UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

Endeleeni mi siko kabisa na nyie. Wapo kibao waliokuwa hawajaanza kutumia ARV tumeshawazika na baadhi wanaotumia zinawasaidia bado wanaishi baada ya kusavaivu magonjwa ya hatari km TB, tonsils na fungus za kwenye ubongo na kuanza kutumia ARV

Kwa nini fungus kwenye ubongo?
 
Endeleeni mi siko kabisa na nyie. Wapo kibao waliokuwa hawajaanza kutumia ARV tumeshawazika na baadhi wanaotumia zinawasaidia bado wanaishi baada ya kusavaivu magonjwa ya hatari km TB, tonsils na fungus za kwenye ubongo na kuanza kutumia ARV
Kwa hiyo mtu amepona TB baada ya kupewa ARVs au baada ya kula dozi ya TB?.....fungua milango yako ya fahamu tukupe elimu....achana na wazungu...sio wajomba zako wale.Kama kweli wanatupenda wangetulazimisha kuukubali ushoga?Get the point?
 
mnaosema na kuamini kuwa UKIMWI haupo mnatumia kigezo gani? thibitisheni. Vinginevyo mtakuwa mnapotosha
 
Msomeni kwa makini huyu jamaa
ROBERT BALLO

Daaaaaah ukimsoma juu juu utaona KWAMBA wanamuandika kua yupo responsible Kwa VVU ambazo ni agent wa UKIMWI LAKINI UKIINGIA deep KATIKA journal articles PAMOJA NA vitabu vyake mbalimbali utafahamu kinachozungumziwa in general context ni tofauti na ukweli Linkage ya VVU NA UKIMWI

That's y Mimi NA wale wasiowavivu WA kusoma majarida NA vitabu VYA watu Kama HUYU tumejiridhisha KWAMBA HAKUNA CORRELATION BAINA YA HIVYO VITU

TENA HATA HUO UKIMWI HAUPO KAMA TULIVYOKARIRISHWA DARASANI MAANA KUNA MAMBO MENGI ZAIDI YA 100 YANAYOSABABISHA NA SI NGONO

Pasuen madem bila woga..ndio mfumo

Watu kama wewe wako wachache sana humu.Humu watu wengi ni wakurupukaji kushabikia ushambenga wasioujua....halafu wabishi kama upupu,hawasikii la mtu...yaani wao ni mihemko tu,hawajasoma,hawasomi na hawataki kusoma,ni kupinga tu bila kuwa na hoja za msingi....yaani humu ni bora mtu afe kumtetea mzungu kuliko kukubali kutumia akili yake kujua ukweli.
 
7d09a9d704989f749bbc43a9b5277e02.jpg

Tangazo la kipumbavu sana hili...sina haja ya kuelezea kwanini ni la kipumbavu..
 
Wewe mbumbumbu wa ccm, ukitaka kujua kuwa UKIMWI upo, fanya mapenzi na wanawake kumi wa Buguruni Rozana bila kutumia kondom hasa mabamedi na wale wanaojiuza, kisha utarudi hapa kutupatia mrejesho baada ya miezi 6,wala usipime afya, wewe tulia tu utausikilizia mzima ukiwa nyumbani, usijenge hoja yoyote hapa zaidi ya kufanya nilichokuambia, Hakika wewe ni zaidi ya mjinga.
 
mkuu kweli nyie ndiyo vilaza nani alikuambia kuna ugojwa unaitwa ukimwi?
 
Wewe mbumbumbu wa ccm, ukitaka kujua kuwa UKIMWI upo, fanya mapenzi na wanawake kumi wa Buguruni Rozana bila kutumia kondom hasa mabamedi na wale wanaojiuza, kisha utarudi hapa kutupatia mrejesho baada ya miezi 6,wala usipime afya, wewe tulia tu utausikilizia mzima ukiwa nyumbani, usijenge hoja yoyote hapa zaidi ya kufanya nilichokuambia, Hakika wewe ni zaidi ya mjinga.

Fuatilia huko nyuma kwenye mada kama hii utaona rundo la watu kama wewe wametoa mikwara fiksi kama huu wa kwako.....mikwara fiksi,mikwara mihemko,mikwara mbuzi....

Yaani wewe unaona ni bora ufe kumtetea mzungu kuliko kudadisi kujua ukweli wa jambo hili.Ewe ngozi nyeusi,kwanini hutaki kutumia ubongo kufikiri?Kwanini unamsujudia mzungu kiasi hiki?Ni nani aliyekuloga na kukufanya umwamini mzungu utadhani mjomba wako?Tumia akili ewe ngozi nyeusi,kwa maana akili ndio silaha yako ya mwisho.
 
UKIWA NA MALERIA UKIENDA HOSPITAL WAPEWA ....MSETO....NA UNAPONA
UKIWA WAUMWA KICHWA UKIENDA HOSPITAL WAPEWA....PANADOL...NA UNAPONA
JE UKIUMWA UKIMWI ....UNAPEWA NINI??? AU UTAAMBIWA KALE VIZURI,FANYA MAZOEZI, PUMZIKA (SASA JAMANI HII SI NI ROUTINE TU NA BINADAMU AMBAZO ANATAKIWA AFANYE KILA SIKU KUJIWEKA FITI KIAFYA).
 
THABO MBEKI RAISI WA ZAMANI WA SOUTH AFRICA ALISEMAGA KUWA HAKUNA UKIMWI ILA NI KAMBA ZA WAZUNGU TU .........EEEH WAZUNGU WALITAKA KUMMEZA MAANA ALIGUSA KWENYE JIPU LENYEWE.....
WE HUJIULIZI WHY WAO WAZUNGU HAWASUMBUKI NA HUU UKIMWI ILA SISI TU HUKU NA HUKO ASIA FULANI
 
Kwa hiyo mtu amepona TB baada ya kupewa ARVs au baada ya kula dozi ya TB?.....fungua milango yako ya fahamu tukupe elimu....achana na wazungu...sio wajomba zako wale.Kama kweli wanatupenda wangetulazimisha kuukubali ushoga?Get the point?
endelea na shughuli zako huwezi kuniaminisha chochote mimi ambaye nimeshaathiriwa na tatizo hili. Niliowazika najua walichokosa mpaka wakafa, na walio hai najua wako hai kwa kile walichofanikiwa kupata mapema
 
Hamna Ukmwi siku hizi ungekuwepo mm ningekuwa nao coz nimeuza mechi sana kwa wahaya but kila nikipima niko safi pia tumepga mitungo mara nyingi mademu wa club SO SIAMINI BINAFSI KWAMBA UKIMWI BADO UPO
endelea tu...ipo siku utapata unachotafuta.....
 
Alafu hata zile sindano za kupimia siziamini,
yani skuhizi asilimia kubwa ya vitu vinavyotoka Marekani siviamini kabisaa
 
Mama mmoja mpangaji mwenzetu, miaka mitatu iliyopita ndiye alikuwa mkaanga chapati maarufu hapa kitaani kwetu.

Mama huyu, mwaka jana mwanzoni akaugua TB. Hakika afya yake ilizoofu sana! Akapelekwa hospital.

Siku moja, wapangaji wenzie tukaenda kumjulia hali pale hospitali. Tukakuta ndugu zake pale nje ya wodi, tukaanza kufahamishwa hali yake tukiwa pale nje.

Ndugu yake wa karibu akatueleza, namnukuu: "mgonjwa hali yake bado. Ila Mungu mkubwa, kafanyiwa na kipimo kikubwa bahati nzuri hana Ukimwi. Ni TB tu, na pia dokta kasema kinga yake ya mwili imepungua sana!

Mimi nikauliza kwa upole sana: kwahiyo mgonjwa ana TB, na Kinga imeshuka sana, ila hana VVU? akajibu ndiyo. Mimi nikasema: basi mgonjwa ana Ukimwi, na atapona kabisa, inshaAllah. TB inatibika. Poleni sana jamani.

Yule mdada akaongeza: "Hapana jamani, ni TB tu na kinga imeshuka sana. Ila mgonjwa hana Ukimwi, yupo negative, na makaratasi haya hapa" (huku akianza kufungua mkoba wake). Mie nikadakia haraka na kumzuia asitoe hizo karatasi za vipimo mbele yetu, nikamwambia hamna haja ya kufanya ivyo.

Sasa nikamuuliza: Dada, wewe unavyoelewa, kwani Ukimwi ni nini?

Akajibu: "Mie navojua Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini. na maradhi haya hayana tiba mpaka sasa. Mwenyezi Mungu atunusuru kwakweli".

Mimi: Mmh, upungufu wa kinga mwilini? unamaanisha nini hasa

Yeye: "yaani hivi, kinga ya mwili inapungua na kisha mtu anaanza kuumwaUmwa kila mara. Mimi ndo ivo navyojua Ukimwi. Eti wenzagu nyie mnajuaje (anawauliza wengine pale tulokuwa nao).

Mimi: nikamuuliza, kwahiyo docta kasema Kinga ya mgonjwa imepungua?

Yeye: "eeh, kinga imepungua sana, kwa maelezo ya docta"

Mimi: VVU hana, ila Kinga imepungua, je hapo mgonjwa wetu anao Ukimwi au hana?

Yeye: "mmh jamani, hebu nisaidieni wenzagu"... anawaambia wale wengine pale

Yeye: "hebu rudia swali lako"

Mara ghafla simu yangu ikaita, nikasogea kando kuongea na simu. Nilivyorudi pale, nikaipiga chini ile mada. Tukaanza kujadili namna ya mgonjwa apate chakula na matunda, maana mishale hiyo tayari ilikuwa muda wa lunch unafika.

After siku kadhaa yule mama alikuwa discharged akarudi kitaa. After miezi kadhaa akapona TB.

Tangu mwaka jana katikati hadi dakika hii, yupo kitaa anadunda, mzima wa afya. Ila naona ile kazi yake ya kuchoma chapati hajagusa tena mpaka leo. Wasela tushahamia kwenye mihogo ya kukaanga kwa mama ntilie mwingine mtaa wa pili.

-Kaveli-
 
hakuna kitu kinaitwa ugojwa wa UKIMWI..
ila ukitaka kupata hiko kirusi tembelea maeneo haya mkuu uwanja wa fisi,sinza mori,keko magurumbashi,tmk sokota,buguruni we wagegede kwa raha zako baada ya miezi mitatu nenda kapime utupe mrejesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom