UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...
 
Angalau ungekuja na uthibitisho wa kisayansi kuwa ukimwi haupo, hili bandiko lako ni bla-bla tu kama kawaida yetu.

Kama upo umepotelewa wapi? Zile takwimu kwamba kwamba 20% yetu tuna VVU zimeishiwa wapi? tuliambiwa miaka 20 iliyopita leo hii ukimwi ungetupunguza kwa 1/3, mbona tumezidi kuongezeka?
 
Ukimwi upo kiongozi usijidanganye, ila haupo kama ilivyokuwa miaka ya 80 mtu aliweza kufichwa kwenye Rambo na ukabeba mfuko kwenda nao nyumbani, sasa hivi kuna kitu kinaitwa SOUTH mwili hauteteleki hata kidogo, kikubwa ni kazini kuomba mwenyezi Mungu atuepushe.
Wengi wa waathirika huwa kimya kimya
 
Hamna Ukmwi siku hizi ungekuwepo mm ningekuwa nao coz nimeuza mechi sana kwa wahaya but kila nikipima niko safi pia tumepga mitungo mara nyingi mademu wa club SO SIAMINI BINAFSI KWAMBA UKIMWI BADO UPO
 
Na wapimaji wa virus wote ktk hospital kadhaa utakuta hua wanapewa pesa na ulaya kama msaada,tena utakuta na logo yao wamewaambia waiweke ktk ofc zao,na hzo logo hua zinaviashilia vya 666.mapicha picha tu na manyoka nyoka
 
Hamna Ukmwi siku hizi ungekuwepo mm ningekuwa nao coz nimeuza mechi sana kwa wahaya but kila nikipima niko safi pia tumepga mitungo mara nyingi mademu wa club SO SIAMINI BINAFSI KWAMBA UKIMWI BADO UPO
mkuu hamna ugonjwa unaitwa ukimwi acheni kudanganya watu siku hizi unapiga arvs unanenepa tuu vizur ile kufa kwa kilo mbili haipo tena piga dry mkuu ndom inazuia utam
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vilwe Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...
Ni ngumu kumeza! Very shocking!
 
Kuna watu hawapendi kuamini kitu mpaka kimtokee yeye mwenyewe ndo ataelewa.
Acha tunaoamini upo tuendelee kuamini na nyie msioamini kama upo muendelee kutokuamini.

Siyo swala la kuamini au kutokuamini ni swala la UKWELI na ukweli ndiyo huo, ukimwi haupo ulibuniwa tu, Mzungu ili apige hela, kama vile ebola Afrika Magharibi Mzungu ameshafanya testing ya drugs kwa binadamu (sisi Waafrika) sasa kimya, hakuna cha ebola wala baba yake ebola!
 
Marafiki na ndugu zangu niliowazika Mungu ndiye anajua

Endeleeni na upuuzi wenu, shibe mbaya

Ndiyo hicho Mzungu alichokuwa anakitafuta, kesho akitaka kupiga hela atakutafutia GONJWA lingine kama vile vile kipindupindu na kukibatiza jina lingine na kukuletea madawa unywe, halafu uzike tena na kuendela kumuamini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom