Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,177
- 18,841
Hahaha 😆 dada acha kupanickNyie huyu **** anawajaza upepo mnamjibu wa nini aseee ni msenge km wasenge wengine tu
Hahaha 😆 dada acha kupanickNyie huyu **** anawajaza upepo mnamjibu wa nini aseee ni msenge km wasenge wengine tu
I'm not trying to win, am just sharing my thoughts..Wewe huna hoja!
Ungenishinda ningejipiga kiberiti🤣🤣
Kwa hio sasa uhai hauna thamani ila mali?Kilichotokea kinahitaji uthibitisho gani?
Uharibifu wa mali za watu na miundombinu ulifanywa na vijana wavuta bangi hauonekani??
Alaaniwe roma na mange kijambio kwa kuhamasisha hiki kilichotokea
Na yule mzee alie kuwa analinda super market hapa mtaani kwetu alie pigwa risasi alikua mhalifu wa aina gani, na yule kijana muuza chips aliye pigwa risasi ya tumbo uhalifu wake ni wa namna gani? Na ni lini imepitishwa adhabu ya mhalifu ni kuuwawa moja kwa moja?Tumevunjiwa maduka na kuibiwa,ndugu zetu wamekatwa vidole kisa walikua na wino wa kupiga kura,sasa tunapanda daladala mbezi kwenda city center miundombinu ya mwendokasi imechomwa na wahalifu