Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,165
- 2,253
ni kweli kabisa ila soon tutapambana naloo
Mnaupigia promo ili muendelee kupata funding kwenhe NGO zenu
Ukweli upi mkuu?Definitely true,tangu nijue ukweli nikiangalai komenti za watu humu nacheka tu jinsi wanavyojidanganya
Hivi mfano itokee tu umeugua Typhoid ukaenda Hospitali,wakachukua damu ikapimwa,halafu majibu yakaja ukaambiwa,huna Typhoid na walipima na HIV,na majibu ya HIV yakaonesha uko Negative,utamshitaki huyo nesi au utamshukuru kwa maana kwa hiyari yako ulishindwa kupima...?hahahaaaa ilo tatizo linawakumba wengi mi niliwai kupima 2014 nikakimbia majibu sasa nasubili mpaka dawa ipatikane ndo nikapime. Kwanza sina history ya kuugua hovyo hovyo kwaiyo Niko safi
Nitakasirika sana ikiwezekana nitaenda kuwashitaki maana wanakale ka rugha kao eti baada ya miezi 3, uje upime tena. Sasa icho kitu ndio sikitaki kabisa kukisikia. Wife wangu akiwa mjamzito uwa ananiambia kakutwa yuko safi kwaiyo namie najua Niko safi. Nitaenda kipima kwa hiari yangu siku dawa ikipatikana ila iyo ya kufubaisha wanywe wenyeweHivi mfano itokee tu umeugua Typhoid ukaenda Hospitali,wakachukua damu ikapimwa,halafu majibu yakaja ukaambiwa,huna Typhoid na walipima na HIV,na majibu ya HIV yakaonesha uko Negative,utamshitaki huyo nesi au utamshukuru kwa maana kwa hiyari yako ulishindwa kupima...?
Pole sana na mateso unayopitia. Hebu fikiri ni vipi utaishi bila kujua hatma ya maisha yako hadi lini? Jilipue tu mkuu kuna faida nyingi zaidi ya kujua hatma ya maisha yako kuliko hasara.Nitakasirika sana ikiwezekana nitaenda kuwashitaki maana wanakale ka rugha kao eti baada ya miezi 3, uje upime tena. Sasa icho kitu ndio sikitaki kabisa kukisikia. Wife wangu akiwa mjamzito uwa ananiambia kakutwa yuko safi kwaiyo namie najua Niko safi. Nitaenda kipima kwa hiari yangu siku dawa ikipatikana ila iyo ya kufubaisha wanywe wenyewe
Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi

Pole mkuu.Yaani na uzinzi unavyofanyika hivi,UKIMWI unaua hatari,juzi nimetoka kumzika mjomba,it is so sad.
Ohoooo!!!Aiseeee Whozu kweli hajampitia? Maana hawa wasanii wakimchukua Video Queen lazima atambae na Besela.
Asante mkuu,hakuna jinsi,nimeendelea kujifunza kitu kutokana na kifo kile.Pole mkuu.
Hii kwa sasa haina shida watoto wanazaliwa salama kabisa shida ilikuwa miaka ya 90 kuja katikati ya 2000 ambao kwa sasa ni vijana wengi walizaliwa na hili janga.Binafsi kinachonisikitisha ni hawa watoto wanaoambukizwa wakati wa kuzaliwa au mother to child kwa sababu yoyote ile.
Uf***ji na uzinzi mkiuacha tu basi rehema za Mungu zitakuwa pa1 nasi sana kutunusuru na hili janga maana siku hizi dhambi imekuwa inashangiliwa mno na Watu.

Kwenye ukoo wenu nahisi mna matatizo ya uendawazimu sio bure.




Maamuzi yakutumia kinga yalitakiwa yatanguliwe kwanza na vipimo,unauhakika gani na usalama wako kwa ngono zako za awali zisizo Salama?nilikua mgumu wa kutumia kinga ila sasa hivi aisee, nmeanza kutumia kwa kuogopa magonjwa sitaki mipango yangu ikwame kisa kudhoofika na maradhi labda uzee panapo majaliwa
Duh!!!Grid ya taifa kutokana na kidonge kwa sasa aitishi sana zamani ikikupiga unaonekana kama msomali
....hatima ya maisha ya mtu anayajua muumba wake sio vipimo vya dactar....kwanini upime uanze kuishi kwa mawazo dawa zenyewe za kukutibu hazipo... Unapima ili iweje sasa dactar mwenyewe anaumwa iyo ngoma ije mtu nisiejua ata namna ya kuvaa condom.....broo kufa kufaana wengine watakufa kwa ngoma wengine kwa bodaboda wengine kwa roli la mafuta nk....kila mtu na safari yake wee ukiona toto zuri linatikisa wezele ukaogopa wengine twala!!Pole sana na mateso unayopitia. Hebu fikiri ni vipi utaishi bila kujua hatma ya maisha yako hadi lini? Jilipue tu mkuu kuna faida nyingi zaidi ya kujua hatma ya maisha yako kuliko hasara.
Ukweli ukimwi upo na unaua na watu wanatumia Dawa kwa kasi ya 5G,Mm nipo Mbeya tumezungukwa na Mabaar na Guest ukiwa maeneo hayo angalia kwenye Madampo au seheza taka au penye uficho ni Makopo kama yote ya Dozi,
Utafiti wangu Nimetongoza wanawake wengi na kujidai nawapenda mnoo na nipo Tayari kwa Lolote ,Sasa nikiweka point ya Tupime Afya utakachojibiwa ni siri yangu Nina SMS zangu zenye majibu ya Maana ,nikiweka hapa utapenda mwenyewe ,kila kitu kinaishia hapo.
Fanyeni Utafiti hata kwenye Familia zetu Hali siyo nzuri kwa kweli.
Mbaya kuliko watu wanarahisisha mnoo
METHALINi kitabu gani hichi ...!?
Nabii Suleiman.