Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Maisha bwana. Brother umeiona kesho?una hakika utalea mtoto wako mpaka afike hatua ya kujitegemea kwa sababu tu hauna ngoma?ni kuomba Mungu tu.Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti. Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.
Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.
Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.
Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee
Wingi wa watoto hauhusiani na maambukizi. Wapo wenye maambukizi na hawana hata mtoto wa kusingiziwaHuyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti. Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.
Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.
Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.
Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee
Maisha bwana. Brother umeiona kesho?una hakika utalea mtoto wako mpaka afike hatua ya kujitegemea kwa sababu tu hauna ngoma?ni kuomba Mungu tu.
Brother, tusiwanyanyapae hata kama walikuaje..., hakuna aliyekamilika.
[/QUOT
Miaka 22 umezaa na mabinti 2, umewatia mimba wengine 2. Huo sio umalaya ndugu?
Miaka 22 umezaa na mabinti 2, umewatia mimba wengine 2. Huo sio umalaya ndugu?
Mtaani hapa alilala nao vibinti kama 4-5 within 2 weeks huo nao sio umalaya?