Ukimya ni usaliti

Ukimya ni usaliti

Ndiyo maana nasema akili yako ni kiduchu Polisi akifa ndiyo certificate ya kuua maelfu ya raia wasio na silaha?
Maana yake uhalifu,we ulitaka waachiwe kiasi gani?.. mpaka miji yote iteketee?..wangezidiwa vyombo vya usalama,sasa hivi si ingekua nchi imepinduliwa na jeshi kuchukua nchi?.. wangapi wangekua mfu?.. uharibifu ungekua kiasi gani?
 
Kilichotokea kinahitaji uthibitisho gani?
Uharibifu wa mali za watu na miundombinu ulifanywa na vijana wavuta bangi hauonekani??
Alaaniwe roma na mange kijambio kwa kuhamasisha hiki kilichotokea
Nani aliwahamasisha polisi kuuwa hadi ambao sio wavuta bangi ambao hawakuwa wakiharibu mali za watu? Kama wavuta bangi tu wasio na silaha wanasababisha polisi kuuwa watu hovyo bila kujali anayehusika na asiyehusika hivi siku tukivamiwa na magaidi hali itakuwaje si raia nyumba zao zitakuwa zinalipuliwa na mabomu?
 
Maana yake uhalifu,we ulitaka waachiwe kiasi gani?.. mpaka miji yote iteketee?..wangezidiwa vyombo vya usalama,sasa hivi si ingekua nchi imepinduliwa na jeshi kuchukua nchi?.. wangapi wangekua mfu?.. uharibifu ungekua kiasi gani?
Wewe tulia—you belong in the gallows!

Who the hell on earth randomly sprays live bullets on any civilian (s)he sees on the street, including harmless children?
 
Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo.

Labda ni hivi au labda ni vile.

Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote au lolote toka kwao.

Kuna ukimya wa ajabu sana kutoka kwa baadhi ya watu na taasisi ambazo mtu ungedhani ziko mstari wa mbele katika kutetea haki za kibinadamu.

Kwa uwazi tu, sitegemei chochote toka kwa muuaji na kiongozi haramu.

Ataanzia wapi kukemea kilichotokea na kutoa pole kwa wahanga?

Lakini wengine nao je?

Wako wapi wale viongozi wa dini ambao huwa wanakemea utekaji?

Wako wapi wale viongozi wa zamani ambao wamestaafu kukemea kilichotokea?

Watu wamejikausha tu kama vile hakuna chochote kilichotokea!

Kuna mambo mtu mwenye akili timamu hupaswi kuyakalia kimya.

Zaidi ya wiki sasa na watu hawasemi chochote.

Ukimya mbele ya ukiukwaji wa makusudi wa haki za kibinadamu ni usaliti.

Waendelee kupumzika kwa amani wazalendo wote waliopoteza maisha yao na wale walioumizwa.

Kwa nyie wasaliti, kama mnadhani kila kitu ni upepo tu na lililotokea nalo litapita tu kama upepo, subirini muone.
EMbu zitajwe basi.. huenda hatujawashtua.
Na hao watu pia.

Nampongeza Mbatia..
Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Njombe kuomboleza na watu wake. Sijui kama atapona.
 
Hayo Maduka na miundombinu inaweza kurudishwa na kutengenezwa!! Fikiria maisha ya maelfu ya watu waliouliwa kinyama na polisi uhai wao mtaurudisha?
Wewe punguani huna moral authority yakulaani mauaji yeyote yale,hua unafurahia mauaji ya wapalestina hapa unakata kiuno mpaka unaangusha shanga zako za kiunoni,

Umeshusha sana nyuzi humu za kumtetea muuaji Natanyahu eti ICC haina uwezo wa kumkamata,toa unafiki wako hapa,wewe hutakiwi kujifanya eti umeumia,

Unapotetea haki za binadamu au kulaani mauaji ya watu wasio na hatia hutakiwi kubagua wakuwatetea,unapotetea muuaji wa sehemu moja jua kua huo uuaji wa watu wasio na hatia usipochukuliwa hatua basi utasambaa na sehemu zingine na kuua watu wasio na hatia kuonekana ni jambo la kawaida,

Waungwana hupinga mauji ya watu wasio na hatia bila kuangalia ukanda,kabila,skin color,dini na mengineyo,

Narudia tena,wewe punguani huna moral authority ya kujifanya umeumia hapa,ulikua unatamba hapa kua Gaza imevunjwa yote,funga domo lako hilo pimbi wewe.
 
Samia amewatisha Watanzania na wengi wametishika kama genge la Mafia linavyotisha watu wakiongea kuhusu issue za Mafia.

Tofauti ya Samia na Mafia ni moja tu Samia ana polisi, usalama, mahakama,magereza, bunge.

Watanzania wengi kwa sasa wanaishi kwa uoga akiongea wanaogopa kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa. Watanzania wengi wanaishi kama mateka wa Samia wako jela, self censorship,
 
Mbele ya uovu mimi sitokaa kimya.
Hoja yako Ina mantiki endapo, umejipanga kukabiliana ama kuzikwepa consequences za kutokaa kimya dhidi ya uovu ama watenda uovu ambao hawana simile, hawana utu, hawajali haki, and generally they don't care!!!

Yes. Mandela alijipanga dhidi ya consequences. Hakika, Nyani Ngabu naye amejipanga ama kukabili ama kuzikwepa consequences!!!

Hawa wanaolalamikiwa kwa kukaa kimya waombe majibu kama wamejipanga ama lah! Kuwalaumu bila kupata majibu ya swali la kujipanga, ni kuwaonea.

Tuna mfano: Ndugu Humphrey, alishajipanga na akasema wazi hajali lolote na akasisitiza litakalo mkuta ana uhakika anakwenda Mbinguni kwenye Moja ya Makala zake za usemaji !!!

Nadhani, Mkuu utakuwa umeelewa hoja yangu.

Asante.
 
Hoja yako Ina mantiki endapo, umejipanga kukabiliana ama kuzikwepa consequences za kutokaa kimya dhidi ya uovu ama watenda uovu ambao hawana simile, hawana utu, hawajali haki, and generally they don't care!!!

Yes. Mandela alijipanga dhidi ya consequences. Hakika, Nyani Ngabu naye amejipanga ama kukabili ama kuzikwepa consequences!!!

Hawa wanaolalamikiwa kwa kukaa kimya waombe majibu kama wamejipa ama lah! Kuwalaumu bila kupata majibu ya swali la kujipanga, ni kuwaonea.

Tuna mfano: Ndugu Humphrey, alishajipanga na akasema wazi hajali lolote na akasisitiza litakalo mkuta ana uhakika anakwenda Mbinguni kwenye Moja ya Makala zakeza usemaji !!!

Nadhani, Mkuu utakuwa umeelewa hoja yangu.

Asante.
Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Kizigha, Mombo, Wambura, Mkunda,Johari, Chief of staffs, wametengeneza gangster paradise yao, Mafia state.

Wanawakalia kimabavu watu zaidi ya milioni 60 wakisaidiwa na vyombo vyote vya ulinzi, usalama, media, vyombo vyote vya kutoa haki kama mahakama, kuwakilisha wananchi kama bunge.
 
Oh, pongezi za kipekee ziende kwa James Mbatia.

Yeye kajitokeza tena mbele ya kamera na kutoa neno.

Ahsante James!
Mpaka sasa yeye, Prof Tibaijuka na Antony Mtaka ndio top elites waliosema kwa sauti au vitendo kuchukizwa na mauaji haya.
 
Back
Top Bottom