Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,225
- 9,185
hakuna mtu ambae hatakufa
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Mtoa mada naomba nikuulize, na unijibu, toka huo ukimwi wako umegunduliwa na unasema ni hatari sana je kiwango cha watu kimeongezeka au kimepungua? Tuanzie hapo kwanzaMiaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumalisza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Kila mmoja akae na familia yake aielekeze UKALI wa Mungu kwenye maasi.Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumalisza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Uzi ungekuwa unahusu kuua na wenyewe ningeandika hivyo hivyo MkuuKwani amri ya usiue ina maneno mangapi ..
By the way ukimwi hauuwi kinachoua Ni magonjwa nyemelezi.
Ni amri ya saba au ya sitaAmri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?We mpumbavu sn, kulikuwa na haja gani kumtaja kibonde? Hufikirii anaweza kuwa na Ndugu na jamaa humu? Wajisikiaje unapomtaja kwenye mada km hii? Kuwa na heshima assume km angekuwa mpendwa wako halafu unakutana na comment km hii? Senziiiiiii
Wapumbavu ni moderators ambao comments kama hizi wanaziacha tu. Wakati ilibidi awe kashakula BAN...We mpumbavu sn, kulikuwa na haja gani kumtaja kibonde? Hufikirii anaweza kuwa na Ndugu na jamaa humu? Wajisikiaje unapomtaja kwenye mada km hii? Kuwa na heshima assume km angekuwa mpendwa wako halafu unakutana na comment km hii? Senziiiiiii
Ni amri ya saba au ya sita
sawa tunaomba list ya nduguzo, jamaa na marafiki wenye ngwengwe uiweke wazi kutusaidia na kuwasaidia walio maeneo ya jirani nao kuepuka hili.
Pumbavu taja ndugu zako kwanza..Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?
Acha upuuzi,
You know nothing of anything. You better keep your fucking mouth closed.Uzi ungekuwa unahusu kuua na wenyewe ningeandika hivyo hivyo Mkuu
Hayo nyemelezi yamewezeshwa kuua na huo ukimwi usingekuwa nao usingekufa
Tangu lini ukaua ?? Ukimwi hauui ndio maana huwezi kukuta wanatangaza mtu kafa kwa ukimwi .. Kinachoua Ni magonjwa nyemelezi Tena umeyataja hapo..Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?
Saivi ni ngumu kwa wale walio chini ya PMTCT 1Binafsi kinachonisikitisha ni hawa watoto wanaoambukizwa wakati wa kuzaliwa au mother to child kwa sababu yoyote ile.
Na wewe kuwaita mods wapumbavu sijui kama utaepuka banWapumbavu ni moderators ambao comments kama hizi wanaziacha tu. Wakati ilibidi awe kashakula BAN...