James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,187
- 15,535
Every one is scared of what happened. Wengine wako Msibani. Wengine wanatafkari kabla ya kusema. It's a lot of stress in one week
Haswa ITV, ni wanafiki na wazandiki wakubwa.Ni kweli huu ni Usaliti hata vyombo vyetu vya habari wamejifanya hawajui kilichotokea!!!
💯%.Yaani mpaka viongozi wa dini wameufyta
9dec ngoja wanaume tuingie mzigoni kufa ni zawadi
Do or DIE.
DO OR DIE Kifo ni zawadiEvery one is scared of what happened. Wengine wako Msibani. Wengine wanatafkari kabla ya kusema. It's a lot of stress in one week
Sijui ila kwa hali ilivyo lolote linaweza kutokea, kwa sasa mfumo umekuwa hatari sana.Hofu kwa wauaji ni mbaya sana na inaua kuliko hizo risasi. Angalia hii scenario. Hii ni tukio baya sana tena la kudhamiria na linahitaji hatua zisizo za kawaida. Je, wakitoka maaskofu wote wa Tanzania nzima, wakiongozwa kardinali, wakafanya mkutano, na kulaani yote yaliyotokea, hawa wahuni watathubutu kuwaua wote? Hivyo hivyo kwa viongozi na majaji wote wastaafu na asasi zote.
Tumevunjiwa maduka na kuibiwa,ndugu zetu wamekatwa vidole kisa walikua na wino wa kupiga kura,sasa tunapanda daladala mbezi kwenda city center miundombinu ya mwendokasi imechomwa na wahalifu
Umesema ya kweli. Mtu analalamika gaza wasio na hatia kuuliwa, lakini anafurahia wasio na hatia kuuliwa hapa bongoWewe punguani huna moral authority yakulaani mauaji yeyote yale,hua unafurahia mauaji ya wapalestina hapa unakata kiuno mpaka unaangusha shanga zako za kiunoni,
Umeshusha sana nyuzi humu za kumtetea muuaji Natanyahu eti ICC haina uwezo wa kumkamata,toa unafiki wako hapa,wewe hutakiwi kujifanya eti umeumia,
Unapotetea haki za binadamu au kulaani mauaji ya watu wasio na hatia hutakiwi kubagua wakuwatetea,unapotetea muuaji wa sehemu moja jua kua huo uuaji wa watu wasio na hatia usipochukuliwa hatua basi utasambaa na sehemu zingine na kuua watu wasio na hatia kuonekana ni jambo la kawaida,
Waungwana hupinga mauji ya watu wasio na hatia bila kuangalia ukanda,kabila,skin color,dini na mengineyo,
Narudia tena,wewe punguani huna moral authority ya kujifanya umeumia hapa,ulikua unatamba hapa kua Gaza imevunjwa yote,funga domo lako hilo pimbi wewe.
Hivi hii ya kukatwa kidole ukiwa ulipiga kura ni kweli kabisa ama ilikuwa vitisho?Tumevunjiwa maduka na kuibiwa,ndugu zetu wamekatwa vidole kisa walikua na wino wa kupiga kura,sasa tunapanda daladala mbezi kwenda city center miundombinu ya mwendokasi imechomwa na wahalifu
Pia wewe ni mnafiki Gaza hakuna uonevu wowote unaofanywa bali kilichokuwa kinaendelea ni Wapalestina kuvuna walichopanda Oct 07,2023.Umesema ya kweli. Mtu analalamika gaza wasio na hatia kuuliwa, lakini anafurahia wasio na hatia kuuliwa hapa bongo
Mtu anashangilia wasio na hatia kuuliwa gaza, Ila anasikitika hapa wasio na hatia kuuliwa hapa bongo.
Kuna watu kama Kosugi , kimsboy na 100 others , Hawa wamekua wakipinga mauaji ya wasio na hatia popote, hawabagui. Hawa wanapigania haki kweli. Siku zote wamekua wakipinga uovu unaofanyika gaza, pia wamekua wakipinga uovu unaofanywa na ccm hapa bongo
Wewe pia unafurahia yanayofanya na ccm hapa bongo, lakini unahuzunishwa na uovu unaofanyika huko kwingine. Ukipinga uovu inapaswa kuwa kote
Juzi kuna mkuu anaitwa mjingamimi nilimuuliza swali kwa nini anaamini wanaopigania haki gaza watashinda Ila haamini wanaopigania haki bongo hawatashinda. Sikuelewa majibu yake, nikagundua yupo bias. Watu wengi wana unafki
Watu wamekatwa,ngoja patulie uoneshwe uharamiaHivi hii ya kukatwa kidole ukiwa ulipiga kura ni kweli kabisa ama ilikuwa vitisho?
Maisha ya watu kuanzia waliokuwa wameuawa na kupotezwa miili yao mpaka leo haijulikani ilipo mpaka hawa waliouawa siku ya maandamano yana thamani kubwa more than zillion times ya hizo material things zilizoharibiwa au kuteketezwa.Tumevunjiwa maduka na kuibiwa,ndugu zetu wamekatwa vidole kisa walikua na wino wa kupiga kura,sasa tunapanda daladala mbezi kwenda city center miundombinu ya mwendokasi imechomwa na wahalifu
Hatuhitaji magaidi TZ yanatakiwa kufutwa kabisa dunianiMali za watu na Miundombinu tunaweza kuzirejesha wakati wowote ule Je maisha ya watu mtayarejesha lini? Toka lini adhabu ya mtu kuandamana ni kumuua?
CCM ndo imevunja vituo vya mwendokasi? CCM ndo imechoma maduka na sehemu za biashara za watu? Huna akili wewe hata ukiishiwa unga ndani utailaumu CCM
Ona ulivo bolizozo...ww hata ukiumwa gono utailaumu CCM!C.C.M HAIWEZI KUKWEPA LAWAMA KWA HALI YOYOTE INAYOMKUTA MWANANCHI WA TANZANIA,PENYE KUPONGEZA TUTAPONGEZA
Ona ulivo bolizozo...ww hata ukiumwa gono utailaumu CCM!
Huna akiliNdiyo nitailaumu serikali ya C.CM,kwani haijanipa elimu faafu jinsi ya kujikinga na maradhi ya zinaa
C.CM ndiyo inayounda serikali,serikali ndiyo huweka mifumo mizuri ya elimu ili nijue namna gani naweza epukana/pambana na changamoto za dunia!
Mifumo ya elimu ikiwa butu,inatengeneza raia butu kichwani,UJINGA ndiyo husababisha Maradhi.