Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Hii ya Saba ipo kwenye biblia yako? Ya sita inasemaje?Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Hii ya Saba ipo kwenye biblia yako? Ya sita inasemaje?Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
nilikua mgumu wa kutumia kinga ila sasa hivi aisee, nmeanza kutumia kwa kuogopa magonjwa sitaki mipango yangu ikwame kisa kudhoofika na maradhi labda uzee panapo majaliwa
Changamoto kubwa inayotusumbua na hasa kundi hili la vijana ni UAMINIFU ktk Ndoa zetu ama mahusiano ya kawaida.. Pia wengi wetu bado hatutaki kuamini kuwa Ukimwi unaua.. Kijana Mwenzangu Ukimwi upo na unaua saaana..
Kwaiyo wasio na UKIMWI hawatazikwa? Mbona mnatoa maelezo kizwazwa? Toa madhara ya UKIMWI wakati mtu akiwa hai, suala la kufa hata Kisukari, homa ya Ini, Kansa, Ebola, Zika, Malaria, Kipindupindu vitakuua. Wapo walioepuka UKIMWI wakaja kufa na Magonjwa ya Moyo, wengine wamekwepa Ukimwi, figo zikawaua, sasa toa darasa la kueleweka kwa nini tuuogope UKIMWI! Ukisema kifo, hata wasio na ukimwi wanakufa.Yaani na uzinzi unavyofanyika hivi,UKIMWI unaua hatari,juzi nimetoka kumzika mjomba,it is so sad.
Kwa maelezo yako ugonjwa wa UKIMWI usichukuliwe tahadhari sindiyo?Hujui yule au mimi nikipata UKIMWI ni rahisi kushambuliwa na magonjwa yote uliyoyataja happy na ikawa rahisi kupoteza maisha kwasababu ya upungufu wa kinga?Kwaiyo wasio na UKIMWI hawatazikwa? Mbona mnatoa maelezo kizwazwa? Toa madhara ya UKIMWI wakati mtu akiwa hai, suala la kufa hata Kisukari, homa ya Ini, Kansa, Ebola, Zika, Malaria, Kipindupindu vitakuua. Wapo walioepuka UKIMWI wakaja kufa na Magonjwa ya Moyo, wengine wamekwepa Ukimwi, figo zikawaua, sasa toa darasa la kueleweka kwa nini tuuogope UKIMWI! Ukisema kifo, hata wasio na ukimwi wanakufa.
Kuna kipindi nilishatumia PEP....kweli sio dawa rahisi. Ule mwezi niliuona mrefu Kama mwaka. Tumuombe Mungu sana atukinge na maradhi ya ajabu Kama haya ya HIV kwa sababu hakuna nafuu yoyote hata Kama utatumia hizo dawa.
Mbona takwimu za kila mwaka zinaonyesha kwamba maambukizi yanapungua, au wewe hizi takwimu zako niza nchi gani ,
Tz ni nyeupe no virus takwimu zinasema hali sio mbaya kabisa maambukizi yanapungua kwa kasi
Haya Mawazo yako ndio tatizo kubwa Kwa gonjwa hili. Unaficha ili iweje? Si bora kuweka wazi ili kuokoa wengine. Kama muhusika alishindwa kujiheshimu yeye mwenyewe sisi ni nani tumuheshimu?Sawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.
Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
pole sana huwa wanasema yatakiwa kumeza mwezi mzima na wewe umemeza kwa siku 3 tu umeshaenda tena kituo cha afya kupima kuona zilisaidia kwa hizo siku 3 ulizotumia?Watu wanachukulia HIV kama kitu simple lakini sio. Mimi nilimeza pep pia. Ila kwa kweli nilimeza kwa siku 3 tu nikaacha. Hizo siku tatu niliona kama mwaka. Nilikua silali kwa raha. Mchana kutwa nakua ovyo. Chakula kilikua hakielewiki. Yani ni kama upo kwenye mateso. Toka nipate hiyo experience nimekua na huruma wa tofauti kwa watu walioaathirika.
pole sana,bado yupo akiendelea na matibabu au ameshatangulia mbele ya haki?Mimi nimewahi muuguza mgonjwa wa UKIMWI kwa kweli nimeshika adabu sana kwa Yale mateso nimeshuhudia.
pole sana huwa wanasema yatakiwa kumeza mwezi mzima na wewe umemeza kwa siku 3 tu umeshaenda tena kituo cha afya kupima kuona zilisaidia kwa hizo siku 3 ulizotumia?
Ahsante mkuupole sana,bado yupo akiendelea na matibabu au ameshatangulia mbele ya haki?
Leta wewe biblia yako inayosema ni ya 6 mkuuHii ya Saba ipo kwenye biblia yako? Ya sita inasemaje?
Mkuu soma biblia yako uone kama nimesema uongoMkuu Hiyo amri ya saba inasema husizini ni ya Toleo jipya au ndo ile ile tulisomea ekarist na kipaimara?
Ni toleo la zamani mkuuHiyo amri ni ya Toledo jipya au ndo ile ile tulisomea ekarist na kipaimara?
Hapa KP kaua
Hizi ishu ukisikia kwa mtu wa mbali ni rahisi kuchukulia poa.Kama umeshawahi kumuuguza ndugu yako mwenye huu ugonjwa na ukaona mateso aliyopitia basi lazima utakua tu makini