari za toka wiki iliyopita. Bwana weye imekuwaje tena tangu siku ile tuonane hata Text hujanitumia kunitaka khali~~~~~~~Vibaya hivyo!
 
Ulikua wapi siku zoote? Source; Asprin

Dada Nilikwenda Comoro kwa Shangazi, nimetembelea Visiwa vya Ngazija na Mayotte~~~~~ "Nimekuja na zawadi leo mama ngoma iko huku"
 
Back
Top Bottom