UKIMWI unavyotafuna vijana

UKIMWI unavyotafuna vijana

Sawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.

Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
Nikweli ila ukweli utatuweka huru. Hayati Nelson Mandela alivunja ukimya nakusema mtoto. Wake alikufa kwa ukimwi
 
Aseee ukimwi utaua wengi sana na mimi nitakuwa miongoni mwao maana mimi nikitumia tu kinga napiga kimoja mzee kalala ila kavu kavu napiga 2 mpigo bila kuchomoa cha tatu nasubiri kama dk 5-10 mnara unasoma tena hapo ni mchakamchaka mpka K inanukia blader (mpira) uliopata joto. Sasa swali linakuja nipige kwa kutumia kondom nidharauliwe kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume?? Sema mara nyingi tunapima kabla sijaanza kupiga mashine ila huwa inatokea mara moja moja napiga ndo kupima baadae.
Nimeketi kwa umakini hapa huku nikipitia Michango yenu.

Yaani napitia kila Mchango wa MDAU
 
naomba serikali izuie madawa kugawa bure ila wanunue maana walikuwa hawasiikii wakitangaziwa kuna ukimwi na huko kwenye kuzini walikuwa wakitoa pesa na wapili ni mpokeaji na kwenye dawa waanze kulipa iwe fundisho kwa wengine maana ngono imezidi watu wanajisifia kkwenye miziki mapenzi tuuu na michezo ya kuigiza ni mapenzi tuu hawana jambo lingine
MAPENZI ni sehemu ya Maisha.

Bila ya MAPENZI kuna faida gani hata ya kutafuta!

Kula raha za Dunia wewe, acha uoga
 
Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma

kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
Na wewe ni GT?!! Aliyekwqmbia UKIMWI unaua nani?!?!? Unaeza kuta 90℅ ya wanaokufa kwa malaria wana UKIMWI
 
Na wewe ni GT?!! Aliyekwqmbia UKIMWI unaua nani?!?!? Unaeza kuta 90℅ ya wanaokufa kwa malaria wana UKIMWI
hahahahaha nkajua unashusha nondo balaa unabisha UKIMWI hauui hapo hapo unasema unaeza kuta 90% ya wanao kufa kwa malaria wana UKIMWI (unakubali tena ulicho pinga)

kwamba vifo vya mama na watoto wanao fariki kwa marelia 90% ni UKIMWI nkikudharau ulalamike.
 
Kama kiuhalisia huo ukimwi hawauogopi ila wamebaki kuogopa kujilikana tu kama mtu anayo,je unafikiri ikifikia hali ya kwamba hata mtu akifa iwe kawaida tu kusema alikufa kwa ukimwi huoni ndio itakuwa hali mbaya zaidi?
Sidhani kama itakuwa hali mbaya zaidi cha msingi ni jamii kujua kwamba upo na unaua kuna watu hadi leo hawanaamin kama kuna ukimwi
 
Watu wanaamini kuwa upo na unauwa ila kilichobadilika sasa ni watu kutokuwa na uoga na ukimwi kama ilivyokuwa mwanzo.
uwoga wanao ndio maana hawapendi kusema kwamba nimeathirika ila pia wengi tunaamin mwenye ukimwi lazima kafanya ngono wengi wanaona kama ni ugonjwa wa aibu kusema sawa na gono au kisonono
 
Usiogope nenda Kapime.

Najua kwa mara ya kwanza inakuwa ngumu, ila ukipima mara moja tu, itakuwa desturi yako Kupima mara kwa mara
ishu pale nitapo ambiwa sio mzima ndo tatizo litakapo anzia.
 
Back
Top Bottom