Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,366
- 2,151
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
Kwa hiyo yule dogo Mbosso naye tayari kashaingizwa kwenye +grid ya dunia?