UKIMWI unavyotafuna vijana

UKIMWI unavyotafuna vijana

Mzee baba ushawahi meza ARVs? Achana na hiyo kitu unaweza ukaomba ufe tu. ARVs sio dawa simple kama unavofikiria. Nenda kituo cha afya waambie unahisi umepata maambukizi. Iwe withinin 72hrs. Watakuapatia ARVs umeze kama PEP. Alafu uje utupe mrejesho hapa.
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
 
IMG_1124.JPG
 
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Sijui kama nimekuelewa vizuri hapo mahali. Wanaosema ni malaria au uti kali ni wapimaji au ndugu?

maana wasi wasi wangu ni pale watumishi wa afya wanapopima kwa lengo la kupata data lakini hawasemi ukweli.
 
sawa mkuu.
Safi sana Kiongozi.

Fanya ujasiri, mambo yamebadilika.

Kwasababu hata kuoa, huwezi kuoa bila kupima.

Kuna baadhi ya Nchi kupata VISA yao mpaka upime kwanza, na Majibu yako yawe mazuri, kama Majibu yako siyo mazuri huingii hiyo Nchi husika.

Kwahiyo kujua Afya yako ni muhimu sana
 
Miaka kumi ijayo watu maarufu na vijana wanaoonekana nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mmuwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Tukianza kukubali kuelewa upande wa pili kwamba hakuna HIV duniani,hapo ndipo tutakapopata ukombozi wa kweli kifikra na hutaona tena watu wanahangaika na HIV.

HIV/AIDS is a MINDSET DISEASE.
 
Mzee baba ushawahi meza ARVs? Achana na hiyo kitu unaweza ukaomba ufe tu. ARVs sio dawa simple kama unavofikiria. Nenda kituo cha afya waambie unahisi umepata maambukizi. Iwe withinin 72hrs. Watakuapatia ARVs umeze kama PEP. Alafu uje utupe mrejesho hapa.

Kuna kipindi nilishatumia PEP....kweli sio dawa rahisi. Ule mwezi niliuona mrefu Kama mwaka. Tumuombe Mungu sana atukinge na maradhi ya ajabu Kama haya ya HIV kwa sababu hakuna nafuu yoyote hata Kama utatumia hizo dawa.
 
Mbona takwimu za kila mwaka zinaonyesha kwamba maambukizi yanapungua, au wewe hizi takwimu zako niza nchi gani ,
Tz ni nyeupe no virus takwimu zinasema hali sio mbaya kabisa maambukizi yanapungua kwa kasi
 
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Utadhani umeambiwa virus ni protin
 
Ila kuna haja ya kutoa historia ya ugonjwa unaowaua watu siku ya wosia wa marehemu bila kuficha , kama amekufa kwa ukimwi basi kila mtu ajue, itasaidia sana italeta funzo sana
 
ukimwi haujawahi kuua mtu.

Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma

kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
 
Mzee baba ushawahi meza ARVs? Achana na hiyo kitu unaweza ukaomba ufe tu. ARVs sio dawa simple kama unavofikiria. Nenda kituo cha afya waambie unahisi umepata maambukizi. Iwe withinin 72hrs. Watakuapatia ARVs umeze kama PEP. Alafu uje utupe mrejesho hapa.
Wabongo wanavyojua sana kurahisisha mambo, kila Mtu Mwanasiasa.
 
Ila kuna haja ya kutoa historia ya ugonjwa unaowaua watu siku ya wosia wa marehemu bila kuficha , kama amekufa kwa ukimwi basi kila mtu ajue, itasaidia sana italeta funzo sana
Anza na wewe kwa kuandika kwenye usia wako.
 
Back
Top Bottom