UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

HESLB tafadhali saidieni hawa vijana...otherwise tutashuhudia mengi....eti nini MGENI hayupo??? weeee!
 
Na wapimaji wa virus wote ktk hospital kadhaa utakuta hua wanapewa pesa na ulaya kama msaada,tena utakuta na logo yao wamewaambia waiweke ktk ofc zao,na hzo logo hua zinaviashilia vya 666.mapicha picha tu na manyoka nyoka
mkuu hapo sawa mbona kila duka la madawa kuna picha za nyoka celewi maana yake
 
Mkuu umeshiba ukaona uandike ujinga hakuna familia ya kitanzania haijathirika na hili gonjwa la ukimwi kila familia itakuwa imepoteza mtu kwa ugonjwa huu anaweza akawa baba, mama, shangazi,kaka, mjomba dada, Nk kusema haupo ni kupotosha umma.....Sema madawa ya kufubaza virusi yamesaidia sana kuongeza maisha ya watu....Pia kampeni ya kutoa Elimu kuhusu ugonjwa pia imesaidia...Kama ww unasema haupo nenda kwenye kitengo pale muhimbili cha kutoa madawa ya kuvubaza virusi utajua upo au haupo.
 
Mama mmoja mpangaji mwenzetu, miaka mitatu iliyopita ndiye alikuwa mkaanga chapati maarufu hapa kitaani kwetu.

Mama huyu, mwaka jana mwanzoni akaugua TB. Hakika afya yake ilizoofu sana! Akapelekwa hospital.

Siku moja, wapangaji wenzie tukaenda kumjulia hali pale hospitali. Tukakuta ndugu zake pale nje ya wodi, tukaanza kufahamishwa hali yake tukiwa pale nje.

Ndugu yake wa karibu akatueleza, namnukuu: "mgonjwa hali yake bado. Ila Mungu mkubwa, kafanyiwa na kipimo kikubwa bahati nzuri hana Ukimwi. Ni TB tu, na pia dokta kasema kinga yake ya mwili imepungua sana!

Mimi nikauliza kwa upole sana: kwahiyo mgonjwa ana TB, na Kinga imeshuka sana, ila hana VVU? akajibu ndiyo. Mimi nikasema: basi mgonjwa ana Ukimwi, na atapona kabisa, inshaAllah. TB inatibika. Poleni sana jamani.

Yule mdada akaongeza: "Hapana jamani, ni TB tu na kinga imeshuka sana. Ila mgonjwa hana Ukimwi, yupo negative, na makaratasi haya hapa" (huku akianza kufungua mkoba wake). Mie nikadakia haraka na kumzuia asitoe hizo karatasi za vipimo mbele yetu, nikamwambia hamna haja ya kufanya ivyo.

Sasa nikamuuliza: Dada, wewe unavyoelewa, kwani Ukimwi ni nini?

Akajibu: "Mie navojua Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini. na maradhi haya hayana tiba mpaka sasa. Mwenyezi Mungu atunusuru kwakweli".

Mimi: Mmh, upungufu wa kinga mwilini? unamaanisha nini hasa

Yeye: "yaani hivi, kinga ya mwili inapungua na kisha mtu anaanza kuumwaUmwa kila mara. Mimi ndo ivo navyojua Ukimwi. Eti wenzagu nyie mnajuaje (anawauliza wengine pale tulokuwa nao).

Mimi: nikamuuliza, kwahiyo docta kasema Kinga ya mgonjwa imepungua?

Yeye: "eeh, kinga imepungua sana, kwa maelezo ya docta"

Mimi: VVU hana, ila Kinga imepungua, je hapo mgonjwa wetu anao Ukimwi au hana?

Yeye: "mmh jamani, hebu nisaidieni wenzagu"... anawaambia wale wengine pale

Yeye: "hebu rudia swali lako"

Mara ghafla simu yangu ikaita, nikasogea kando kuongea na simu. Nilivyorudi pale, nikaipiga chini ile mada. Tukaanza kujadili namna ya mgonjwa apate chakula na matunda, maana mishale hiyo tayari ilikuwa muda wa lunch unafika.

After siku kadhaa yule mama alikuwa discharged akarudi kitaa. After miezi kadhaa akapona TB.

Tangu mwaka jana katikati hadi dakika hii, yupo kitaa anadunda, mzima wa afya. Ila naona ile kazi yake ya kuchoma chapati hajagusa tena mpaka leo. Wasela tushahamia kwenye mihogo ya kukaanga kwa mama ntilie mwingine mtaa wa pili.

-Kaveli-

Hii story yako,iwe ya kweli au si kweli,lakini bado kuna matukio mengi sana kama haya huku mitaani na kwenye vituo vya afya.Sasa angalia perception za wajinga zinavyobadilishwa na matukio kama haya;

1.Kama huyo mgonjwa vipimo vyake vingetoa majibu ya HIV+,basi concentration ya madaktari ingehamia katika kumpa ARVs,ofcourse angepewa pia dozi ya TB kama kawaida.

2.Kwa kuwa TB inapona,na bila shaka huyo mgonjwa amepona TB,basi watu wenye uelewa mdogo wangesema huyo mgonjwa amepona kwa kuwa alipewa ARVs.Watu kama hao wapo wengi sana humu,nadhani umeshawashuhudia mwenyewe,yaani mtu atakwambia hivi "acha ujinga wewe,yaani mimi nimeshuhudia watu wamedhoofika sana na wana HIV na wamerudi katika hali nzuri yenye afya baada ya kupewa ARVs halafu wewe unasema ARVs hazisaidii,acha kudanganya watu wewe",sasa watu wanaosema hivyo wako wengi sana humu,ukosefu wa uelewa kama huu ndio unawafanya waseme hivyo,na ndio maana wengine watakwambia "ugonjwa huu ni wa ajabu sana",tatizo ni kwamba bado hawana uzoefu wa kuona matukio kama haya.

3.Mgonjwa atapona TB kwasababu kapewa dozi ya TB.Lakini baada ya kula ARVs kwa muda mrefu,zitamuathiri na kumsababishia kifo kutokana na aidha matatizo ya moyo,au ini au figo au cancer au kisukari au upungufu wa damu.Mtu kama huyu anapokufa,watasema "acha ujinga wewe,ARVs zinasaidia sana,huoni mgonjwa alivyodumu muda mrefu,alikuwa kadhoofika lakini karudi katika hali yake na amedumu kwa miaka zaidi ya 10,kwa kweli ARVs zimemsaidia sana".Sasa watu kama hao hawajui kama huyo mgonjwa kafa kutokana na madhara ya ARVs.

Pia watu hawana uzoefu wa kuona watu ambao wameambiwa wana HIV na hawatumii ARVs na bado wanaishi muda mrefu zaidi ya wale ambao wanatumia ARVs.Pia hata kama watawaona watu hao watasema "aah mungu amewasaidia",au watasema "aah hao watakuwa CARRIERS"....yaani hawakosi sababu za ku justify conclusion waitakayo.

Ndio maana sisi huwa tunasema, HIV/AIDS is a MINDSET disease.
 
Mm, UKIMWI UPO!! Walioupata wameishakufa, watu wanajikinga ndiyo sababu takwimu zimeshuka.
 
HIV.jpg
 
Mkuu siamini kama ukimwi upo.
Utafute unapatikana,ufanye majaribio hata hospital tu.Waambie waku inject infected blood inayoendana na group lako na sifa zote za damu yako.Ila kabla ya hilo zoezi,pima HIV.Then wafanye hilo zoezi,baada ya muda urudie hilo zoezi la kupima.Ukiona haitoshi warudie kukuwekea damu.Kama hujalizika waambie madaktariau manesi husika wakupitishe sehemu ambazo hawa wenye hilo tatizo uone.NAKUAHIDI HUTOKUJA KUANDIKA UPUUZI WAKO HUU TENA,USIJITOE UFAHAMU KABISA.NA HAKIKA MPAKA SASA UNAO.NA UNAJIFALIRIJI.WACHA DHIHAKA,USIOMBE MADHILA YA MOLA YAKUPITE WEWE MPUUZI.KAMA HUNA KAZI KUNYA THEN ULALE.
 
Utafute unapatikana,ufanye majaribio hata hospital tu.Waambie waku inject infected blood inayoendana na group lako na sifa zote za damu yako.Ila kabla ya hilo zoezi,pima HIV.Then wafanye hilo zoezi,baada ya muda urudie hilo zoezi la kupima.Ukiona haitoshi warudie kukuwekea damu.Kama hujalizika waambie madaktariau manesi husika wakupitishe sehemu ambazo hawa wenye hilo tatizo uone.NAKUAHIDI HUTOKUJA KUANDIKA UPUUZI WAKO HUU TENA,USIJITOE UFAHAMU KABISA.NA HAKIKA MPAKA SASA UNAO.NA UNAJIFALIRIJI.WACHA DHIHAKA,USIOMBE MADHILA YA MOLA YAKUPITE WEWE MPUUZI.KAMA HUNA KAZI KUNYA THEN ULALE.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona una hasira dada,mimi siamini kama ukimwi upo ila wewe endelea na imani yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana dada.

Pia ukitaka nikuelimishe kuhusu Ukimwi njoo PM hapa hatuwezi kuelewana vizuri.
 
Hautishi kama zamani. Zamani ilikuwa mtu hafi kwa huu ugonjwa hadi akonde na kubaki mifupa mitupu so watu walikuwa wanaogopa kukonda na yale mateso. Siku hizi watu wanakufa wanene kabisa na vitambi na chura zao kama malaria vile.
 
Ndugu kama kwenye ukoo wenu hamjapata ilo janga basi shukuru Mungu na kaa kimya kuliko kuleta dhihaka kwenye maisha ya watu.Wako watu wamekufa na wanaendelea kufa na wengine niwagonjwa hadi sasa.Sasa mabadiliko ya mfumo wa maisha yasitufanye tukapuuzia nakurudi kule nyuma tulipotoka.Tahadhar ni muhimu.
 
Hamna Ukmwi siku hizi ungekuwepo mm ningekuwa nao coz nimeuza mechi sana kwa wahaya but kila nikipima niko safi pia tumepga mitungo mara nyingi mademu wa club SO SIAMINI BINAFSI KWAMBA UKIMWI BADO UPO
'Umeuza mechi kwa wahaya?' Kwahiyo wahaya ndo wana UKIMWI? Kweli katika watanzania 4 kuna tahaira 1.
 
UKIMWI upo kijana ukihamua kuutafuta unaupata tu usikate tamaa siku moja utaufanikisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom