UKIMWI unavyotafuna vijana

UKIMWI unavyotafuna vijana

Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumalisza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Tangu lini ukathamini uhai wa binadamu wewe muuaji? Turudishie mwili wa Ben Saanane kwanza.
 
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
kufa kwa ukimwi ni ufahari.
 
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
Kwahiyo Mbosso naye REA
 
Ingekuwa poa Kama Uganda kwenye misiba wanatangaza kwamba marehemu kafa kwa UKIMWI na kaacha mke na watoto kadhaa
 
Unamwona mtu kakonda lakini gafla unaona tumbo limetoka kubwa kweli kweli na kajasho eti ni kitambi,,,,,, anaijua siri yake na madawa anayotumia badala ya kutulia na kumuomba mungu amjalie maisha marefu yasiyo na dhambi basi ndio anafungulia mbwa sasa, vitoto vidogo maskani viwanafunzi nyumbani unakapenda na wala hujui kuwa kalishaanza jinsi kanavyozuga kana heshima nyumbani kumbe kalishaharibiwa na mdudu kashapewa, My God, unakuta na vijana wa umri wake nao wanakafukuzia wanafikiri ni katoto kenzao kumbe lo!!! kanao nako kanawagawia, wanavunzi wa vyou vikuu tamaa ya anasa, maisha ya kujirusha na kutaka kumiliki vitu vya garama mnakwisha na akili zenu. Unakuta mdada ana akili kweli darasani lakini mwili wake kauachia kama "open cheque" anamaliza chuo anaajiriwa maskini vijana wa mtaani wanaanza kujigonga "boss lady" wote wanagawiwa, sasa elimu uliyokuwa unaihangaikia tangu ukiwa chekechea ndio unaishia wapi? vipi wazo la kuwa na familia, mipango endelevu ya kuwatunza wanao na wazazi wako huku umeshaugua kwa ajili tuu ya kushindwa kuzuia tamaa za mwili!!!! tafakari chukua hatua
 
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Umetumia criteria zipi kubaini kwamba superstars wengi wameathirika ?
 
Hakuna MTU aliyenifundisha madhara ya ukimwi kama mama yangu.Huwa haniambii maneno aliyosikia Bali mambo aliyoshuhudia

Walizaliwa 13 ila kati yao 9 wamekufa Kwa ukimwi.Kati ya wanne waliobaki tayari Wawili waathirika hivyo wanaishi Kwa matumaini

Huwa ananiambia ukoo wao unaisha Kwa ukimwi .Watoto wa Dada na kaka zake wanaishi Kwa matumaini.

Moja ya vitu ambavyo anauelewa mkubwa navyo basi namba moja ni ukimwi

Kauguza wote 9 waliofariki na anauguza Wawili sasa.
Nikiwa kitandani na mwanamke huwa nakumbuka maneno ya mama.

Niliwah pata demu mbichi ndio kamaliza form 4 kapo vizuri nikaenda nae kumgonga kavu kavu yani kwa american slang tunasema by the skin of my teeth .Tulipovua nguo nikakumbuka maneno ya mama.Nikamwambiaa vaa nguo tukapime ,akakubali.Tukazama Ukonga hospital ya masista tukakuta yeye muathirika ,ila hakuwahi kujua kuwa muathirika.

Now kila analonifundisha mama yangu nalifanyia kazi.

Asante mama.
 
Mnajua hata maana ya ukimwi nyie??
Upungufu wa kinga mwilini ni ishu ya kawaida.
Ukila balanced diet, ukifanya mazoezi fresh na kutunza mwili wako ukimwi unapona.

Tangu lini ukimwi ukaambukizwa?
 
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
10yrs ahead dawa iwe haijapatikana? Acha kutisha watu
 
Aseee ukimwi utaua wengi sana na mimi nitakuwa miongoni mwao maana mimi nikitumia tu kinga napiga kimoja mzee kalala ila kavu kavu napiga 2 mpigo bila kuchomoa cha tatu nasubiri kama dk 5-10 mnara unasoma tena hapo ni mchakamchaka mpka K inanukia blader (mpira) uliopata joto. Sasa swali linakuja nipige kwa kutumia kondom nidharauliwe kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume?? Sema mara nyingi tunapima kabla sijaanza kupiga mashine ila huwa inatokea mara moja moja napiga ndo kupima baadae.
 
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Umenena kweli hali ni mbaya sana,uvaaji wa nguo nao unachangia sana,fashion inayotrend sasa hivi ni wanawake kuonyesha mauongo yao ya ndani,hapa kuna suruali za kubana,vitopu vinavyoonyesha matumbo,nguo fupi na nyingine ni magauni yanaayo onyesha ndani,hii kwakweli ni hatari sana,wanaume hili kwao ni mtihani mkubwa sana,nilikuwa naona vijana ndio wanaovaa hivyo lakini sasa hivi mpaka wake za watu nao wamo sasa sijui nao wanatafuta nini! na waume zao wapo wanaangalia tu mambo yanavyokwenda...!
 
Back
Top Bottom