Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,733
- 39,836
Je ukimwi ukisogeleana na mtu karibu unamuambukiza, Ukipiga chafya mbele yake anapata? Wazee ambao hata tendo la ndoa hawashiriki wanapata?Kosoa kwa maelezo ili tunufaike. UKIMWI na COVID-19 vyote ni public health issues!