UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

Upate Wewe Kwanza Kama Utakuwa Na Hayo maneno.... Sisi tumeshamzika Mfanyakazi mwenzetu hapa

Ingawa Alifariki kwa Stress kubwa
 
Ndo anapomaanisha mtoa mada,hao rafiki zako walikutana ugonjwa kwenye vidonge vya ARVs pale tu walipotishwa kua wana upungufu wa kinga mwilini,wakasahau hata kua na mafua ni upungufu wa kinga mwilini
Endeleeni mi siko kabisa na nyie. Wapo kibao waliokuwa hawajaanza kutumia ARV tumeshawazika na baadhi wanaotumia zinawasaidia bado wanaishi baada ya kusavaivu magonjwa ya hatari km TB, tonsils na fungus za kwenye ubongo na kuanza kutumia ARV
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...

Serikali ya CCM unatumia pesa mingi kabisa kununua arvs kila mwaka

Anza kuwapa awareness hao ili hizo pesa tukafanyie mambo mengine
 
Mimi siku moja nilitoka na mtoto mkali
Afu baadaye demu mmoja akamwambia rafiki yangu yule demu nilietoka nae kaungua ooooh nilinyong'onyea nikatulia maana nilikumbuka ilikuwa nyama kwa nyama dah kipindi hicho ndani ya miezi 2 nilitembea na wasichana 6 bila kutumia kinga,
Nilikaa miezi mitano naogopa kwenda kupima kisha nikaenda kupima nikakuta safi fresh yani siku hiyo nilikuwa na furaha
 
Endeleeni mi siko kabisa na nyie. Wapo kibao waliokuwa hawajaanza kutumia ARV tumeshawazika na baadhi wanaotumia zinawasaidia bado wanaishi baada ya kusavaivu magonjwa ya hatari km TB, tonsils na fungus za kwenye ubongo na kuanza kutumia ARV
Usemacho rafiki ni kweli,ila hakuna ugonjwa mkubwa kama hofu.jamii yote huku Africa akipimwa mtu akaambiwa una HIV anabadilisha hisia zake na kujenga hofu mpaka anatengeneza uhalisia wa kifo chake na anakufa kweli,si vyema kubeza moja kwa moja kua hakuna huu ugonjwa ila ni vyema sana tukawa wachunguzi pia,hii imekaa kama laana hv na si maradhi
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...
Punguzen janjajanjaaa jaman unapata faida gan unaongea uhongo,, tumia elimu ya darasa la nne kuelewa maana ya kifupisho cha neno hili UKIMWI,, ukishindwa google
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...
Nina wasiwasi na level yako ya elimu
 
Hamna Ukmwi siku hizi ungekuwepo mm ningekuwa nao coz nimeuza mechi sana kwa wahaya but kila nikipima niko safi pia tumepga mitungo mara nyingi mademu wa club SO SIAMINI BINAFSI KWAMBA UKIMWI BADO UPO
Wahayaa!!! Achakuongelea miaka ya 70 unajua mkoa upi unapngoza kwa maambukiz ya virusi visababishao ukimwi haraka??
 
Ni kama serikali ilisema haitonunua tena vidonge vya ARV ili wenye ukimwi wajurikane
Serikali ya CCM unatumia pesa mingi kabisa kununua arvs kila mwaka

Anza kuwapa awareness hao ili hizo pesa tukafanyie mambo mengine
 
Nina wasiwasi na level yako ya elimu

Kabla hauja hoji Elimu yangu, niambie kwanza VVU vinapimwaje? Yaani unawezaje kugundua kwamba hivi vinavyoitwa VVU vipo mwilini? Tuanzie hapo pole pole kama ukipenda labda utaelewa ninachomaanisha!
 
Ukimwi upo asikudanganye mtu, kuna mama nilipanga kwake kipindi iko, akauza moja ya nyumba zake. Mgao ukatoka, kila mtoto akapewa kama milion ishirini. Asikuambie mtu baada ya miezi nane watoto wote wana H.I.V. Na wote tuliasha wazika. Ukimwi upo ndugu zanguni.

Embu tazama, nyumba zetu zinaumeme, lakini watu wengi hatujui shoti ya umeme inafanaje! Mpaka siku ukiingia mkenke ndio utajua umeme una shoti.
 
Usemacho rafiki ni kweli,ila hakuna ugonjwa mkubwa kama hofu.jamii yote huku Africa akipimwa mtu akaambiwa una HIV anabadilisha hisia zake na kujenga hofu mpaka anatengeneza uhalisia wa kifo chake na anakufa kweli,si vyema kubeza moja kwa moja kua hakuna huu ugonjwa ila ni vyema sana tukawa wachunguzi pia,hii imekaa kama laana hv na si maradhi
huu ugojwa haupo mwilini upo akilini mtu akipimwa akiambiwa anao anaanza stress tupu na kuanza kutia akijinadi anaambukiza hawezi kufa mwenyewe ila ukijua unao tulia kula fresh acha ngono piga zoezi ishi kawaida no stress piga arvs zako kunywa maji kwa wingi uflash sumu, apo mbona unaishi miaka mingi ..mbona kila nafsi itaocha umauti alaaaaa
 
Msomeni kwa makini huyu jamaa
ROBERT BALLO

Daaaaaah ukimsoma juu juu utaona KWAMBA wanamuandika kua yupo responsible Kwa VVU ambazo ni agent wa UKIMWI LAKINI UKIINGIA deep KATIKA journal articles PAMOJA NA vitabu vyake mbalimbali utafahamu kinachozungumziwa in general context ni tofauti na ukweli Linkage ya VVU NA UKIMWI

That's y Mimi NA wale wasiowavivu WA kusoma majarida NA vitabu VYA watu Kama HUYU tumejiridhisha KWAMBA HAKUNA CORRELATION BAINA YA HIVYO VITU

TENA HATA HUO UKIMWI HAUPO KAMA TULIVYOKARIRISHWA DARASANI MAANA KUNA MAMBO MENGI ZAIDI YA 100 YANAYOSABABISHA NA SI NGONO

Pasuen madem bila woga..ndio mfumo
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...
Una mawazo ya kizamani sana !
 
Msomeni kwa makini huyu jamaa
ROBERT BALLO

Daaaaaah ukimsoma juu juu utaona KWAMBA wanamuandika kua yupo responsible Kwa VVU ambazo ni agent wa UKIMWI LAKINI UKIINGIA deep KATIKA journal articles PAMOJA NA vitabu vyake mbalimbali utafahamu kinachozungumziwa in general context ni tofauti na ukweli Linkage ya VVU NA UKIMWI

That's y Mimi NA wale wasiowavivu WA kusoma majarida NA vitabu VYA watu Kama HUYU tumejiridhisha KWAMBA HAKUNA CORRELATION BAINA YA HIVYO VITU

TENA HATA HUO UKIMWI HAUPO KAMA TULIVYOKARIRISHWA DARASANI MAANA KUNA MAMBO MENGI ZAIDI YA 100 YANAYOSABABISHA NA SI NGONO

Pasuen madem bila woga..ndio mfumo

Anaitwa R. Gallo, huyo ndiyo devil mwenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom