UKIMWI unavyotafuna vijana

UKIMWI unavyotafuna vijana

Ukiwa na upungufu was kinga kinachoua ni magonjwa mengineyo ambayo inakuwa rahisi kukupata kama.

Pneumonia
TB
Malaria
Cancer n.k.

Kinga ya mwili kupungua huweza sababishwa na mambo mengi ikiwemo vidudu vya virus & msosi fifu.

Kinga ya mwili kwa MTU yoyote huweza pandishwa kwa kuzingatia mfumo mzuri wa chakula bora, mazoezi ya mara kwa mara.

Kama upungufu ni kwa sababu ya virusi vinavyoshambulia kinga ya mwili hivi huweza thibitiwa kwa kutumia Antivirus drugs, vyakula na mazoezi hivyo kuzuia magonjwa ya mara kwa mara yanayoweza leta kifo.

Dawa ya kuua virus hivi zipo vikiwa nje ya cell za binadamu ila vinapokuwa ndani ya cell haiwezekani kwani vinakuwa integrated ndani ya nucleus kuwa accessed ni ngumu.

Kwa sasa tayari kuna majaribio katika hatua ya mwisho ambako virus hivi hutolewa ndani ya nucleus kabla ya kushambuliwa na antivirus drugs kwa 95%. Hii ni njia pekee iliyoonekana kuwa na mafanikio.

Inahofiwa kitakachozuia mafanikio ya tiba hii ni USA kwani hunufaika zaidi katika janga hili.

UKIMWI upo hivyo muhimu ni kuchukua tahadhari.
 
hahahaaaa ilo tatizo linawakumba wengi mi niliwai kupima 2014 nikakimbia majibu sasa nasubili mpaka dawa ipatikane ndo nikapime. Kwanza sina history ya kuugua hovyo hovyo kwaiyo Niko safi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukweli ukimwi upo na unaua na watu wanatumia Dawa kwa kasi ya 5G,Mm nipo Mbeya tumezungukwa na Mabaar na Guest ukiwa maeneo hayo angalia kwenye Madampo au seheza taka au penye uficho ni Makopo kama yote ya Dozi,

Utafiti wangu Nimetongoza wanawake wengi na kujidai nawapenda mnoo na nipo Tayari kwa Lolote ,Sasa nikiweka point ya Tupime Afya utakachojibiwa ni siri yangu Nina SMS zangu zenye majibu ya Maana ,nikiweka hapa utapenda mwenyewe ,kila kitu kinaishia hapo.

Fanyeni Utafiti hata kwenye Familia zetu Hali siyo nzuri kwa kweli.

Mbaya kuliko watu wanarahisisha mnoo
**** tamu mkuu, tufanyeje sasa gonjwa limekalia pabaya mkuu.
 
Sema wanangu tunajambishana banaa,,,ka vipi kausheni tu!!!

Kupima uongo, ntapima mke akianza Clinic.
siku ya kwanza kwenda kliniki akikwambia inatakiwa mwendo wote unatumia njia yoyote kumchomolea huendi,akirudi toka kliniki ukiona sura yake haina taswila nzuri jua kimewaka huko na ukiona nuru flani usoni mwake hapo jua kamshangwe.
 
siku ya kwanza kwenda kliniki akikwambia inatakiwa mwendo wote unatumia njia yoyote kumchomolea huendi,akirudi toka kliniki ukiona sura yake haina taswila nzuri jua kimewaka huko na ukiona nuru flani usoni mwake hapo jua kamshangwe.
Hahahah baharia anasubiri majibu ya mke kwanza ili kujua kama kawaka au yupo safi,,🤣🤣🤣
 
Hahahah baharia anasubiri majibu ya mke kwanza ili kujua kama kawaka au yupo safi,,
ndio hivyo ila sasa hivi hiyo kitu ina kizungu mkuti sana unaweza kuta mwanamke karudi kavulugwa kaambiwa kawaka na baharia anaanza hapo hapo kuchanganyikiwa lakini siku akienda anakutwa yuko poa kabisa.wengi imewakuta hii.
 
ndio hivyo ila sasa hivi hiyo kitu ina kizungu mkuti sana unaweza kuta mwanamke karudi kavulugwa kaambiwa kawaka na baharia anaanza hapo hapo kuchanganyikiwa lakini siku akienda anakutwa yuko poa kabisa.wengi imewakuta hii.
🤣🤣🤣🤣🤣 Baharia lazma nitoke nduki kucheki ubladi kama uko mukidee kabla sjaanza kudata. Ila mshituko mkali lazima yani.
 
Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma

kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
Ila bro kumbuka ukimwi hauui ila ni magonjwa nyemelezi kama maralia, TB na na mengineyo
 
sawa tunaomba list ya nduguzo, jamaa na marafiki wenye ngwengwe uiweke wazi kutusaidia na kuwasaidia walio maeneo ya jirani nao kuepuka hili.
Bro hakuna familia ambayo haijaguswa na huu ugonjwa
 
Daa ila leo nimecheka sana, nikiwa na bi mkubwa (mama) tumekutana na demu mmoja mkali balaa wa kitaa tangu tukiwa machalii, nilivyomuona nikamuuliza bi mkubwa, yule si flani, kumbe ndio mwenyewe, mkubwa ikabidi atililike kuwa yule mrembo alikuwa amekonda balaa sijui now anatumia vidonge maana mwili umemrudi kwa kasi ya SGR, nikajua bi mdashi haniamini kwenye harakati zangu anajua nitaaribu very soon
 
Ndugu zangu kuhusu UKIMWI kujikinga ni ngumu mno tena saana,kwa maana hiyo basi usije jihusisha na tendo la ndoa maishani.
 
Huu uzi unatisha.. inabidi uungwe na ule wa kula tunda kimasihara
 
Back
Top Bottom