UKIMWI unavyotafuna vijana

UKIMWI unavyotafuna vijana

Huoni kuna utata katika kitu kinaitwa UKIMWI?Kama mara ya kwanza walisema umenasa na wakati huohuo mpenzi wako yuko safi lkn Baada ya muda nawe ukaambiwa safi?Unaweza enda pima tena ukaambiwa umenasa.
Sikuambiwa nimenasa elewa vipimo ni vile vya kisasa hospital hawapim mala moja nilikitumia cha kwanza kikapishana na cha pili jamaa akasema sometym vinazingua
Akachukua dam mkonon zen akasema nilud after 3 month ....
Duuu sikulud mpka 6 month nilipopima sehem zingine nikawa fit ndio nikalud now Niko fresh

Usipopima stress zinakuandama[emoji118]
 
Bi dada kmbe nae ni ngwengwe, maskini ,
Basi kuna chain ndefu Sana nyuma, coy, madogo wengi wa cheka tu walipta pale, b dada hakuwa na noma naskia
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
 
Kutaja majina humu siyo sahihi...nawaomba moderators wakupatie adhabu au wakutoe kabisa humu...it is unethical kutaja magonjwa ya wengine kama wahusika hawajaridhia....
Hapana, ni muhimu kutaja majina ili hawa wanojiita na kutamba eti ni mabaharia wajue pia siku zao zinahesabika.
 
Ukiusoma uzi huu vizuri utagundua ni kwa kiasi gani watu wetu wako misinformed kwenye issue ya upungufu wa kinga mwilini.
 
Yaan ni kitu cha ajabu sana, mtu akiumwa malaria,sukari,cancer anasema kirahisi tu na watu hawashangai ila ukimwi mgonjwa mwenyewe hataki watu wajue, ifike mahali tuwe wazi nahisi ni njia pekee ya kudhibit huu ugonjwa
Kama kiuhalisia huo ukimwi hawauogopi ila wamebaki kuogopa kujilikana tu kama mtu anayo,je unafikiri ikifikia hali ya kwamba hata mtu akifa iwe kawaida tu kusema alikufa kwa ukimwi huoni ndio itakuwa hali mbaya zaidi?
 
Kila siku binadamu wanakufa kwa huo ugonjwa na hawakomi...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom