Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
[emoji23][emoji23][emoji23]zinaa je?hahahaaaa ilo tatizo linawakumba wengi mi niliwai kupima 2014 nikakimbia majibu sasa nasubili mpaka dawa ipatikane ndo nikapime. Kwanza sina history ya kuugua hovyo hovyo kwaiyo Niko safi
We umejilipua?Pole sana na mateso unayopitia. Hebu fikiri ni vipi utaishi bila kujua hatma ya maisha yako hadi lini? Jilipue tu mkuu kuna faida nyingi zaidi ya kujua hatma ya maisha yako kuliko hasara.
Nikweli ila ukweli utatuweka huru. Hayati Nelson Mandela alivunja ukimya nakusema mtoto. Wake alikufa kwa ukimwiSawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.
Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
Nimeketi kwa umakini hapa huku nikipitia Michango yenu.Aseee ukimwi utaua wengi sana na mimi nitakuwa miongoni mwao maana mimi nikitumia tu kinga napiga kimoja mzee kalala ila kavu kavu napiga 2 mpigo bila kuchomoa cha tatu nasubiri kama dk 5-10 mnara unasoma tena hapo ni mchakamchaka mpka K inanukia blader (mpira) uliopata joto. Sasa swali linakuja nipige kwa kutumia kondom nidharauliwe kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume?? Sema mara nyingi tunapima kabla sijaanza kupiga mashine ila huwa inatokea mara moja moja napiga ndo kupima baadae.
Hivyo e...Na vijana wengi siku hizi wanapenda sana matumizi ya 0713,imekuwa kama fashion,
MAPENZI ni sehemu ya Maisha.naomba serikali izuie madawa kugawa bure ila wanunue maana walikuwa hawasiikii wakitangaziwa kuna ukimwi na huko kwenye kuzini walikuwa wakitoa pesa na wapili ni mpokeaji na kwenye dawa waanze kulipa iwe fundisho kwa wengine maana ngono imezidi watu wanajisifia kkwenye miziki mapenzi tuuu na michezo ya kuigiza ni mapenzi tuu hawana jambo lingine
Usiogope nenda Kapime.siku nikifanikiwa kupima Ukimwi alafu sina basi ntatulia sana, tatizo kila nikitaka kupima uoga wa hali ya juu unanijia sijui nitumie mbinu gani.
Ulipata idhini yao ya kuweka majina yao?Abdallah Kadidi
Rehema Kadidi
Mwantumu Kadidi
Hawa ni ndugu zangu wa kuzaliwa, mmoja kati ya hao niliowataja ni mtoto wa baba mdogo. Wawill wako Tanga mjini, mwingine yuko handeni.
Na wewe ni GT?!! Aliyekwqmbia UKIMWI unaua nani?!?!? Unaeza kuta 90℅ ya wanaokufa kwa malaria wana UKIMWIAcha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma
kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
Mi sina shida mkuu, usiku, mchana, na asubuhi napimaWe umejilipua?
hahahahaha nkajua unashusha nondo balaa unabisha UKIMWI hauui hapo hapo unasema unaeza kuta 90% ya wanao kufa kwa malaria wana UKIMWI (unakubali tena ulicho pinga)Na wewe ni GT?!! Aliyekwqmbia UKIMWI unaua nani?!?!? Unaeza kuta 90℅ ya wanaokufa kwa malaria wana UKIMWI
Sidhani kama itakuwa hali mbaya zaidi cha msingi ni jamii kujua kwamba upo na unaua kuna watu hadi leo hawanaamin kama kuna ukimwiKama kiuhalisia huo ukimwi hawauogopi ila wamebaki kuogopa kujilikana tu kama mtu anayo,je unafikiri ikifikia hali ya kwamba hata mtu akifa iwe kawaida tu kusema alikufa kwa ukimwi huoni ndio itakuwa hali mbaya zaidi?
Watu wanaamini kuwa upo na unauwa ila kilichobadilika sasa ni watu kutokuwa na uoga na ukimwi kama ilivyokuwa mwanzo.Sidhani kama itakuwa hali mbaya zaidi cha msingi ni jamii kujua kwamba upo na unaua kuna watu hadi leo hawanaamin kama kuna ukimwi
uwoga wanao ndio maana hawapendi kusema kwamba nimeathirika ila pia wengi tunaamin mwenye ukimwi lazima kafanya ngono wengi wanaona kama ni ugonjwa wa aibu kusema sawa na gono au kisononoWatu wanaamini kuwa upo na unauwa ila kilichobadilika sasa ni watu kutokuwa na uoga na ukimwi kama ilivyokuwa mwanzo.
ishu pale nitapo ambiwa sio mzima ndo tatizo litakapo anzia.Usiogope nenda Kapime.
Najua kwa mara ya kwanza inakuwa ngumu, ila ukipima mara moja tu, itakuwa desturi yako Kupima mara kwa mara
Mi sina shida mkuu, usiku, mchana, na asubuhi napima