UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

UKIMWI umeishia wapi? Siku nyingine msimwamini Mzungu!

Et mtaalam ajitokeze anijuze kama ni kwel hz Apps za HiV tests ni kwel Znatoa majb ya uhakka au N Blabla2
 
Hadi leo siamini kama kuna ugonjwa wa ukimwi.
Labda magonjwa ya zinaa ndio yapo.
 
Ni kawaida jambo/tukio/kitu kikizungumzwa sana kinakuwa cha kawaida. Kampeni imefanyika kubwa ya kutoa elimu juu ya ukimwi.

*gest kondom zipo kibao bure 500
*watu wanaepuka michubuano maandalizi mazuri
*wanaojiuza hawakubali kufanya kavu kavu.
* ARV's zinawapa afya na kunenepa
*waathirika hawana stress wengine wanaoa na kuolewa na kupata watoto.
*watu hawaoni aibu tena kuuza na kununua kondom dukani kama zamani.

Watu wakishaathirika hali ikianza kuwa tete wanarudi nyumbani vijijini kujiuguza na mwisho tunawazika.
 
Ni wazi sasa hofu ya ukimwi imepungua kama siyo kupotea kabisa, ukimwi siyo GONJWA la kutisha tena kama ambavyo tulivyokuwa tunaaminishwa, hili labda litakuwa fundisho kwetu siku nyingine mkiona Mzungu anawaambia mna ugonjwa na kuwalazimisha mnye madawa msimuamini!

Waliokufa (,,Wapummzike kwa Amani") na huo unaoitwa ukimwi wameuliwa na sumu ya madawa ya Mzungu na siyo Ugonjwa, kwani huu ugonjwa haupo, ni kama vile Global warming zote blah blah tu za watu kupiga hela!

Kama Serikali yetu ingewekeza nguvu zote ilizowekeza kwenye GONJWA hewa lililobatizwa jina la ukimwi kwenye kupambana na Malaria leo hii tungeshaondoa Malaria, lkn wapi ndiyo kwanza Mzungu anatuletea vyandarua alivyopigwa dawa, ambavyo hata madhara yake kiafya hatuyajui ...
Akili za mwanaCCM Halisi hizi. WTF

Kama hauamini UKIMWI njoo nikuonyeshe mtoto mmoja mkali mwenye ngoma uende naye vakesheni wiki upige kavu. Hela ya tukio ntalipia.
 
Ukimwi upo kiongozi usijidanganye, ila haupo kama ilivyokuwa miaka ya 80 mtu aliweza kufichwa kwenye Rambo na ukabeba mfuko kwenda nao nyumbani, sasa hivi kuna kitu kinaitwa SOUTH mwili hauteteleki hata kidogo, kikubwa ni kazini kuomba mwenyezi Mungu atuepushe.
Wengi wa waathirika huwa kimya kimya
Mkuu hakuna ukimwi kabisa.
 
Hamna Ukmwi siku hizi ungekuwepo mm ningekuwa nao coz nimeuza mechi sana kwa wahaya but kila nikipima niko safi pia tumepga mitungo mara nyingi mademu wa club SO SIAMINI BINAFSI KWAMBA UKIMWI BADO UPO
Hakika mkuu hakuna ukimwi.
 
Marafiki na ndugu zangu niliowazika Mungu ndiye anajua

Endeleeni na upuuzi wenu, shibe mbaya
Ndo anapomaanisha mtoa mada,hao rafiki zako walikutana ugonjwa kwenye vidonge vya ARVs pale tu walipotishwa kua wana upungufu wa kinga mwilini,wakasahau hata kua na mafua ni upungufu wa kinga mwilini
 
Na wapimaji wa virus wote ktk hospital kadhaa utakuta hua wanapewa pesa na ulaya kama msaada,tena utakuta na logo yao wamewaambia waiweke ktk ofc zao,na hzo logo hua zinaviashilia vya 666.mapicha picha tu na manyoka nyoka
Umenena mkuu,siamini kama ukimwi upo.
 
Akili za mwanaCCM Halisi hizi. WTF

Kama hauamini UKIMWI njoo nikuonyeshe mtoto mmoja mkali mwenye ngoma uende naye vakesheni wiki upige kavu. Hela ya tukio ntalipia.


Sihitaji uwepo ugonjwa ndiyo nisiwe mzinzi, hivyo pendekezo lako ni mfu kwani mimi siyo mtu wa hivyo, sifanyi uzinzi kabla ya kuoa!
 
Kuna watu hawapendi kuamini kitu mpaka kimtokee yeye mwenyewe ndo ataelewa.
Acha tunaoamini upo tuendelee kuamini na nyie msioamini kama upo muendelee kutokuamini.
Hakuna ukimwi dunia hii,kaa mbali na wazingu.
 
Hauwezi kujua kama ukimwi upo hadi pale unapokua umeathirika. Umewahi kusikia matokeo yanatangazwa kwamba ufaulu umeongezeka kulinganisha na mwaka uliopita wakati wewe una division zero? Hizo habari unaona kama wanazingua na hauwezi kabisa kuelewa kuhusu mambo ya ufaulu.
 
MAGIC JOHNSON Mcheza kikapu wa Marekani toka mwaka mwaka 1993 alipimwa na kubainika kuwa na Virusi vya Ukimwi Wakati huo mkewe alikuwa na mimba ya miezi 3 Mpaka leo Magic johnson anaishi na mkewe yupo safi na waliongeza watoto zaid but binti yao Mkubwa nw ana miaka 24 Labda mkiniambia Ukimwi ni pepo sawa lakini sio Ugonjwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom