UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

Hakuna kiti kinachoitwa UKIMWI kinachoua. Hizi ni propaganda za wazungu tu.
Walitufundisha kuwa ukipata virusi vya UKIMWI unakas mpaka miaka 15 ndo uanze kupata magonjwa nyemelwzi. Lakini walusahau kuwa kuna watu wengi sana walikufa mkoani Kagera kipindi walipotangaza tu kuwa virusi vya UKIMWI . Kwa nini watu wa Kagera walikufa sana wakati ndo kwanza walikuwa wameambukizwa hivyo virus.
 
Mama mmoja mpangaji mwenzetu, miaka mitatu iliyopita ndiye alikuwa mkaanga chapati maarufu hapa kitaani kwenu.

Mama huyu, mwaka jana mwanzoni akaugua TB. Hakika afya yake ilizoofu sana! Akapelekwa hospital.

Siku moja, wapangaji wenzie tukaenda kumjulia hali pale hospitali. Tukakuta ndugu zake pale nje ya wodi, tukaanza kufahamishwa hali yake tukiwa pale nje.

Ndugu yake wa karibu akatueleza, namnukuu: "mgonjwa hali yake bado. Ila Mungu mkubwa, kafanyiwa na kipimo kikubwa bahati nzuri hana Ukimwi. Ni TB tu, na pia dokta kasema kinga yake ya mwili imepungua sana!

Mimi nikauliza kwa upole sana: kwahiyo mgonjwa ana TB, na Kinga imeshuka sana, ila hana VVU? akajibu ndiyo. Mimi nikasema: basi mgonjwa ana Ukimwi, na atapona kabisa, inshaAllah. TB inatibika. Poleni sana jamani.

Yule mdada akaongeza: "Hapana jamani, ni TB tu na kinga imeshuka sana. Ila mgonjwa hana Ukimwi, yupo negative, na makaratasi haya hapa" (huku akianza kufungua mkoba wake). Mie nikadakia haraka na kumzuia asitoe hizo karatasi za vipimo mbele yetu, nikamwambia hamna haja ya kufanya ivyo.

Sasa nikamuuliza: Dada, wewe unavyoelewa, kwani Ukimwi ni nini?

Akajibu: "Mie navojua Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini. na maradhi haya hayana tiba mpaka sasa. Mwenyezi Mungu atunusuru kwakweli".

Mimi: Mmh, upungufu wa kinga mwilini? unamaanisha nini hasa

Yeye: "yaani hivi, kinga ya mwili inapungua na kisha mtu anaanza kuumwaUmwa kila mara. Mimi ndo ivo navyojua Ukimwi. Eti wenzagu nyie mnajuaje (anawauliza wengine pale tulokuwa nao).

Mimi: nikamuuliza, kwahiyo docta kasema Kinga ya mgonjwa imepungua?

Yeye: "eeh, kinga imepungua sana, kwa maelezo ya docta"

Mimi: VVU hana, ila Kinga imepungua, je hapo mgonjwa wetu anao Ukimwi au hana?

Yeye: "mmh jamani, hebu nisaidieni wenzagu"... anawaambia wale wengine pale

Yeye: "hebu rudia swali lako"

Mara ghafla simu yangu ikaita, nikasogea kando kuongea na simu. Nilivyorudi pale, nikaipiga chini ile mada. Tukaanza kujadili namna ya mgonjwa apate chakula na matunda, maana mishale hiyo tayari ilikuwa muda wa lunch unafika.

After siku kadhaa yule mama alikuwa discharged akarudi kitaa. After miezi kadhaa akapona TB.

Tangu mwaka jana katikati hadi dakika hii, yupo kitaa anadunda, mzima wa afya. Ila naona ile kazi yake ya kuchoma chapati hajagusa tena mpaka leo. Wasela tushahamia kwenye mihogo ya kukaanga kwa mama ntilie mwingine mtaa wa pili.

-Kaveli-

I bet,ni watu wachache sana watakaoelewa ulichoandika hapo juu.Very few indeed.Na hiyo ndio ina reflect jamii tuliyonayo huku mitaani.Uwezo mdogo wa kufikiri ni janga la kitaifa,tupige vita uwezo mdogo wa kufikiri kabla ya kupiga vita serikali uchwara.
 
Angalau ungekuja na uthibitisho wa kisayansi kuwa ukimwi haupo, hili bandiko lako ni bla-bla tu kama kawaida yetu.
Ukimwi ni nini?
Upungufu wa Kinga Mwilini,
Kama ni hivyo, kwa namna ambavyo watu siku hizi tunakula vyakula vyenye viini-lishe, hakika hatuwezi kupata upungufu wa kinga mwilini. UKIMWI HAUPO .. naunga mkono hoja....
Jambo la pili ... inakuwaje mtu ana ukimwi anaombewa alafu anapona .. jibu ni kwamba hakuna ukimwi ..
Mwalimu wangu alonifundisha miaka ya 80, mke wake alikufa kwa juliana .. hadi ninapoongea sasa huyo mwalimu yuko hai ...
 
Siyo swala la kuamini au kutokuamini ni swala la UKWELI na ukweli ndiyo huo, ukimwi haupo ulibuniwa tu, Mzungu ili apige hela, kama vile ebola Afrika Magharibi Mzungu ameshafanya testing ya drugs kwa binadamu (sisi Waafrika) sasa kimya, hakuna cha ebola wala baba yake ebola!
Hii ni kama kiongozi mmoja wa CCM alivyobuni ugonjwa wa homa ya ...... kwenye mifugo akapiga hela ..
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...

Nyambafu ukute wemwenyewe hapo unao unajifariji ili tuseme ukimwi hamna pumbavu,, nenda alhamis kapange folen uchukue mashudu haraka utakufa kijana
 
Ukimwi ni nini?
Upungufu wa Kinga Mwilini,
Kama ni hivyo, kwa namna ambavyo watu siku hizi tunakula vyakula vyenye viini-lishe, hakika hatuwezi kupata upungufu wa kinga mwilini. UKIMWI HAUPO .. naunga mkono hoja....
Jambo la pili ... inakuwaje mtu ana ukimwi anaombewa alafu anapona .. jibu ni kwamba hakuna ukimwi ..
Mwalimu wangu alonifundisha miaka ya 80, mke wake alikufa kwa juliana .. hadi ninapoongea sasa huyo mwalimu yuko hai ...
You're entitled to your opinion brother.
 
Nadhani Ile 4 by 1 sio kweli nahisi itakuwa 4 by 3
 
I bet,ni watu wachache sana watakaoelewa ulichoandika hapo juu.Very few indeed.Na hiyo ndio ina reflect jamii tuliyonayo huku mitaani.Uwezo mdogo wa kufikiri ni janga la kitaifa,tupige vita uwezo mdogo wa kufikiri kabla ya kupiga vita serikali uchwara.

Hakika Mkuu. Jamii kubwa bado ina 'knowledge deficiency' kuhusu Ukimwi.

-Kaveli-
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...
mh ule utafiti usijekawa hapa unahusika
 
Naona Deception anaendelea kuwadanganya wadanganyika na anaanza kuwapata wengi, kuna demu mzuri ana ukimwi huku mtaani kwetu njoo nikuunganishe naye uuze mechi halafu utupe mrejesho
 
Naona Deception anaendelea kuwadanganya wadanganyika na anaanza kuwapata wengi, kuna demu mzuri ana ukimwi huku mtaani kwetu njoo nikuunganishe naye uuze mechi halafu utupe mrejesho

Hebu chunguza humu utaona rundo la watu wasiojielewa kama wewe,nao wamechimba mkwara uchwara,mkwara mhemko kama wa kwako.Mko wengi kama ninyi,na mikwara kama hiyo yako iko mingi humu.
 
Hakika Mkuu. Jamii kubwa bado ina 'knowledge deficiency' kuhusu Ukimwi.

-Kaveli-

Halafu mbaya zaidi,amini usiamini,wapo pia ma MD wanaoshindwa kutofautisha kati ya HIV na AIDS,pia hawajui hata AIDS ni nini,amini nakwambia.Kuna siku niliwaambia watu haya lakini hawakuamini,sasa kuna uzi humuhumu daktari mmoja amethibitisha maneno yangu.
 
mh ule utafiti usijekawa hapa unahusika

Ni kweli unahusika,ila kwa hapa naona kama ni kinyume...yaani vichaa ni wengi zaidi kuliko wazima....mtu mmojawapo ambaye nina uhakika naye kwamba ni mzima na anajielewa ni huyu mleta mada...yaani aliyeandika uzi huu.....wachangiaji wengi wanaangukia kwenye kundi la vichaa...
 
Halafu mbaya zaidi,amini usiamini,wapo pia ma MD wanaoshindwa kutofautisha kati ya HIV na AIDS,pia hawajui hata AIDS ni nini,amini nakwambia.Kuna siku niliwaambia watu haya lakini hawakuamini,sasa kuna uzi humuhumu daktari mmoja amethibitisha maneno yangu.

For me, MD niliyeshuhudia akichanganya mambo, ni yule anajiita 'From Sir With...'.

Terminologies hizi "HIV" na "AIDS" anazichanganya ndivyo sivyo mpaka niliogopa sana kwa MD mzima kumix madesa kiasi kile.

-Kaveli-
 
Stupidest thread in JF history

UKIMWI upo, na KTY tu, wafadhili wanatumia zaidi ya trillioni moja kila mwaka kusaidia serikali kupambana na ukimwi, na hata hiyo suppression ya ukimwi iliyopo sasa can be nothing kama sisi hattafanya jitihada za jumla kuendelea kujikinga na maambukizi mapya

Na hapa ndipo umakini na busara za serikali pia zinahitajika ili kuwa na uhakika wa continuous support ya washirika kwenye kupambana na ukimwi... we cannot win this war alone
 
Hata kipindupindu na malaria akuna tujuzane
 
Hata kipindupindu na malaria akuna tujuzane
Kwa tafsiri Sahihi Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini sio ugonjwa xo hiyo malaria na kipindupindu, mafua na magonjwa mengne yote kwa Ujumla wake ndo Ukimwi coz mtu huwezi pata Malaria au Kipindupindu au Mafua kama kinga zako za mwili ziko stable XO MAREHEMU WOTE WAMEKUFA KWA UKIMWI KASORO WALIO JIUA AU KUUWA AU KUFA KWA AJALI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom