amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Kumbuka pia si HIV/VVU tu vinavyoweza kusababisha Upungufu WA Kinga Mwilini, hata magonjwa mengine kama cancer, kifua kikuu yanaweza sababisha Upungufu WA kinga Mwilini..Ukimwi co Ugonjwa ni Upungufu wa Kinga Mwilini.... Na husababishwa na virusi vya HIV, kinachoua co UKIMWI Bali ni magonjwa nyemelezi
Hivyo basi sio kila mtu mwenye Upungufu WA Kinga Mwilini ana HIV/VVU